ya ya kutupa vifaa vizito, basketball ya kutumia baiskeli, riadha, football, wanacheza hawa. Katikakucheza kwao, wameshawahi kutuwakilisha huko kwenye Mataifa ya mbali. Kila mara timu hizizinapojaribu kwenda nje, mara zote wamerudi na medali tofauti na michezo inayochezwa nawatu wenye macho, miguu na masikio wakati mwingine wanarudi bila kitu (zero). Hawa wanarudina medali, na medali hizi ni sifa ya Taifa hili. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini mpaka kufikia hatua ya nchi yetu kufahamika nje kutokanana walemavu hawa kufanya juhudi, wenye ulemavu hawa hawasaidiwi kikamilifu wakati wamaandalizi ya hayo mashindano. Kuna walioleta medali 11 mwezi wa Sita tu, kama Vyombo vyaHabari navyo tunavisikiliza.Mheshimiwa Mwenyekiti, nitumie fursa hii kuvishukuru kabisa vyombo vya habari, kwambavinathubutu kabisa kutoa taarifa ya mambo haya. Wale walikuwa watu wenye ulemavu wa akilichini ya Olimpiki maalum, walikwenda kushindana kimataifa, wakarudi na Medali 11 mwezi wasita, nchini hapa. Lakini maandalizi yao pale walipoweka Kambi salvation army Dar es Salaamyalikuwa yanasikitisha. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, inasikitisha kwa sababu hata huduma muhimu za maana zilezilikosekana na mjue kwamba, kwa watu wenye ulemavu kama ni elimu yao, kama ni kazi zaozinagharimu zaidi kuliko michezo ya wazima. Kwa hiyo, hata kuangaliwa wanahitajika waangaliwezaidi kwa sababu wana mahitaji maalum ya ziada ili kuweza kufanikisha chochote kile ambachomtu mwenye ulemavu anapaswa kukitekeleza au kukifanikisha nchini. Hata chakula kilikuwa tatizo,wasaidizi waliwekewa wachache tu.Kwa mfano, kwa upande wa ulemavu wa akili mtoto mmoja anahitaji kuwa na wasaidizihata wawili. Mwingine anacheka hovyo, mwingine anafanya hivi, wanapaswa kusaidiwa wale,lakini wasaidizi walikuwa wachache. Makocha walikuwa wawili tu wa kuwaelekeza hiyo michezoyote ambayo walikwenda kushiriki huko mbele ya safari. Hivi Serikali hawakulijua hili? Kwaninitunaachia tu chama kinachohusika? Kama vyama vikubwa vinasaidiwa sijui na TFF, sijui nawadhamini gani, sembuse vyama vya michezo vya watu wenye ulemavu?Hamjui kwamba havina fedha wala uwezo ni moyo tu wa kwenda kuwakilisha nchi za nje,hawakusaidiwa. Kama ni msaada unakuwa sijui wa tiketi ile ya kwenda kule, lakini hii tiketiutampeleka huko kwa kushinda kitu gani kama huku nyumbani hujamsaidia kumtayarisha huyumtu. Matayarisho ya wanamichezo wetu tena hapa sio tu kwamba wenye ulemavu, matayarishoya wanamichezo wetu katika michezo mbalimbali wanapokwenda nje, jamani inakuwa sio mizuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, jana nimesikiliza kwenye vyombo vya habari wanariadhawanaokwenda sijui Mozambique wanalalamika, netball Taifa Stars sijui timu gani ile Twigawanalalamika, inakuwaje hatuwezi kushinda kama maandalizi huku nyumbani hatuyavalii njuga,halafu tunasema tunarudi watu wendawazimu. Sasa kama huku nyumbani kwenyewe ndiotunakaribisha uendawazimu, kule watakwenda kuponyeka na uendawazimu si watarudi tu hivyohivyo. Kwa hiyo, hili limenisikitisha pamoja na kwamba watoto hawa wamerudi na medali lakinihawakusaidiwa. Sasa kinachofurahisha ni kwamba tunafurahia tu ushindi, lakini maandalizihatuyakamilishi. Mimi ninaomba sana michezo ya kundi hili ithaminiwe wasaidiwe kuandaliwa kwasababu mara zote wamerudi na ushindi. Kila mwaka wanaposhiriki wanarudi na ushindi sasa kwanini tusiendelee kuwapa moyo? Kwa nini tusiwathamini na wao wanatuletea kinachofaa?(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kingine ambacho ningependa kukizungumzia ni juu ya vyombovya habari. Vyombo vya habari navishukuru kwa ujumla wake televesheni, magazeti pamoja nakwamba wakati mwingine ndio hivyo tunawalalamikia kwamba aah, wanaandika andikawanatuonyesha vitu ambavyo havisaidii, nadhani wameshasikia itabidi wajirekebishe. Lakini kwaupande wangu nashukuru vyombo vya habari vinapoenda kwa masuala ya watu wenye ulemavukwa kweli hawaoni kuvitoa vile vitu hadharani. Kwa mfano mwenye ulemavu anapohitaji kitu, juzitu hapa kama mme-note TBC Dodoma ilimsaili kijana mmoja ambaye ametoka Kondoa nabaiskeli iliyotengenezwa na mbao, sijui wenzangu mliiona? Kokocho kokocho amejieleza TBCwamemuonyesha. (Makofi)74
