12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni zaidi ya miaka mitatu kama sikosei hawa watu wanaactkama Watendaji wazuri. Kwa huu muda mrefu, wameshajulikana kama hawa watuwanaweza, basi wawekwe wawe full directors, wafanye kazi kwa kujiamini kwamba wako kazinikweli na kama basi hamwaoni kama wanafanya kazi vizuri, basi wateuliwe wale ambaomnadhani watafanya kazi. Wakati mwingine tunatakiwa sisi kama Serikali tushirikiane na hivivyombo vya habari ili tufanye kazi vizuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, nisingependa kuongea sana kwenye eneo hili, lakini pia kablasijatoka kwenye eneo hili la vyombo vya habari, kuna Sheria ambayo ilikuwa inazungumzwaBunge lililopita, sikuwepo, lakini nilikuwa nafuatilia. Kuna Sheria ya vyombo vya habari, ninaaminikabisa Sheria hii ndiyo itakayoweza kuleta tija kwa waandishi wa habari na kwa vyombo vyahabari kwa ujumla. Ninaomba basi Serikali ilete hii Sheria hapa ili tuweze kuijadili. Ninaamini kabisaSheria hii ndiyo itakayoleta tija kama nilivyosema pale mwanzo.Mheshimiwa Mwenyekiti, sheria hii inasisitiza na ni lazima iangalie maslahi ya waandishi wahabari. Naomba Sheria hii iangalie maslahi pia ya vyombo vya habari ili tuweze kufanya kazi kwapamoja kama mhimili wa nne japo haujawa rasmi. Nimesema Wamarekani wamesema kamakungekuwa na mhimili mwingine, vyombo vya habari vingekuwa ni muhimili wa nne. Basi na miminaamini na wote mnaamini vyombo vya habari vingekuwa vikifanya kazi kubwa, tushirikianenavyo ili tuweze kufika kule tunakotaka kufika.Mheshimiwa Mwenyekiti, nimepitia randama ya Wizara, nimeangalia katika mipango yamaendeleo, nimeona kuna mpango wa kuibua fursa ya ajira kwa vijana. Mpango huo umelengakutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana, mpango huo umeandaliwa na Serikali ikishirikiana naShirika la Kazi Duniani, kitu ambacho ni kizuri, nafurahi sana. Lakini ninapenda tu kujua ni vijanawangapi kutoka Mkoa wa Geita watanufaika na mpango huu?Mwisho wa siku, nitapenda kuuliza kama tutajaaliwa mwakani nijue ni vijana wangapiwamenufaika na mradi huu mzuri, maana kama unatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana, basivijana walio wengi maeneo mbalimbali wakipata hii elimu itawasaidia kujikwamua na ugumu wamaisha.Mheshimiwa Mwenyekiti, pia katika hii bajeti, nimeona kuna mradi wa kinga dhidi yaUKIMWI. Mradi huu lengo lake kubwa ni kuhamasisha vijana kubadili tabia ili kupunguzamaambukizi ya UKIMWI, mimba zisizotarajiwa, na watoto wa mitaani.Mheshimiwa Mwenyekiti, ninaomba Wizara hii kama ambavyo vyombo mbalimbalivimejitokeza kuwaibua wanaovuta madawa ya kulevya, wametambulika na wakasaidiwa nawengine wamepatiwa elimu, sasa wamerudi kuwa katika hali nzuri ya kawaida. Kuna kundi dogola vijana nadhani limesahaulika kidogo, ni kundi la hawa mabinti ambao wanajiuza usiku, yaanimachangudoa. Nina imani kabisa kupitia Wizara hii kama litawekwa dirisha na ukawekwautaratibu wa kuwapata hawa mabinti nina uhakika siyo wote ambao wanapenda kufanya hiibiashara haramu na mbaya, ninaamini wanafanya biashara hii pengine kutokana na mazingira,ugumu wa maisha na wengine pengine ni kukosa elimu.Hivyo dirisha hilo kama litakuwepo litawasaidia hata hawa mabinti ambao hawapendikufanya hii biashara, pengine wanafanya kwa sababu ya kukosa elimu na kukosa misaadamuhimu, hii inaweza ikawasaidia wakabadilika na kubadilisha tabia. Kwa sababu fungu lipo kwaajili ya kuwasaidia na kuwahamasisha waweze kubadili tabia. Ninaomba sana Serikali izingatie hilona iwasaidie, maana hilo ni kundi la vijana ambalo limetengewa hili fungu, itakuwa ni vizuri pia nawao wakanufaika nalo.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba niende kwenye Idara ya Utamaduni ambayo ndiyoinabeba hasa jina la Wizara, moja ya jukumu la Idara ya hii ni kuimarisha na kuwezesha sekta yautamaduni iweze kushiriki kikamilifu katika kuinua pato la mwananchi.67

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!