Mheshimiwa Mwenyekiti, Mzee Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu amezungumziasana umangimeza, ubinafsi kwenye Wizara zetu. Huu ni mzigo mzito kwa sababu bahati nzuriWaziri Mkuu yuko hapa labda wengine wanaogopa kusema lakini ukweli ndio huo. Mawaziri naNaibu Mawaziri sio wenye mzigo mle ndani ya Wizara, matatizo yako kwenye utendaji. Washaurihawapo, utakuta Wizara ina Msemaji wa Wizara, utakuta ina Wanasheria, lakini wanashindwakuwashauri, kwa sababu mtu kama Waziri anabeba Taifa, habebi jimbo anaangalia mikoa 24,Wilaya 100 na kitu yeye ana mzigo mzito kuliko mimi mwenye Jjimbo lenye kata 19, vijiji 136.(Makofi)Kwa hiyo, anapofanya kazi yake anaangalia Taifa kama Taifa, haangalii Jimbo lakehaangalii Mkoa wake. Sasa kama hawasaidiwi maendeleo yatakuwa magumu sana. Kwakiingereza tunasema charity begins at home. Hapa nyumbani tunashindwa hata Mheshimiwa Raismnashindwa kumshauri. Nimshukuru Mheshimiwa Mwambalaswa, Mheshimiwa Mangunguwamezungumza vizuri. Tunatumia five billion kumweka Maximo hapa nchini for ten years. Hiyo fivebillion sasa hivi tungekuwa na walimu wa michezo na tungejigawa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kama ni mia moja wangekwenda kwa sababu na sisitulisomeshwa na Serikali zilikuwa zinakuja scholarship mia moja tunasoma nje tunarudi kutumikiaTaifa. Kule wenzetu kila mmoja ana utalaam wake. Mimi kama mimi ukinipa watu mia moja, watu25 nitawapeleka Latin America, kama Brazil au Argentina, wengine 25 nitawapeleka Seria A, 25nikawapeleka pale Uingereza waliobaki nitawapaleka hata kama ni Ujerumani au wapi ili kusudiMikoa yetu 24 inaweza kuwa na makocha wa Kimataifa kila baada ya miaka mitano tukitoamakocha hata 20 au 30 nchi hii itakwenda. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tunaposema kuihamasisha michezo ni kama kwenye kilimo tupopale pale. Wewe unaniambia Kilimo Kwanza leo nakulimia hekari 1,000 sijui nyanya nikilimanaipeleka wapi kutengeneza Tomato Sauce na kwenye michezo ni hivyo hivyo. Tumehamasishandugu zetu vijijini kila mahali. Mpango wa MMEM tumekamilisha na Mpango wa MMES. Leotunazungumzia michezo, sijasikia Serikali inasema kwamba tujiandae vipi na michezo. Tumelipigiakelele na mpaka leo linaendelea. Unapojiandaa kwa michezo watu wenye taaluma wapo wenginchi hii. Tupo milioni arobaini na kitu na wakati nachangia kwenye Wizara ya Uchukuzi nilisemawataalam wengi wamo humu ndani ya Bunge. Lakini nashangaa Wizara hazitaki kuwatumia walaSerikali haiwahitaji kutoa michango yao. Siamini kama Serikali itashindwa kutoa exemption kuletahata kontena 20 za mipira na jezi tukaanzia mashuleni, hilo siliamini. Kwa sababu kama tumesemavifaa vya michezo watoto wetu hawana pesa, Serikali itoe exemption, makontena yaingie hapa,Halmashauri zipo, Madiwani wapo, Wenyeviti watendaji wapo, wenyeviti wa Serikali wapo. Shulezote zitakuwa accommodated. Huyo huyo Diwani anayebeba Kata sita mnampa kazi kwambaongea na walimu wako, pekua shule zako, kila shule itutolee wachezaji wawili tuanze kuchuja,sasa hizo programu hatuoni. Tunaandika kwenye makabrasha makubwa kama haya mambomengi sana lakini kwenye utendaji huwa hakuna. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nije kwenye uwajibikaji. Kama nilivyosema watendaji wetu lazimawasaidie Mawaziri. Tunalipa pesa, tunapitisha haya mahela, mtu anakaa ofisini hali ambayotunayoikabili sisi vijana, mtendaji hajakanyaga hata siku moja, Afisa Michezo yuko pale Wilayanihana pikipiki, kupewa gari na Halmashauri ni kazi, hiyo michezo itaendeleaje?Kwa hiyo, unakuta kwamba zile takwimu za kujua shule ziko ngapi zinazocheza mipira,shule za sekondari ni ngapi, form five na form six wangapi, vyuo wako wangapi? Lakini Waingerezawalisema charity begins at home. Humu ndani tupo Wabunge 367 tukiwaacha dada zetu namama zetu hapa, humu ndani peke yake kuna timu ishirini za watu kumi na moja, kumi na moja.Lakini inashangaza kwamba Bunge linaunda timu moja. Kwa nini sisi tunakuwa wazembe, bilakuonyesha mfano hatuendi.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, mimi naomba hata wale ambao wanaona hawawezikukimbia. Tuanze humu, iwepo A, B, C, tuwe na hata timu tatu. Leo katika watu 367 katimu kamojakashindane na British Council, ni aibu. Kwa sababu na sisi lazima tuonyeshe mfano, wacheza mpiratumo humu humu. (Makofi)78
Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC, tunasema kwamba Serikali hairuhusiwi kufanyabiashara, mimi hilo kwa upande huu naomba Miswada mingine iwe inakuja tunajadiliana. Mimisiwezi kukubali zile nyaraka za TBC ambapo ile maktaba imechoka, ukiangalia zile kanda za plastikitoka Uhuru zimo mle na zinaota ukungu. Tuwe na machungu, hii nchi ni yetu. Vita ya Majimaji,Machifu wetu akina Adam Sapi, marehemu Masanja na Fundikira nyaraka zitapotea. Mimi sidhanikama Taifa letu litakuwa linaelewa hawa wazee walitutoa vipi kwa mkoloni, zile nyarakazinapopata ukungu zikaharibika hatuzipati tena.Mimi ninaiomba Serikali najua sina ubavu huo, ninachokiomba ni kitu kimoja, TBC inajengo, Serikali itoe guarantee wakope hela benki, wamalizie hili jengo kubwa, kuliko haliwaliyonayo sasa. Wana jengo dogo ambalo ni la zamani na haliwatoshi lile jengo jipya wanatumiafloor chache baada ya kutembelea huko unaona mafaili yanapitishwa barabarani kutoka TBC - Akupelekwa TBC - B. Yule mtu anayepitisha hayo mafaili siku akipigwa ngwala zikaibiwa nyaraka inamaana Taifa lipo kwenye janga. (Makofi)Kwa hiyo, mimi naomba itafutwe namna Serikali inaweza kuidhamini TBC ikapewa pesatumalize hilo jengo, wote wakae kwenye kivuli kimoja na lile jengo linaweza kuuzwa ili kusudi TBCipate mtaji mkubwa kwa sababu tunaangalia miaka 50 mbele. Leo tunatimiza miaka 50 tupo watumilioni arobaini na miaka 50 ijayo tutakuwa almost eighty. Kwa hiyo, mimi naomba hilo.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwenye michezo, TFF inapokea dola laki tano kila mwaka karibushilingi milioni 600. Kwa nini haiwezi kutenga asilimia hata kumi kwa ajili vijana? Wao wamekuwanani? Watasifiwa sana lakini nasema hela ile inatolewa na FIFA kuendeleza michezo, vijana kwanini wanatengwa? Kwa sababu taarifa ya habari ya asubuhi leo, dada zetu wanatafuta pesawacheza gofu kwa ajili ya nauli ya kwenda kwenye mashindano. Ni aibu sana kwa Taifa na wakatiTFF ipo na ndiyo chombo chetu kikuu. Kwenye utamaduni hapo ndipo panachosha, utamaduniumeisha. Kwa sababu vijana wa leo hata nchi hawaijui ina makabila mangapi, ngoma ganitulikuwa tunazicheza. Ni aibu sana. Mimi ninachoomba ile dhamana yetu ndani ya maktaba,vijana wetu wajue Watanzania tunaishi kwa amani na tunacheka pamoja. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, ahante sana. (Makofi)MHE. MARTHA M. MLATA: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante sana. Namshukuru MwenyeziMungu kwa kupata nafasi hii. Nampongeza Waziri na Naibu Waziri na timu yake yote kwa hotubaambayo ameiwasilisha hapa. Lakini naomba nianze kwa kutoa pongezi za dhati kabisa kwa timuya msamaria ya mpira wa miguu ya Manyoni ambayo imefanikiwa kuingia daraja la kwanza nasasa hivi wako Tanga. Kwa hiyo, nawatakia kheri na ushindi tupo pamoja. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, niseme pia Mkoa wa Singida una hazina kubwa sana ya watuwenye vipaji hasa vijana wenye mbio na mara nyingi wamekuwa wakikimbilia Arusha. Sasaninamwomba Mheshimiwa Waziri kwa kutambua hilo naomba utuletee chuo cha mafunzo yariadha pale Singida ili uweze kupata hazina kubwa sana katika Taifa hili na kuongeza ajira kwavijana. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, pia naomba niwazungumzie na kuwapongeza waandishi wahabari wa Mkoa wa Singida kwa kweli wanafanya kazi nzuri, kazi kubwa sana japokuwa kaziyenyewe imekuwa ni kwa mazingira magumu sana, hawana vitendea kazi wengi wamekuwawakijitolea kwa fedha zao wenyewe, hawana usafiri, hawana jengo. Kwa kweli wamekuwawakifanya kazi katika mazingira magumu lakini ni kazi nzuri. Niwaombe tu wadau na wapenzi wamambo ya habari kwa ile Press Club ya Singida tuwasaidie waweze kuwa na jengo lao navitendea kazi kwa ajili ya kuinua Mkoa wetu wa Singida, pia kuna suala la utamaduni hasaMaafisa Utamaduni. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sielewi Mheshimiwa Waziri naona amezungumza tu lakini anaMaafisa Utamaduni ambao yeye anadhani ni wa kwake lakini hana Maafisa Utamaduni. MaafisaUtamaduni waliopo kwenye Wilaya wapo chini ya Mkurugenzi kwa hiyo wapo chini ya TAMISEMI79
- Page 7 and 8:
Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12:
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14:
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16:
Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18:
MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20:
inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22:
Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24:
Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26:
katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86: hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90: tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92: MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94: jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95: na yakizungumza habari ya interest