12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

· Ufinyu wa fedha za ruzuku kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Kwa mwaka wafedha 2011/2012, Shirika limetengewa kwa mwezi shilingi 100,079,416 ambazo nipungufu kwa asilimia 44.6 ikilinganishwa na kiwango cha mwaka wa fedha2010/2011. Hali hii inakwamisha utekelezaji wa shughuli za maendeleo na miradimbalimbali;· Kutotekelezwa kwa Mkataba wa Utendaji wa mradi wa dijitali ambapo Serikalihaijatoa udhamini wa Mkopo unaotolewa na Benki ya Maendeleo ya Chinayaani China Development Bank;· Ukarabati wa vifaa vya kurushia matangazo (OB VAN equipments) vya televishenibado haujafanyika kutokana na ukosefu wa fedha za mradi kwa wakati;· Shirika lina upungufu wa watumishi 33 pamoja na vitendea kazi kwa ajili ya vituovipya vya FM vilivyoanzishwa; na· Wizara na Idara nyingi za Serikali hazijalipa madeni yao kwa TBC kwa muda mrefukutokana na huduma za vipindi mbalimbali vilivyotangazwa katika Shirika hilojambo ambalo linakwamisha baadhi ya shughuli za TBC kutofanyika kwa wakati.Mheshimiwa Naibu Spika, Kamati inatoa ushauri ufuatao:-· Serikali itambue umuhimu wa Shirika hili na kulitengea fedha za kutoshakujiendesha na Fedha za Maendeleo zitolewe kwa wakati ili kurahisisha utekelezajiwa miradi mbalimbali;· Kufuatia ukomo wa matumizi ya mitambo ya analojia kwa nchi za Afrika Masharikiifikapo mwaka 2012, Shirika la Star Media lenye ubia na Shirika la Utangazaji TBClimeanza kutekeleza mradi wa televisheni wa digitali. Hata hivyo, mradi huoumekuwa mgumu kutekelezeka kwani Serikali haijatekeleza baadhi ya vipengelevya mkataba wa utendaji ikiwemo udhamini wa mkopo unaotolewa na ChinaDevelopment Bank ambao unatarajiwa kuwezesha ukamilishaji wa ujenzi wamitambo hiyo ya dijitali nchi nzima.NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nawaomba tumsikilize vizuri Mheshimiwa Nkamiakwa sababu usomaji wake ndivyo inavyotakiwa taarifa zisomwe. Sasa wale wote wanaokujambele hapa tujifunze, Mheshimiwa Nkamia endelea. (Kicheko)MHE. JUMA S. NKAMIA (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII): Kamatiinashauri Serikali ione umuhimu wa kutoa udhamini wa mkopo haraka kwani ucheleweshaji huuutaathiri mradi kutosambaa nchi nzima kabla ya ukomo wa matumizi ya mitambo ya analojia;· Serikali iboreshe jengo la TBC Mikocheni kwa kukamilisha jengo lililowekewa msingina Rais mstaafu Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi zaidi ya muongo mmoja uliopita iliTBC nzima ihamie eneo la Mikocheni. Hii itasaidia kutoa nafasi ya eneo la Ofisi zaNyerere Road kutumiwa na Wizara ya Habari badala ya kuendelea kutumiafedha nyingi kugharamia kodi ya pango katikati ya mji kama ilivyo sasa; na· Serikali kuziagiza Taasisi na Idara zake zinazotangaza vipindi vyake mbalimbalikupitia TBC kulipa madeni kwa wakati ili kuliwezesha Shirika hili kujiendeshakikamilifu katika maeneo ambayo halitegemei fedha za Serikali moja kwa moja.Aidha, Shirika lione umuhimu wa kutangaza habari za michezo inayohusisha timuzetu za Taifa zinapokwenda nje ya nchi badala ya kutegemea wafadhili tu.(Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, Kamati inaona kuwa kuna umuhimu wa Serikali kupitisha Sheriaya Huduma za Vyombo vya Habari nchini pamoja na ile ya Haki ya kupata Habari na kushirikiana36

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!