12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MWENYEKITI: Ahsante sana, nakushuru Mheshimiwa kwa vile muda umeshatuishia,naomba niwataje ambao watachangia tukirudi saa kumi tutaanza na Mheshimiwa Susan Lyimo,Mheshimiwa Vicky Kamata, Mheshimiwa Victor Mwambalaswa, Mheshimiwa Murtaza Mangungu,wakajiandae, tukirejea hapa wataanza kuchangia.Nina tangazo moja. Mheshimiwa Pindi Chana - Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria naUtawala anawatangazia wanasheria Wabunge wote, kesho tarehe 12 kutakuwa na Mkutano waTanganyika Law Society, ambao utafanyika Chuo Kikuu cha Dodoma, College of Humanitieskuanzia saa tatu asubuhi.Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya tangazo hili, naomba kusitisha shughuli za Bunge hadisaa 10.00 Alasiri.(Saa 7.14 mchana Bunge lilifungwa mpaka Saa 10.00 jioni)(Saa 10.00 jioni Bunge lilirudia)MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea. Kama nilivyotangaza mchana,tunaanza na Mheshimiwa Susan Anselm Jerome Lyimo na Mheshimiwa Vick Paschal Kamata naMheshimiwa Victor K. Mwambalaswa ajiandae.Mheshimiwa Susan A. J. Lyimo inaonekana hajaingia, basi naomba nimwite MheshimiwaVick P. Kamata.MHE. VICK P. KAMATA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi iliniweze kuchangia hoja hii iliyopo mbele yetu. Lakini kabla ya yote, namshukuru Mwenyezi Mungukwa afya njema iliyoniwezesha niwe mahali hapa sasa hivi na kuchangia bajeti hii.Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote, napenda sana kuvipongeza vyombo vya habarina kuwapongeza waandishi wa habari kwa kazi nzuri na kubwa ambayo wanaifanya na kaziambayo inatambulika na kuheshimika. Kwa kweli nawapongeza sana.Mheshimiwa Mwenyekiti, kabla sijawapongeza zaidi na zaidi, ningependa pia ku-declareinterest kwamba na mimi ni mwandishi wa habari, nimesoma Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine,ninajua ugumu, changamoto, mazuri na kila kila kitu ndani ya vyombo vya habari japositazungumza kwa kirefu sana kutokana na muda.Mheshimiwa Mwenyekiti, wenzetu Wamarekani wanasema katika ile mihimili mitatu kamakungekuwa na wa nne, basi ingekuwa ni vyombo vya habari, nami naungana nao naninakubaliana nao kwa kuamini na kutambua mchango mkubwa wa Vyombo vya Habari.Vyombo vya Habari vikiamua kujenga, vinajenga kweli kweli na vikikorofishwa vikaamua kuharibu,vinaweza kuharibu kweli. Hivyo, tunatakiwa tuvithamini na kuviheshimu.Mheshimiwa Mwenyekiti, wanasema Journalist is a watchdog of the society. Kazi ya mbwani nini? Kazi ya mbwa ni kubweka pale anapoona kuna mambo hayaendi sawa na kazi ya mbwani kubweka pale anapoona kuna kitu kinatia mashaka. Hivyo, waandishi wa habari wakibweka auwakiandika kitu, tunatakiwa tushirikiane nao. Ina maana wanakuwa wameona kuna tatizo mahalifulani, au kuna kitu kina utata mahali fulani. Hivyo, sisi kama Serikali tunatakiwa kuungana nakushirikiana nao ili tuweze kulisukuma gurudumu tunakotaka lifike.Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi nina tatizo kidogo na sielewi kwa nini Serikali inachelewasana kufanya maamuzi kwenye baadhi ya vitu muhimu. Kwenye vyombo vya Habari kunaWakurugenzi ambao wame-act muda mrefu, kwa mfano, Habari, Maelezo na Daily News wanaactzaidi ya miaka mitatu sasa. Kwa hali ya kawaida, binadamu yeyote ukiwekwa mahali unakaakama vile kwa muda, hujiamini kwamba wewe uko pale, huwezi kutoa ubunifu wako sawasawakwamba mimi niko hapa, ngoja ni-deliver au ngoja nifanye kazi watu waone au ngoja nifanye kaziambayo ninaiamini na kuijua vizuri. Hata kama anataka kuanzisha kitu fulani atasita kwamba ah!pengine nikikianzisha kabla hakijafika popote, ataletwa mtu mwingine.66

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!