na TAMISEMI hawana fungu la utamaduni. Sasa sielewi atafanyaje nao kazi kama alivyosemakwenye hotuba yake.Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya swali hilo mimi ninaomba nizungumze kuhusu suala lawasanii. Labda leo nizungumze maana siku zote na miaka mitano iliyopita nimekuwa nikilia ndaniBunge hili na ninashukuru sana sasa nimepata wasemaji wengi wa kutetea jambo hili. Leonaomba nizungumze lakini nikizidiwa basi nitalia, la hasha nitashindwa kuunga mkono hoja kwamambo yafuatayo:-Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kweli wasanii wengi wa Tanzania mpaka sasa hivi hatimayao haijulikani iko mikononi mwa nani. Niliwahi kuzungumza hapa, nikasema kwamba hili dawati lautamaduni kwanza linaonekana halina mwenyewe, hata fungu lake halionekani na ndiyo maanahata kazi zake haziendi. Matokeo yake imebaki kuwa ugomvi kati ya wasanii kwa wasanii, kwasababu hawana mwenyewe. Sasa mimi niliwahi kusema kwa nini isiundwe Wizara ya Utamadunipeke yake, mbona inaweza ikazalisha sana na kuleta pato kubwa sana nchini. Kwa nini badomnaipachi pachika. Ninaomba itengwe na ikae peke yake kama Wizara nyingine ili kuwezakuainisha mambo mengi ambayo yanaweza yakaleta tija. Sanaa ni biashara, sasa nisemekwamba ninamshukuru sana Mheshimiwa Waziri pamoja na hayo ameweza kusimamia na kuundamashirikisho ambayo yako manne, kuna la filamu, muziki, sanaa za maonyesho pamoja na sanaaza ufundi. Lakini hivi unawezaje kumpa mtu mpini wa jembe na unamwambia aende akalime?Hawa watu hawana fungu lolote, hakuna Bajeti yoyote hivi wataanzia wapi hata kufanya kazizao. Matokeo yake inabaki kwamba kuna majina, kuna mashirikisho sijui lakini vitendea kazihakuna. Nilikuwa nazungumza nao hapo nje, hata nauli za kuwaleta hapa wamejileta wenyewe.Sasa hizo kazi watafanyaje na tunasema wazunguke nchi nzima kuangalia vipaji vya vijana iliwaweze kupata ajira. Mheshimiwa Waziri ninaomba sana litengwe fungu au Bajeti kwa ajili hayamashirikisho manne wapatiwe fedha kwa ajili ya kuanzia. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, labda niseme kwamba kuna jambo ambalo mimi linanisikitishasana. Sina hakika kama COSOTA kule ilipo ipo mahala pale. Sidhani kama ni mahala pake, kwasababu imeshindwa kufanya kazi yake. Wasanii wamekuwa wakiibiwa kazi zao lakini bado sasahivi tunasema sijui mastering studio, sijui Mheshimiwa Rais ameipeleka wapi na sijui imekuwaje. Hilowala si kosa la Rais, wala si kosa la wasanii. Bali Wizara imeshindwa kutimiza wajibu wake kwenyeupande wa sanaa na ndiyo maana mlishindwa kumwelekeza. (Makofi)MWENYEKITI: Mheshimiwa Mbunge kidogo samahani. Naomba u-declare interest yakokatika fani hii, itakugharimu sana. (Makofi)MHE. MARTHA M. MLATA: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante. Ni kweli mimi pia ni mtunzi nani mwimbaji wa nyimbo za injili. Kwa hiyo, ni msanii na pia ni mwigizaji. Nimekuwa niki-declareinterest mara nyingi labda ndiyo maana leo nimejisahau. Lakini ni kweli na ninafanya hiyo biasharalakini sasa hivi inanishinda kwa sababu ya mfumo mbovu uliopo. Unapeleka kazi zako lakini hupatipesa yoyote, anafaidika mtu mwingine, tumewatajirisha watu wengine ambao hawajatokwa najasho lolote. Kwa hiyo niseme, Wizara mlishindwa kumwelekeza Rais ni wapi apeleke kile chombondiyo maana kikaangukia mahala ambapo wao walikuwa tayari na ndiyo wao walionekanambele ya Mheshimiwa Rais. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa ninachosema ni hivi, wasanii Watanzania hawahitajimastering studio bali wanahitaji usalama wa kazi zao zisiibiwe, wanahitaji faida ya kazi zaowanapofanya kazi zao. Kwa hiyo, wasanii hawahitaji studio maana zipo nyingi wanawezawakarekodi popote hata majumbani zipo. Lakini usalama wa kazi zao. COSOTA inafanya nini?Sasa hivi amejitokeza Msama Promotion ndiye anayekamata kazi za wasanii, anasaidiwaje sasa?Kazi zingine zipo polisi, tunasema Sheria iletwe hapa, kazi zikipelekwa Mahakamani faini shilingi200,000/=. Yaani hivi kweli Wizara ipo serious?Kwa hiyo, mimi ninaomba sana hasa mikataba hii ya wasanii na hawa wanaojiitamapromota, mameneja sijui washauri na wasambazaji, ni feki yote. Wizara wekeni utaratibu ilimuweke wanasheria wa kusimamia mikataba ya wasanii na wasanii waweze kufaidika. Ninaombasana. (Makofi)80
Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna jambo lingine ambalo naomba niliongee mapemanalo ni kuhusu Nyumba ya Sanaa. Nyumba ya Sanaa kile kiwanja kilitolewa na Baba wa TaifaMwalimu Nyerere kwa wasanii. (Makofi)Mimi mwenyewe nimefanya biashara pale kwa kupeleka kazi zangu za sanaa, kutoka kuleSingida kwa akinamama walifuma visonzo, nimekuta Tatunane wapo pale, nimekuta walemavuwapo pale, wale watu walikuwa wanatafuta masoko nje. Lakini sasa hivi nataka kujua, ni nanialiyepeleka kesi Mahakamani ya jengo lile? Jengo lile lilijengwa na Wanorway na Waswedish. Nanimwenye haki ambaye amemilikishwa sasa hivi?Mimi siungi mkono mpaka niambiwe jengo lile linarudi mikononi mwa Wizara ile ni mali yaSerikali. Wale walikuwa ni Bodi tu. Bodi unaweza ukajimilikisha kitu kikawa ni cha kwako? Sasa hivisijui tunaambiwa wameingia ubia, unaingia ubia who are you? Unaingia ubia na nani?Ninaomba jengo lile niambiwe kwamba litarudi mikononi mwa Serikali ili wasanii na vijana,walemavu, akinamama wote wakapate faida kwenye lile jengo. Tulikuwa tunatafutiwa masokompaka nje ya nchi. Wanawake wote Tanzania walikuwa wanapeleka bidhaa zao pale, vijanawote walikuwa wanakwenda kujifunza kazi za sanaa pale, halafu leo eti watu wanasematunagawana, tunaingia ubia. Who are you? Tumuezi Baba wa Taifa, alitoa kwa nia nzuri na si kwaajili ya mtu mmoja. Ninataka nipate maelezo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema hayo ninaomba TCRA na TRA washirikiane naCOSOTA kwa ajili ya kuweka nembo kwa ajili ya kudhibiti wizi na ujangili unaofanywa na hawawatu wanaodhulumu na kuiba kazi za wasanii. Watu wanasema eti niseme COSOTA ni nini?Mheshimiwa Mwenyekiti, COSOTA ni chama kinachosimamia Hakimiliki na Hatimiliki, lakininaamini wameshindwa kufanya kazi yao, ama kitolewe kule kiletwe kwenye Wizara yako maananaamini unaweza ukakisimamia vizuri. Lakini msimamo wangu bado ninasema utamaduniinyofoeni pale maana imeongezewa tena vijana, habari, michezo kila kitu na hela umepewandogo sijui utafanyaje kazi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema hayo, siungi mkono hoja. Ahsante. (Makofi)MWENYEKITI: Nakushukuru sana. Naomba niwakumbushe Kanuni 61(2) inayohitaji kamauna interest na suala lolote u-declare interest mapema. Ni muhimu na ukisha-declare interestunaendelea na mchango wako.TAARIFAMBUNGE FULANI: Mheshimiwa Mwenyekiti, Taarifa.MWENYEKITI: Tumeelekeza kwanza usimame utulie sehemu yako, nitakuona na usiongeekabla ya ruhusu. Kwa hiyo, naomba tuendelee. Naomba kumwita Mheshimiwa Sabreena Sungura.MHE. SABREENA H. SUNGURA: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante kwa kunipatia nafasi hii namimi niweze kuchangia kwenye Wizara hii ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongezaWaislam wote wanaofunga mwezi huu Mtukufu. Pili, napenda kuwashukuru Wabunge wote humundani kwa ushirikiano waliotupa hasa katika mwezi huu. Hatuna cha kuwalipa ila Mwenyezi Munguatawalipeni. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, katika hoja hii napenda kuanza kuchangia kuhusu Idara yaHabari. Mheshimiwa Mwenyekiti, Wizara ina Idara ya Habari ambayo wananchi wamekuwawakituma hoja mbalimbali kupitia tovuti ya wananchi, kutuma sms na hata wakati mwinginekuandika barua na wakipatiwa majibu mbalimbali. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini ningependa kumwambia Mheshimiwa Waziri kwamba njiahii imekuwa na changamoto zake hasa hasa kwa upande wa tovuti ya wananchi. Watanzania81
- Page 7 and 8:
Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12:
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14:
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16:
Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18:
MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20:
inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22:
Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24:
Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26:
katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28:
wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86: hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90: tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92: MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94: jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95: na yakizungumza habari ya interest