Mheshimiwa Naibu Spika, ili Wizara iweze kutekeleza majukumu na malengo yake yamwaka wa fedha 2011/2012, naomba Bunge lako Tukufu liidhinishe bajeti ya jumla ya shilingi18,552,728,000 ambapo kati ya hizo, fedha za Matumizi ya Kawaida ni shilingi 14,671,877,000 nafedha za Miradi ya Maendeleo ni shilingi 3,880,851,000.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda nitoe tena shukrani zangu za dhati kwako binafsi nakwa Waheshimiwa Wabunge kwa kunisikiliza. Hotuba hii inapatikana pia katika tovuti ya Wizarakwa anuani ya www.hum.go.tz.Mheshimiwa Naibu Spika, baada ya maelezo haya, naomba kutoa hoja.WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA: Mheshimiwa Naibu Spika, naafiki.(Hoja ilitolewa iamuliwe)NAIBU SPIKA: Ahsante sana Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, MheshimiwaDkt. Emmanuel Nchimbi kwa hotuba yake nzuri sana.Kabla sijamwita Mwenyekiti wa Kamati kwa ajili ya kuwasaidia Waheshimiwa Wabungewengine na wananchi wanaotusikiliza ili kuelewana katika mambo ya msingi hapa nilitaka kutoasomo lifuatalo.Mheshimiwa Mnyika alisimama hapa kusema anataka kutumia Kanuni ya 133 kwa ajili yakutokuwa na imani na Mheshimiwa Waziri Mkuu. Natoa somo kwa Wabunge wote. Kutokuwa naimani kwa Waziri Mkuu haimaanishi kutokuwa na imani na Mheshimiwa Pinda. Kutokuwa na imanina Waziri Mkuu maana yake ni kwamba Bunge hili likiungwa mkono halina imani na Serikali nzima.Tafsiri yake ni kwamba hoja hiyo ikipita Serikali hii lazima ivunjwe. Rais atumie utaratibu wa Kikatibakama ni kuita uchaguzi mwingine au ni kuteua Serikali mpya. Langu mimi ni la utaratibu tu. Kwahiyo, si jambo dogo la kulibeba tena kunyanyuka kila mtu anavyotaka kama tunavyofikiri, lakiniunaweza kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, kutokuwa na imani na Naibu Spika imo kwenyeKanuni hizihizi. Kutokuwa na imani na Spika imo katika Kanuni hizihizi. Kutokuwa na imani naMheshimiwa Rais wa Nchi imo katika Kanuni hizihizi lakini ukitaka kufanya jambo hili kubwa lazimauwe umejiandaa vizuri, si jambo la kukurupuka.Kujiandaa kwake kukoje, kwa Waziri Mkuu, ni kwamba utatoa taarifa ya maandishi katikaOfisi na kwa hakika tutaipokea kwa sababu ndio utaratibu unaosemwa. Cha pili taarifa hiyoiwekwe saini na kuungwa mkono, ni matakwa ya Kanuni sio ya kwangu, ndio maana kila mmojalazima asome hivi vitu. Taarifa hiyo iwekwe saini na kuungwa mkono na Wabunge wasiopunguaasilimia 20 ya Wabunge wote na ili kukidhi matakwa haya asilimia 20 ya Wabunge wote,Wabunge wote humu ni 357, kwa hiyo asilimia 20 maana yake ni lazima iwe na Wabunge 72kwenda mbele. Tukishaipokea taarifa hiyo kwa maandishi na ina saini za Wabunge 72 kwendambele walioweka saini zao na kuunga mkono kwamba hoja hii sasa iingie humu, itaingia,itajadiliwa, itapigwa kura za siri, sio zile za kuhoji za wote na maamuzi yake yatakuwa ndiomaamuzi ya Bunge wala sio ya Naibu Spika au Spika au mtu mwingine yeyote. Nilitaka nieleze hili ilituelewane, ni vizuri tuendeshe mambo haya katika taratibu ambazo zimewekwa. (Makofi)Naomba sasa nimwite Mheshimiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii aualiyeandaliwa kwa ajili hiyo.MHE. JUMA S. NKAMIA (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII):Mheshimiwa Naibu Spika, kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge, Kanuni ya 99(7) na Kanuniya 114(11) Toleo la Mwaka 2007 nachukua fursa hii kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu maoniya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusu Utekelezai wa Bajeti ya Wizara yaHabari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa Mwaka 2010/2011 na Makadirio ya Mapato naMatumizi ya Wizara kwa Mwaka 2011/2012.Mheshimiwa Naibu Spika, Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii ilifanya kazi ya kufikiriana kuchambua Bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo tarehe 02 na 03 Juni,34
