12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Naibu Spika, ili Wizara iweze kutekeleza majukumu na malengo yake yamwaka wa fedha 2011/2012, naomba Bunge lako Tukufu liidhinishe bajeti ya jumla ya shilingi18,552,728,000 ambapo kati ya hizo, fedha za Matumizi ya Kawaida ni shilingi 14,671,877,000 nafedha za Miradi ya Maendeleo ni shilingi 3,880,851,000.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda nitoe tena shukrani zangu za dhati kwako binafsi nakwa Waheshimiwa Wabunge kwa kunisikiliza. Hotuba hii inapatikana pia katika tovuti ya Wizarakwa anuani ya www.hum.go.tz.Mheshimiwa Naibu Spika, baada ya maelezo haya, naomba kutoa hoja.WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA: Mheshimiwa Naibu Spika, naafiki.(Hoja ilitolewa iamuliwe)NAIBU SPIKA: Ahsante sana Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, MheshimiwaDkt. Emmanuel Nchimbi kwa hotuba yake nzuri sana.Kabla sijamwita Mwenyekiti wa Kamati kwa ajili ya kuwasaidia Waheshimiwa Wabungewengine na wananchi wanaotusikiliza ili kuelewana katika mambo ya msingi hapa nilitaka kutoasomo lifuatalo.Mheshimiwa Mnyika alisimama hapa kusema anataka kutumia Kanuni ya 133 kwa ajili yakutokuwa na imani na Mheshimiwa Waziri Mkuu. Natoa somo kwa Wabunge wote. Kutokuwa naimani kwa Waziri Mkuu haimaanishi kutokuwa na imani na Mheshimiwa Pinda. Kutokuwa na imanina Waziri Mkuu maana yake ni kwamba Bunge hili likiungwa mkono halina imani na Serikali nzima.Tafsiri yake ni kwamba hoja hiyo ikipita Serikali hii lazima ivunjwe. Rais atumie utaratibu wa Kikatibakama ni kuita uchaguzi mwingine au ni kuteua Serikali mpya. Langu mimi ni la utaratibu tu. Kwahiyo, si jambo dogo la kulibeba tena kunyanyuka kila mtu anavyotaka kama tunavyofikiri, lakiniunaweza kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, kutokuwa na imani na Naibu Spika imo kwenyeKanuni hizihizi. Kutokuwa na imani na Spika imo katika Kanuni hizihizi. Kutokuwa na imani naMheshimiwa Rais wa Nchi imo katika Kanuni hizihizi lakini ukitaka kufanya jambo hili kubwa lazimauwe umejiandaa vizuri, si jambo la kukurupuka.Kujiandaa kwake kukoje, kwa Waziri Mkuu, ni kwamba utatoa taarifa ya maandishi katikaOfisi na kwa hakika tutaipokea kwa sababu ndio utaratibu unaosemwa. Cha pili taarifa hiyoiwekwe saini na kuungwa mkono, ni matakwa ya Kanuni sio ya kwangu, ndio maana kila mmojalazima asome hivi vitu. Taarifa hiyo iwekwe saini na kuungwa mkono na Wabunge wasiopunguaasilimia 20 ya Wabunge wote na ili kukidhi matakwa haya asilimia 20 ya Wabunge wote,Wabunge wote humu ni 357, kwa hiyo asilimia 20 maana yake ni lazima iwe na Wabunge 72kwenda mbele. Tukishaipokea taarifa hiyo kwa maandishi na ina saini za Wabunge 72 kwendambele walioweka saini zao na kuunga mkono kwamba hoja hii sasa iingie humu, itaingia,itajadiliwa, itapigwa kura za siri, sio zile za kuhoji za wote na maamuzi yake yatakuwa ndiomaamuzi ya Bunge wala sio ya Naibu Spika au Spika au mtu mwingine yeyote. Nilitaka nieleze hili ilituelewane, ni vizuri tuendeshe mambo haya katika taratibu ambazo zimewekwa. (Makofi)Naomba sasa nimwite Mheshimiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii aualiyeandaliwa kwa ajili hiyo.MHE. JUMA S. NKAMIA (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII):Mheshimiwa Naibu Spika, kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge, Kanuni ya 99(7) na Kanuniya 114(11) Toleo la Mwaka 2007 nachukua fursa hii kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu maoniya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusu Utekelezai wa Bajeti ya Wizara yaHabari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa Mwaka 2010/2011 na Makadirio ya Mapato naMatumizi ya Wizara kwa Mwaka 2011/2012.Mheshimiwa Naibu Spika, Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii ilifanya kazi ya kufikiriana kuchambua Bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo tarehe 02 na 03 Juni,34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!