12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

mnapendeza, kwa nini mnatembea uchi? Sasa tunatangaza nini? Hata kama pale kwenye hizibongo flava wanavyoimba wanaimba pale huwezi kuelewa anaimba Kiswahili, anaimbaKiingereza. Sasa imba kitu kijulikanike kama unaimba Kiswahili tujue unaimba Kiswahili, kamaunaimba Kizaramo tukujue unaimba Kizaramo, kama unaimba Kiingereza basi tujue unaimbaKiingereza kuliko kuchanganya lugha ina maana gani? (Makofi/Kicheko)Leo ukienda kwenye mabango yote jamani mimi nasema si Watanzania wote wanajuaKiingereza, mabango mengi utakuta yameandikwa lugha ya Kiingereza, kwani hakuna Taifalililoendelea kwa kuiga lugha za watu. Kwa nini tusienzi lugha yetu? (Makofi)Mimi nasema tuienzi lugha yetu aliyotuachia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Raiswetu wa kwanza, kwa sababu kuna watu wanatoka labda vijijini huko mikoani wanakuja hapaDar es Salaam wanatafuta shule labda shule anaweza kuipita mara tatu, tatu lakini anakutabango limeandikwa Kiingereza hajui jamani. Kwa nini tusiwe kama Watanzania, kwani ukifika kwaMjerumani leo unakuta anaongea Kijerumani na anakuwa na mkalimani, kwa nini ukienda kwenyemaduka ya Kikorea kama Kikorea huwezi kuuziwa kitu dukani, kwa nini ukienda Japan unakutaMjapani anaongea Kijapani kama wewe huna mkalimani huwezi kuuziwa kitu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sisi tutafikisha wapi hili Taifa ambalo tunaliacha vijana ambaotunawaacha tunasema ni Taifa la kesho lakini mimi nasema kijana ni Taifa la leo. Hapo nimetoka.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lingine naomba kuchangia kuhusu hawa waporaji wa kazi zawatoto wetu. Hawa wasanii wanafanyakazi katika mazingira magumu. Sasa nasema mtu yeyotena naomba Bunge hili lipitishe Sheria atakayekamatwa na kazi ya msanii ambaye hajaitolea jashobasi achukuliwe hatua. Siyo apigwe faini ya 200,000 halafu arudi tena kwenda kuiba sitaki. Hawawatoto nataka waenziwe kwa kazi zao na wapate ajira. Kwa kweli vijana hawa wanakata tamaa.Kukata tamaa kwa vijana wanakwenda kwenye magenge. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kweli siungi mkono hoja hii mpaka vijana hawa wapateufumbuzi wake. (Makofi)MWENYEKITI: Ahsante sana kwa michango yako mizuri ya kizalendo. (Makofi)MHE. HAMAD ALI HAMAD: Mheshimiwa Mwenyekiti, nami nashukuru kupata nafasi hii yakuchangia Wizara hii ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. (Makofi)Awali ya yote naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia waislam wotetukamaliza kumi la rehema, namuomba Mwenyezi Mungu atulipe rehema kwa kumaliza siku kumihizi za awali. Lakini nimuombe Mwenyezi Mungu atuwezesha kuifunga Ramadhani hii kwa salamana amani. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya shukrani hizo kwa Mwenyezi Mungu naombanichangie Wizara hii na naomba nianze kwa kusema kwamba michezo ni kazi na michezo ni ajira.Mataifa yote duniani wana michezo wanafaidika na wanakuwa nauwezo wa hatakusaidia mambo mbalimbali katika nchi nyingine kwa sababu ya vipato wanavyopata kwasababu ya kazi za michezo.Lakini kwa nchi yetu ya Tanzania michezo inaonekana kama ni burudani ndio maanahakuna wachezaji wa michezo mbalimbali ambao wamestaafu michezo na wanamudu maishayao hivi leo. Inasikitisha kwamba mchezaji siku akitundika jezi anakuwa jina lake nalo limepotea.Vinginevyo labda kwa imani yake aseme kwamba bado nina hamu ya kufundisha michezo fulanifulani katika nchi yangu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hata pale mchezaji anapopata bahati mbaya ndani ya michezoya kuwakilisha Taifa inasikitisha kwamba hakuna chochote kinachomlinda kwa maslahi ya maishayake baada ya kupata bahati mbaya ya kuumia kwenye michezo. Naiomba Wizara izingatie92

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!