Nishukuru wafadhili na hasa TBC basi iliyo disclose hiyo scenery yule kijana jana tuamepata baiskeli na mfadhili amekataa kumuelewa ni nani lakini mimi kama mwakilishi waoimebidi nimshukuru sana yule baba, naishukuru sana TBC kama chombo kimojawapo cha habarina vingine vyote vimeshawahi kufanya hivyo, watu wanasaidiwa watu wanaelewa kwamba ni kitugani kinachoeleweka. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kwa TBC hapo hapo naomba niiulize Serikali. Ni muhimusana utamaduni wetu tuenzi na tuuhifadhi. Hivi kwa nini kiashiria cha Taarifa ya Habari ndani yaTBC mmeweka sasa mviringo tu nje nje nje nje!!! Yule aliyekuwa anapiga tarumbeta juu ya Mlimawa Kilimanjaro kwa nini mlimtoa? Mbona yule alikuwa anaonyesha utamaduni na alikuwaanaonyesha fahari ya Tanzania ule mlima. Sasa hivi utasikia so so so so!!!Mimi hata sivielewi vitu vile vinaelimisha nini? Vile vinaelimisha nini, utamaduni tunauenzivipi? Kwa taarifa ile mimi nadhani wengine walitaka kuona aah!! Hii Kilimanjaro ndivyo ilivyo hatahao waliopo nje. Sasa yametolewa yale, sijui ndio uzungu, sijui ndio utamaduni tunausahau mimihata hakinifurahishi. Akinifurahishi Mheshimiwa Mwenyekiti na nilishauliza swali hapa, nilivyojibiwajibiwa basi hivyo hivyo. Niliuliza kwa ajili ya kuumia sioni maana utamaduni ule urudishwe. Kamahatumrudishi Mzee Nyunyusa yule wa ngoma 12 kwamba ni old fashion lakini hata huyu mbonabado ilikuwa inaleta ile essence ya Utaifa jamani. Nadhani mmenielewa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya hapo nizungumzie Mfuko wa Maendeleo wa Vijana.Naipongeza Serikali kwamba mwaka hadi mwaka inasema inaimarisha Mfuko huu kwa kuongezafedha ili kwa kupitia SACCOS vijana kukopeshwa. Lakini hapa tu naomba nitoe ushauri fedha hiziza Mifuko ya Vijana hasa kwa kupitia Halmashauri kule, vijana wenye ulemavu katika maeneomengi walikuwa hawapati. Naipongeza Shinyanga tu waliweza kufanya kitu kama hicho, lakinikwingine kote hawaangaliwi hawa. Kwanza hawajui, kwa hilo la msingi hapa Maafisa Maendeleowa Vijana kwenye Halmashauri zetu basi wa-take effort kuwaelimisha hawa ndugu zangukwamba mnapaswa kujiunga ndipo iwe hivyo, vinginevyo ni haki ambayo inapotea tu kwasababu hawaijui na wala hawashirikishwi.Kwa hiyo, ninaomba pawe na maelekezo maalum kwa Maafisa wanaohusika kuweza kumobilisehawa watu ili waweze kufaidika kama vijana wenzao wanavyofaidika pamoja nakwamba msemaji aliyepita anasema hata huko kwao hawafaidiki. Kwa kweli huu Mfuko unamatatizo kweli kweli. Sijui sasa hivi kwa sababu mnaupitishia kwenye ma-SACCOS, vinginevyoilikuwa ni shughuli nzito. Afadhali hata ule Mfuko wa Maendeleo wa akinamama kwa sababu miminilikuwa ni mmojawapo wa kukadiria kwamba kikundi hiki kinafaa, kikundi hiki kinafaa, huu Mfukonao uweze kuangaliwa kikamilifu. Kwa hiyo, ninaomba sana ndugu zangu hawa waweze kufaidikana mabadiliko haya na wao ndio maskini wa maskini katika maisha. Kama kijana wa kawaidamnasema ni maskini ana hali ngumu hawa vijana wenye ulemavu ndio tatizo kupita kiasi. Ndiohao mtawaona mabarabarani wanaendelea kuomba na wanaonekana kuwa ni mzigo wa Taifakwa sababu tumewasahau mno kuliko hata wao wengine. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema haya naunga mkono hoja, lakini naombahaya niliyoyashauri timu za michezo za watoto wenye ulemavu zipate support na Serikaliwanatuletea faida. Mfuko huu wa wenye ulemavu nao wafaidike na TBC mrudisheni yule babawa kipenga juu ya Mlima wa Kilimanjaro. Ahsante sana. (Makofi)MWENYEKITI: Ahsante sana Mheshimiwa, namwita sasa Mheshimiwa Murtaza Mangungupia Mheshimiwa Donald Max ajiandae, Mheshimiwa Martha Mlata ajiandae na Mheshimiwa SusanLyimo ajiandae. (Makofi)MHE. MURTAZA A. MANGUNGU: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipanafasi hii ili na mimi niweze kuchangia katika hotuba ya Makadirio ya Wizara husika. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kabla sijachangia ningependa ku-declare interest kwamba kwamujibu wa Kanuni 61 ya Bunge. Mimi ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF kwa maana kwambakule tukienda tunalipwa posho, kwa hiyo, kuna mengine naweza nikasema yana maslahi yakifedha na mimi. (Makofi)75
- Page 7 and 8:
Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12:
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14:
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16:
Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18:
MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20:
inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22:
Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26: katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34: · Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86: hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90: tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92: MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94: jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95: na yakizungumza habari ya interest