2011 wakati wa vikao vya Kamati vilivyofanyika Jijini Dar es Salaam. Katika vikao hivyo,Mheshimiwa Dkt. Emmanuel John Nchimbi (Mb), Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezoalitoa taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati kwa kipindi cha Mwaka wa Fedha 2010/2011.Aidha, Kamati ilielezwa kwa kina kuhusu utekelezaji wa mpango wa maendeleo, mapato namatumizi kwa mwaka 2011/2012, makadirio ya mapato na matumizi ya fedha pamoja na kazizilizopangwa kutekelezwa na Wizara kwa mwaka wa fedha 2011/2012.Mheshimiwa Naibu Spika, malengo ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2011/2012.· Kuendeleza mafunzo ya Utawala Bora, mpango wa kazi kwa Viongozi wa Vyamavya Michezo vya Taifa kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi zao katikakuendeleza michezo nchini;· Kusimamia chaguzi za Vyama vya michezo vya Taifa vitano ili kuimarisha UtawalaBora katika michezo na kuondoa migogoro ndani ya Vyama vya Michezo;· Uendelezaji wa Vituo vya Utamaduni na Masoko katika Mikoa ya Dodoma naMorogoro;· Kuendeleza Tasnia ya Utamaduni katika utaalamu asilia wa usukaji kwaakinamama waishio vijijini katika Mikoa ya Tanga, Iringa na Dodoma kwa lengo lakuanzisha viwanda vidogo vidogo katika maeneo hayo;· Baraza la Sanaa la Taifa litaendesha mafunzo ya Sanaa kwa Walimu 100 katikaWilaya mbili za mkoa wa Morogoro kuhusu utambaji wa hadithi na uchoraji;· Kuhakikisha filamu zinazotengenezwa zinazingatia maadili ya Kitanzania,zinatangaza Taifa na zinazingatia Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Na. 4 yaMwaka 1976 na Kanuni zake;· Kuandaa na kurusha vipindi 52 vya “Lugha ya Taifa” vipindi 52 vya“Kumepambazuka” katika redio na vipindi 52 vya “Ulimwengu wa Kiswahili” katikatelevisheni;· Kujenga kituo cha kurushia Matangazo (FM Trasmitting Station) huko Zanzibar;· Kuimarisha vituo tisa vya FM vya kurushia matangazo ya TBC huko Shinyanga,Manyara, Moshi, Morogoro, Iringa, Mpanda, Newala, Songea na Tunduru; na· Kuweka mfumo wa kudhibiti matangazo (TV & Radio Monitoring System of Airtime,sales and billing).Mheshimiwa Naibu Spika, makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2011/2012. Ilikutekeleza vyema majukumu yaliopangwa kwa Mwaka wa Fedha 2011/2012, Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, inaomba kuidhinishiwa Shilingi bilioni 18.5. Kiasi hiki kimeongezekaukilinganisha na Bajeti ya Mwaka jana ambapo Wizara ilipewa Shilingi bilioni 18.4. Ongezeko hilibado ni dogo na halikidhi mahitaji ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali ya Wizara.Mheshimiwa Naibu Spika, maoni na ushauri wa Kamati kuhusu Bajeti ya Wizara kwaMwaka 2011/2012. Kwanza, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Kamati inalipongeza Shirika kwakazi nzuri zilizofanyika kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011 ikiwa ni pamoja na Mradi wa vituo tisa (9)vya redio FM, mradi wa kuboresha studio ya Mikocheni kuwa ya dijitali, kuonesha matangazo yakombe la dunia 2010 na kutangaza harakati za uchaguzi mkuu 2010. Pamoja na mafanikio hayo,Shirika la Utangazaji Tanzania linakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo:-· Ucheleweshwaji wa kupatiwa fedha za maendeleo zilizotengwa mahususi kwa ajiliya miradi ya Shirika. Mwaka wa Fedha 2010/2011 Shirika lilitengewa shilingi1,200,000,000 na hadi kufikia mei 2011, Shirika lilikuwa limepokea shilingi600,000,000 tu;35
- Page 7 and 8: Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16: Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18: MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20: inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22: Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26: katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86:
hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88:
Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90:
tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92:
MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94:
jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95:
na yakizungumza habari ya interest