12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa Vijana tumeshaanzisha benki hiyo. Tunaomba tushirikiane ili vijanawote bila kujali itikadi yao ya vyama waweze kupata fursa ya kupata mikopo kwa bei nafuu.Hongera sana Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana na Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Taifa.Naamini kabisa pia fursa hiyo ya mikopo watapata hata vijana wenzetu wa Igunga. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema hayo, sasa napenda kuanza kuchangia.Nianze kwa kumnukuu Mheshimiwa Mbunge mwenzangu Zainab Kawawa wakati akichangiakatika Hotuba ya Wizara ya Kazi alisema vijana ni bomu lingine ambalo linakuja. Ni kweli kabisawakati Serikali inafikiri kushughulikia tatizo la migogoro ya wafanyakazi lakini vijana ni bomu kubwalinalokuja mbele. Vijana wengi hawana ajira na hii si kwa Tanzania peke yake ni kwa Afrika nzimana ndio maana Umoja wa Nchi za Afrika waliliona hilo na kuweka mikakati ya miaka 10 kuanziamwaka 2009 mpaka 2019 kwamba ajenda ya vijana ni agenda muhimu na wengi sasa hiviwanaelekea kukata tamaa na ndio maana wanashiriki katika mageuzi kwenye nchi zao. Miminaomba Serikali iwe makini katika hili tusifike huko, tuwasikilize vijana tuweze kutatua matatizo yao.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mbali ya Tanzania kuwa ya tatu Afrika katika kuzalisha dhahabulakini nasikitika kwamba sekta hii ya madini haijatoa mchango mkubwa wala haijatoa ufumbuziwa kumaliza tatizo la umaskini kwa vijana. Mbali na vijana wachache ambao wananufaika nasekta ya madini labda kwa kuwa na ma-Godfather kwenye migodi lakini bado vijana wengiwanaofanya kazi kwenye migodi wanafanya kazi kama vibarua, hawajui hatma yao ya keshoikoje lakini pia hata hawa wachimbaji wadogo hawajawezeshwa vya kutosha ambao wengi waoni vijana kuweza kumudu gharama za vifaa vya uchimbaji wala kumiliki migodi ya nchi yao.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, katika sekta ya madini, vijana wenzetu wamekuwa watazamajiwa kuona tu madini yanachukuliwa na kwenda nchi zingine. Sasa angalizo langu kwa Serikali kwasababu tayari sekta ya madini imeshindwa kutoa mchango mkubwa wa kumaliza umaskini kwavijana na kutatuta tatizo la ajira, sekta muhimu ambayo itamaliza tatizo hili ni kilimo. Naomba piavijana wasije wakawa manamba katika ardhi yao. Asilimia 80 ya Watanzania wanapata ajirakatika sekta ya kilimo. Sasa Wizara hii ya Vijana imejipanga vipi kuhakikisha vijana wananufaika nasekta ya kilimo? Wakati Waziri wa Fedha anawasilisha bajeti yake alielezea mikakati mbalimbali yaTanzania kuwa na mageuzi ya kilimo na kuwezesha kulisha dunia, fine, sina tatizo nalo lakini je,Wizara hii ambayo naamini ndio coordinator ya Wizara mbalimbali katika issue zinazowahusuvijana imejipanga vipi kuhakikisha vijana wenzetu watanufaika katika sekta ya kilimo?Mheshimiwa Mwenyekiti, nilikuwa napitia vitabu mbalimbali kuna hekta milioni 25 ambazozinafaa katika kilimo cha umwagiliaji, je, Wizara imejipanga vipi kuhakikisha vijana wenzetuwatawezeshwa ili na wenyewe kuweza kumiliki na kuweza kushiriki vyema katika kilimo chaumwagiliaji na hii ipo kwenye mpango wa muda mrefu. Katika mpango wa muda mfupi nilikuwanaangalia kuna hekta milioni moja ambazo zinafaa katika umwagiliaji katika kipindi hiki cha 2015.Sasa je, Wizara inatuambia nini vijana hapa wataweza kumiliki hekta ngapi, mtawawezeshaji kwakutumia mito, maziwa kuhakikisha nao hizi hekta milioni moja kwa kipindi hiki hawaziangalii tuzinakwenda na bado wao wanaendelee kugubikwa na umaskini?Mheshimiwa Mwenyekiti, Mheshimiwa Waziri, namwamini kabisa, vijana wanamwamini,aliweza kulea Taasisi muhimu ya Umoja wa Vijana kwa miaka 10, naomba awasaidie vijanawenzake waondokane na umaskini kupitia sekta ya kilimo. Waziri Mkullo hapa alishatuambiakwamba tutafanya Mapinduzi ya kilimo na watashirikiana na wawekezaji mbalimbali kwakugharimu mabilioni ya dola. Tayari tumeshashuhudia kuna baadhi ya maeneo yameshaanzakutengwa kwa ajili ya kuwekeza kwenye sekta ya kilimo. Tunaomba na hili nalo vijana wasiwewatazamaji kuangalia ardhi yao tu inaondoka na hawafaidiki nayo. Namwomba MheshimiwaWaziri awe coordinator mzuri kwa issues zinazowahusu vijana katika Wizara zote. Kilimo sasa hivindio itakuwa mkombozi wa vijana wasiwe wanaimba tu kauli ya Kilimo Kwanza halafu hawanufaikinayo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hawa vijana asilimia 60 ndio wanaotengeneza asilimia 14.4 yawatu wasiokuwa na ajira Tanzania, naomba sana tuwasaidie vijana wenzetu wasikate tamaa,53

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!