12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mkurugenzi. Kwa hiyo, tunataka Serikali kuifanyia mabadiliko ya viongozi Idara hii, ili kuleta ari naubunifu mpya kikazi. Sanjari na hilo, tunapendekeza Idara hii iongezewe nguvu na raslimali.Mheshimiwa Mwenyekiti, Sekta ya Utamaduni. Ni ukweli ulio wazi kuwa sekta yautamaduni kwa sasa imepoteza mwelekezo kwa sababu mipango mingi ya maendeleo haizingatiiumuhimu wa utamaduni wetu kwa tafsiri pana. Maendeleo ya jamii yoyote ile yanategemeautamaduni wa nchi husika, hivyo Kambi ya Upinzani inasisitiza kuwa ni lazima Serikali irudi nyumana kujitathimini vizuri katika sekta ya Utamaduni.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kuwa tunaishi katika kipindi muhimu cha mpito wa historiana utamaduni ya tangu kizazi cha uhuru na kile kilichozaliwa baada ya uhuru, ni muhimukuhakikisha kuwa historia na utamaduni wetu, unakusanywa, unachambuliwa na kuhifadhiwavizuri kwa ajili ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo. Kambi Rasmi ya Upinzani inapendekeza kuwaSerikali iunde Kamisheni Maalum ya Rais ya Historia, ambayo pamoja na mambo mengine, iwe namajukumu yafuatayo:-(i)(ii)(iii)(iv)(v)(vi)Kufanya utafiti wa watu wote waliotoa mchango mkubwa wa kihistoria katikakupigania Uhuru wa Tanganyika, Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano iliwaweze kukumbukwa na michango yao kuenziwa.Kutambua maeneo, majengo, na sehemu mbalimbali zenye umuhimu mkubwawa kihistoria.Kupitia matukio muhimu ya historia yetu ili yaweze kuelezewa katika mwangawa kihistoria. Hii ni pamoja na Uhuru, Mapinduzi, Muungano, Uasi wa Jeshi,Azimio la Arusha, Operesheni Vijijini, Vita ya Kagera, Enzi za Soko Huria nakadhalika.Kukusanya vielelezo mbalimbali vyenye umuhimu mkubwa wa kihistoria kutokawatu binafsi, taasisi binafsi na nje ya nchi ili hatimaye vitu hivyo, viwezekuingizwa katika historia yetu kwa ajili ya kuwa ni urithi wa vizazi vijavyo.Kuandika ripoti maalum juu ya historia yetu na matukio mbalimbali ili yawezekutunzwa kama sehemu ya historia yetu maalum.Kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuenzi utamaduni wetu muhimu pamoja nawatu mbalimbali ambao walichangia katika matukio mbalimbali kwa namnaya pekee na ambao historia yetu haijawakumbuka ipasavyo.Mheshimiwa Mwenyekiti, Sekta ya Sanaa. Nianze kwa kutangaza maslahi kwenye sekta hii,kuwa mimi ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongofleva) na nimekuwa kwenye fani hii kwamuda mrefu sasa. Kwa uzoefu wangu na kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani, nachukua fursahii kuieleza Serikali kwamba: “Sanaa si mapambo au burudani tu kama ilivyozoeleka, bali sanaa niajira inayoweza kubadilisha maisha ya Mtanzania yeyote anayejihusisha nayo na inaweza kabisakuwa moja ya vyanzo vikubwa vya mapato ya Bajeti ya Serikali, ikiwa Serikali yenyewe itadhamiriakwa dhati kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia hii”.Mheshimiwa Mwenyekiti, taarifa mbalimbali kutoka nchini Marekani za mwaka 2007zilionyesha kuwa; “Makampuni yanayotengeneza na kuuza kazi za hatimiliki yataendelea kuwamoja ya nguvu kubwa za uchumi wa Marekani, kwani mapato yatokanayo na filamu, muziki,michezo ya video na mifumo ya kompyuta yanachangia zaidi ya asilimia 6.5 ya Pato la Taifa nakuajiri takribani watu milioni 5.4…” mwisho wa kunukuu.Mheshimiwa Mwenyekiti, ni dhahiri kuwa Sekta ya Sanaa ikifanyiwa mapinduzi makubwainaweza kabisa kuwa moja ya vyanzo vikubwa vya bajeti ya Serikali yetu na kuchangiamaendeleo ya Taifa hili. Ikiwa Sanaa inachangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa Taifa kubwa kamaMarekani, je, Tanzania tuna maendeleo gani ya kujivunia hata tupuuze sanaa? Bado hatujaipasekta hii umuhimu wake unaostahili.Mheshimiwa Mwenyekiti, wasanii pamoja na Serikali bila kujua, wamekuwa wakinyonywakimapato na wadhamini, wazalishaji na wasambazaji wa kazi za sanaa, hususan kwenye biasharaya kuuza muziki na filamu. Kwa mujibu wa utafiti wa Dkt. Jehovaness Aikaeli ambaye ni Mchumi46

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!