12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Je, hawa watu wapo na wanafanya kazi ya vijana? Hii ni changamoto kwa Serikali.Tunaomba mhakikishe kwamba Maafisa Vijana wanapatikana na ni maeneo mengi tu ya nchi hiihawapo na waliokuwepo wanakaimu. Unakuta Afisa Utamaduni ndiye anakaimu nafasi ya AfisaVijana. Hili ni tatizo. Ama unamkuta mtu ni mtu mzima anawekwa kwenye Idara ya Vijana. Jamanimtu huyo kweli atajua changamoto za vijana! Serikali hili ilifanyie kazi, Waziri pale uchukue kamachangamoto hii, upite katika Halmashauri zako za Wilaya na Manispaa mbalimbali, tunatakaMaafisa Vijana wawe vijana. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda sasa nigusie suala lingine, suala zima la michezo.Michezo imekuwa na faida kubwa sana katika nchi yetu, katika uchumi wa nchi, katika afya zetuna katika mazingira mengine. Napenda binafsi katika sekta ya michezo niugusie hasa Mkoa waKigoma na kama sitauongelea Mkoa wa Kigoma katika maendeleo ya michezo ya nchi hii,nitakuwa sijautendea haki Mkoa huu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Kigoma tunafanya vizuri katika sekta ya michezo, lakini hatupatisupport ya kutosha kutoka Serikalini na hata inapofikia hatua tunakua na mashindano mbalimbalikwa mfano, Taifa Cup ama Copa Coca Cola, Mkoa unakuwa unakosa pesa za kutosha kuwezaku-support shughuli hizi za michezo. Mara nyingi tumekuwa tuaambiwa kwamba RAS anapatabarua kutoka kwa Waziri Mkuu, anaambiwa ashughulikie masuala haya, lakini hali sivyo, imekuwawananchi ndiyo wanachangishwa na Wabunge hapa wakati mwingine tuna-support na wadaumbalimbali wa michezo. (Makofi)Kwa hiyo, Serikali isikae pembeni ikaona hili jukumu ni la wananchi peke yake na yenyeweisaidie kukuza sekta hii hasa kwa Mkoa wa Kigoma. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Kigoma tunaomba tujengewe shule ambazo zitakuwa ni SportAcademy. Mfano mzuri Kigoma tumekuwa na wachezaji wazuri wakiwemo akina Sunday Manara,Ismail Mwarabu, Makumbi Juma, Abeid Mziba, Thomas Kipese, Hamza Maneno, Kaseja na hataakina Akilimali Yahaya. Hawa ni wachezaji wazuri katika nchi hii wakitokea Mkoa wa Kigoma. Kwanini hamtupi vipaumbele? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tumeona juzi juzi kwenye Shindano la Copa Coca Cola, timu yavijana chini ya miaka 17 kutoka Kigoma, michezo yote kumi waliyoshiriki wamekuwa wakitandikawatu bao nne, tatu, nne, tatu, michezo yote kumi, hamna aliyevimbisha kifua mbele yao. Namwishoni wakaja kuwachapa Morogoro hapa. Kwa nini tusichukulie fursa hii kuinua michezo katikaMkoa huu? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, katika timu hiyo, watoto sita wameachwa wachezee timu yavijana ya Taifa, wanne wakipelekwa chini ya Azam FC under seventeen. Jamani hatuoni kamaMkoa huu umekuwa na changamoto kubwa katika sekta ya michezo? Na huu ni wakati muafakasasa tuwatengezee Sport Academy kwa sababu wamekuwa wanafanya vizuri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, changamoto nyingine inayotukabili kama Mkoa, MaafisaMichezo hatuna. Katika Halmashauri tulikuwa naye, lakini hapa juzi juzi tumeambiwa kaletwaDodoma. Kwa hiyo, pamoja na kufanya kwetu vizuri, lakini bado tunahitaji Maafisa Michezoambao wataweza kuzishauri timu zetu.Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini changamoto nyingine imekuwa ni hizi kozi za kuwafundishawenzetu waamuzi na makocha, zimekuwa zinakuja mara chache sana na hata zikifika, vyetivinakuwa vinachelewa kutolewa. Kwa mfano, Februari mwaka jana watu walipatiwa mafunzombalimbali, lakini mpaka mwaka huu, leo hii naongea, watu hawa hawajapatiwa vyeti, kwa hiyo,hii ni changamoto. Mheshimiwa Waziri, hakikisha mafunzo haya yanapotolewa, basi wananchihawa wanapatiwa vyeti vyao. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini changamoto ya mwisho inayotukabili kama Mkoa niUwanja wa Lake Tanganyika. Uwanja ule ni mkubwa, ni mzuri, lakini Serikali mmeusahau. Uwanjaumeanza kufifia, hauna maintenance. Mheshimiwa Waziri, tunahitaji maintenance,na sisi tunahitajimaintenance ya ule uwanja ili watoto wetu waweze kuibua vipaji mbalimbali. (Makofi)83

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!