12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara nyingine tena kwa kura za kishindo. Mimi naahidikwamba nitajitahidi kuwasaidia na kuwapa matumaini yao katika muda ujao. (Makofi)Pili, ningependa niwashukuru sana Madaktari wa hapa Dodoma, madaktari wa Muhimbilina madaktari wa Hydrabadi kule India kwa kunisaidia pale nilipokuwa na matatizo ya kiafya.Nimerejea mzima na salama kabisa. Nawaambia ndugu zangu wa Uzini bado mzima na nawezakuwatumikia kwa nguvu zangu zote kabisa. Nawashukuru sana. Mwisho, namshukuru sanaMheshimiwa Waziri Nchimbi kwa hotuba yake nzuri na nimefarijika kuona kwamba wakati mimiMwenyekiti wa Umoja wa Vijana mwaka 1977/1988 yeye alikuwa chipukizi. Baadaye akajakuchukua nafasi yangu ya Uenyekiti. Nilipokuwa Waziri wake wa Wizara ya Habari na Utamaduniakawa Naibu wangu. Sasa ni Waziri wa Habari. Hongera sana kwa kunifuata nyuma. Endeleasana. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini ni ishara kwamba vijana wa Tanzania wale ambaowanalelewa na chama wana nafasi nzuri katika uongozi katika nchi hii na Nchimbi naona nimfano nzuri. Kwa hiyo vijana, endeleeni kukitumia chama chenu. Asanteni sana. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mazungumzo yangu yatakuwa katika maeneo matatu. Suala laUandishi, michezo na suala la lugha ya Taifa. Uandishi wa habari ni taaluma. Ni lazima mtuasomee, hata kama una kalamu yako nzuri ya Perker lazima uende chuoni ukasome. Uandishi wahabari siyo kazi ya wale ambayo wamekosa kazi, ndio waende kwenye habari. Maana yake kunamazoea kwamba kama umekosa kwenda shuleni basi, kachukue uandishi wa habari. Maanaunapata makanjanja huko! Kwa sababu watu wanakwenda kule bila kukusudia kwa sababuhawana kazi nyingine.Ni vyema wafuate maadili ya uandishi. Uandishi wa habari pia ni maadili. Kuna maadiliya uandishi wenyewe na maadili ya Taifa. Kwa hiyo, nashauri waandishi wa habari wafuatemaadili ya uandishi wa habari, maadili ya Taifa na pia uzalendo. Mimi naangalia televisheni maranyingi sana, na sijaona hata siku moja maiti wa maaskari wa Marekani, siyo kama hawafi,wanakufa, Iraq, Pakistan, lakini hawaonyeshi. Lakini hapa utaona waandishi wetu wapiga picha,wanaonyesha maiti, watu hali zao mbaya kabisa. Sidhani kama ni uzalendo ule. Lazima tujizuie,mambo mengine hayafai kuonyesha katika hadhara. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, uandishi wa habari siyo umbeya wala uzushi. Kwa hiyo, siyofahari kwamba wewe hodari kuandika umbeya na uzushi. Kila mtu ana haki ya faragha zake.Kwa hiyo, naomba waandishi wa habari fuateni maadili, andikeni habari, msiandike umbeya nauzushi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, wakati wa uchaguzi hapa Tanzania, waandishi wa habari huwawananunuliwa na wanasiasa na kuwa vibaraka wao ili wawasemee wao. Hii siyo uandishi wahabari mzuri. Mimi nashauri Serikali iwe na mpango kwamba kila wakati wa uchaguzi vyombo vyahabari vijisajili vyenyewe kwamba mimi kipindi hiki nitasaidia chama cha CHADEMA ili tuwajue.Mimi CUF ni kadhalika. Ndivyo wanavyofanya Marekani. Marekani unajua kabisa kwamba gazetifulani linaunga mkono chama kadhaa. Tufanye hivyo ili kupunguza unafiki ulioko katika baadhi yawaandishi wetu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, nasema kwamba hili ni muhimu sana kwa waandishiwa habari kwamba wajitambulishe wao kwamba wanafanya nini. Nilikuwa namsikiliza Msemajiwa Upinzani, rafiki yangu, akizungumza kuhusu gazeti la Daily News. Mimi nafikiri lile ni gazeti mojaambalo linafuata maadili ya uandishi ni Daily News. Nina heshima kubwa sana hapa nchini na njeya nchi yetu. (Makofi)Yule mhariri alisema kwamba Dkt. Slaa hatashinda, ametabiri tu na utabiri siyo vibayakutabiri. Mtu kama kasema hivyo, kama safari hii Dkt. Slaa hatashinda, katabiri. Pia siyo vibayakwa mwandishi wa habari kutabiri. Pili, niende kwenye michezo. Michezo, ni sehemu nyingineambayo inazungumzia kwamba michezo ni furaha. Hakuna mtu ambaye hana mchezoaupendao, kuna wa faragha na dhahiri. Kuna kukaa kitako na kusimama na kukimbia, kila mmojaana mchezo wake. Kwa hiyo, michezo ni furaha kwa kila mtu na michezo ni afya na afya maana57

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!