12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mchango wangu utasimama katika mambo matatu, kwanza kabisa nitakuwa nalawama, pili nitakuwa na ushauri, lakini pia nitakuwa na pongezi. Lakini kwa kuwa fikra zamwanadamu zimejengeka zaidi katika mambo mazuri kwa hiyo naomba Mwenyekiti nianze kwapongezi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, pongezi za kwanza nawapongeza Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi pamoja na Naibu wake kwa hali yamoyo wa kujitolea katika kusimamia na kuendeleza michezo na utamaduni katika nchi yetu.Pongezi za pili napenda nikipongeze Chama cha Waandishi wa Habari wa Michezo chini yaMwenyekiti wake Bwana Juma Pinto kwa tukio la kihistoria kabisa ambalo wamelianzisha kutoazawadi kwa wanamichezo wanaofanya vizuri lakini zaidi kwa kumtunukia tuzo maalum Rais waAwamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa katika tuzo hizo zilizofanyika mwezi uliopitakwa jitihada zake za kukuza michezo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda pia nimpongeze Rais wa TFF Leodgar Tenga kwakuteuliwa kwake kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).Lakini pia nampongeza Naibu wake Athumani Nyamrani kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi yaRufaa katika Shirikisho hilo la Soka la Afrika. Napenda pia kuzipongeza timu za Azam na Mtibwakwa jitihada zake za makusudi kwa mshikamano wake wa dhati kabisa katika kuendeleza soka laTanzania, huu ni mfano wa kuigwa na wanastahili kupata pongezi za kutosha kabisa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, makocha wazawa ninao wachache ambao nitawatamka hapalakini ni wengi ambao wanastahili pongezi. Jamhuri Kiwelu, Silvester Mashi, Salum Mayanga naRamadhani Aluko wamefanya kazi kubwa sana ya kuibua vipaji katika nchi yetu. Michezo marazote inahitaji ioneshwe na isikike.Lakini wapo waandishi ambao wamekuwa wanaandika makala ya aina mbalimbalikusaidia kuinua michezo na kusaidia kuelimisha michezo. Nampongeza sana Keny Mwaisabula,Kambi Mbwana, Abdurahman Kipenga na Edo Kumwembe kwa makala ambayo wanatoa katikavyombo mbalimbali vya habari, lakini siwezi kumsahau Shafii Dauda na Alex Luambano kwauchambuzi wao makini wa michezo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, upande wa michezo, nikifuata kitabu hiki cha hotuba nasemakabisa sitoweza kuchangia kama vile ambavyo mwenyewe mtazamo wangu unavyoona na halihalisi ilivyo. Mchango wangu wa maandishi nimeuwasilisha hapo kwa Mheshimiwa Waziri, kwahiyo, utawiana zaidi na kitabu hiki cha hotuba ambacho wametugawia. (Makofi)Mimi ni mkweli na dua yangu kwa Mwenyezi Mungu kila siku naomba aniue nikiwanasema ukweli. Sasa hivi timu yetu ya Taifa imepoteza mwelekeo na haina dira, ni ukweliusiofichika kocha hatufai. Kocha wa Timu ya Taifa hakuna jambo hata moja ambalo amewezakutufanyia mpaka hii leo tusisubiri mpaka tuzidi kuharibikiwa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwenye suala la michezo mapendekezo niliyoyatoa hapo kwaSerikali kupitia Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wetu wa Awamu ya Nne ametoa fedha nyingisana ukiangalia wastani zaidi ya dola 30,000 zinapotea kila mwezi kuwalipa makocha wa kigeni.Malazi yao na usafiri wao makocha hawa hawana msaada wowote, kwa nini fedha hizitusijielekeze kuwasaidia vijana wetu hapa Watanzania wenzetu wakaenda Ulaya kwendakujifunza au kwenye nchi zilizoendelea wakaja kufundisha mpira hapa? Ni jambo ambalolinastajaabisha sana unawezaje kutengeneza timu ya Taifa bila ya kutengeneza msingi? Walimuwa shule za msingi ambao wanakuza vijana hawana elimu ya michezo, makocha ambaowanafundisha timu za daraja la pili, la tatu, timu za mikoa, wilaya hawana ujuzi. Sasa kwa ninitunaelekeza fedha hizi zote kuwanufaisha watu wawili tu wakati tungeweza kuwanufaisha watuwengi zaidi? Hili nasema mliangalie vizuri na mliangalie kwa makini. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kuwa hapa tunazungumza na Serikali, tunaishauri Serikalikama Katiba inavyotamka Bunge kazi yake mojawapo ni kuisimamia Serikali, naishauri Serikali ifute76

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!