12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

yake, unapunguza gharama ya kwenda hospitali. Afya maana yake unafanya kazi vizuri kazinikwako. Michezo pia ni ajira. Michezo ni itifaki na michezo pia inaleta amani na umoja na utulivu.Kwa hiyo, michezo ni muhimu sana kwamba ipate nafasi katika nchi yetu tuendelee.Mheshimiwa Mwenyekiti, michezo katika Tanzania, nafikiri kuna haja ya Serikalikuiendeleza kwa kuwekeza. Bila kuwekeza michezo haiwezi kuendelea. Lazima tu-invest kwenyemichezo ili tuendelee. Bila hivyo, hatuwezi kuendelea. Kuwekeza wapi? Tutaanza kwenyemaeneo mbalimbali. Kwa mfano, kuwekeza katika viwanja vya michezo, na siyo kwenye kiwanjacha Taifa tu, lakini viwanja vyote vya Mikoa viwekezwe ili michezo ipate kuendelea zaidi. Piamchezo usiwe mmoja tu katika riadha na kadhalika. Tuwekeze katika kutafuta walimu bora.Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi nilikuwa namsikia Mheshimiwa Mbunge mwenzangu hapa,nafikiri siyo busara kwa sababu ni Mswahili tu, basi anakuwa kocha wa Taifa, hapana. Michezo nisayansi. Lazima awe na ujuzi. Tusidhanie kwamba lazima awe ni Mswahili, hata Wazunguwanachukua kila mahali.Kwa hiyo, nasema michezo ni sayansi, lazima tuwapate wataalamu wenye kujua michezo,siyo kwa sababu alicheza mpira zamani na kadhalika. Wakati wao walicheza mpira kulikuwa naformation ya mpira ikiitwa WM. Sasa kuna four to four, haiwezekani kabisa. Kucheza mpira wamiguu chini, sasa watu wanacheza na viatu. Kwa hiyo, wakati umebadilika kabisa, kuna sayansi,kuna televisheni na kadhalika. Kwa hiyo, ni lazima tutafute waalimu wanaofanana na wakati huu.Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kuongelea kuhusu michezo pia vifaa. Bila vifaahatuwezi kucheza. Lazima Serikali isaidie kwa vifaa vya bei rahisi ili wanamichezo wawe na vifaa.Kuwe na mipango bora vya wanamichezo. Mimi nilikuwa Waziri pale na Bwana Nchimbianakumbuka na Bendera. Hali mbaya sana kwenye vyama vya michezo ni mbaya sana, sijuimpaka leo ni vipi. Kwa hiyo, lazima viongozi wa michezo wapate taaluma, wajifunze kazi kwaufanisi mkubwa sana.Mheshimiwa Mwenyekiti, Sheria za Michezo lazima zifundishwe. Chimbuko bora lawachezaji bora lazima tuwe na mahali ambapo pana chemchemi ya kupata wachezaji bora.Mnapata wapi? Nashauri, moja ni majeshi. Majeshi ni sehemu kubwa ya kuwapata wachezajibora. Wachezaji bora wa zamani walikuwa wakikimbia mbio katika majeshi. Kwa hiyo, lazimatuzungumze nao tuwasaidie, tuwape vifaa ili watutolee wachezaji bora katika Taifa letu.Eneo la pili, ni viwanda. Zamani tulikuwa na viwanda na makampuni kama TPC, Bandarina kadhalika. Sasa hakuna. Humu tulipata wachezaji bora zaidi. Eneo la tatu, ni Shule za Primary,Secondary na Vyuo na Vyuo Vikuu. Sasa tunafanya michezo, lakini siyo kama zamani, hatakidogo. Kuna haja ya kuona njia zaidi kutafuta vijana katika Shule za Msingi na Shule za Sekondari.Mheshimiwa Mwenyekiti, lingine ni vilabu. Vilabu vikubwa vinabaki kutafuta wachezajibora tu, lakini hawaandai wenyewe. Lazima Sheria ile ya TFF zamani kwamba lazima kila klabu iwena timu yake ya vijana iwe ni lazima, bila hivyo wasiingizwe katika mashindano. Bila hivyowatapata wapi wachezaji? Kwa hiyo, sasa pengine ni vilabu vyenyewe vijitahiji kufanya hivyo.Lakini pia kuwe na shule za michezo acadamy. Mimi siamini kwamba TFF wanaweza kufanyahivyo. Lakini vilabu wafanye hivyo. Watu binafsi wafanye hivyo ili tuwe na mtandao mkubwa wawachezaji kutoka sehemu mbalimbali, bila hivyo hatushindi. Nchi zote za West Africa zinafanikiwakwa sababu wanazo acadamy. Mimi nilikwenda kule na ninajua.Pia TFF iunde chombo maalum cha kuendesha mashindano ya vijana ya miaka 15, 17, 19na 21. Bila hivyo, bila na mashindano ya vijana Watanzania, itakuwa kichwa cha mwenda wazimukila siku. Vilabu navyo pia lazima vipewe nafasi hiyo. Riadha ni mchezo ambao hauna gharamakubwa sana, kwa sababu wanakimbia mmoja mmoja tu. Kwenye mpira wa miguu wako 11. Lakinimbio ni mtu mmoja tu basi. Rahisi kuucheza mchezo huo. Ningemshauri Mheshimiwa Nchimbi,mimi nilikuwa pale, Waziri wako nilitaka kwenda Kenya na Ethiopia kujifunza, kwa niniwanatushinda watu hawa? Kwa nini? Mimi ningeshauri kwamba tafuta timu yako uende Kenya naEthiopia ukaone kwa nini wanatupita watu hawa jirani zetu kwenye riadha?58

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!