12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, pili, viwanja vyote vya michezo, kama Uwanja wa MajimajiSongea, Sheikh Amri Abeid Arusha, Uwanja wa Jamhuri Morogoro, Uwanja wa Jamhuri Dodoma,ule unaoitwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na viwanja vingine vyote vilivyomilikishwa kwaCCM, virejeshwe Serikalini na viwe chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Michezo tunayotakaianzishwe, ili viboreshwe na kutumika kwa maslahi ya Watanzania wote.Mheshimiwa Mwenyekiti, badala ya kutegemea tu vituo vya michezo vichachevilivyoanzishwa na sekta binafsi, Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali iandae mpango wakukuza vipaji vya wanamichezo wadogo kwa kuanzisha Vituo vya Michezo (Sports Academy)katika kila Halmashauri kwa kushirikiana na Mamlaka ya Viwanja vya Michezo tuliyopendekezaianzishwe.Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na hali mbaya ya sekta ya michezo nchini, bado zipotimu na wapo wachezaji ambao wamekuwa wajitutumua na kufanya vizuri kwenye ushindani wakimataifa. Kambi Rasmi ya Upinzani inachukua fursa hii kuzipongeza timu za soka za Simba naYanga kwa kufanikiwa kufika fainali ya Kombe la Kagame baada ya kuzitoa timu nyingine zaAfrika Mashariki na Kati. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Lugha ya Kiswahili na utamaduni wetu. Kuhusu maendeleo yaKiswahili, Tanzania inasifika kwa kuongea Kiswahili fasaha, lakini leo ukiingia katika tovuti yeyoteduniani, ukiuliza Kiingereza utaambiwa asili yake ni Uingereza, Kifaransa asili yake Ufaransa, Kijapanasili yake Japan, Kijerumani asili yake Ujerumani, Kispanyola asili yake Hispania, lakini unapoulizaKiswahili, wanasema asili yake ni Kenya.Mheshimiwa Mwenyekiti, elimu bora hutolewa kwa lugha ya Taifa inavyosemwa na karibukila mtu na lugha hiyo hapa kwetu ni lugha ya Kiswahili. Kwa mujibu wa wataalamu na watafiti wamasuala ya lugha na maendeleo (Kwa mfano Prof. Kahigi), ni kwamba hakuna nchi yoyoteDuniani ambayo imeendelea kwa lugha ya kukopa. Hivyo basi, Tanzania haiwezi kuendelea kwakutumia lugha ya Kiingereza tuu katika kutoa elimu kwa vijana wetu kwa hiyo lugha zote mbilizitumike kikamilifu katika kufundishia. Hata hivyo, Kambi ya Upinzani tunapongeza taasisi zoteambazo zimeendelea kukikuza Kiswahili. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hivi tumeshindwa hata kulinda huu utamaduni wetu wa asili?Kwa sababu hata juhudi ambazo Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) wanazifanya kuendelezaKiswahili duniani, zinaishia kutolisaidia Taifa kwa sababu ya mtazamo wa Serikali juu ya lugha yakufundishia shule za sekondari na vyuo vya juu.Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema hayo, kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani,naomba kuwasilisha.(Makofi)MWENYEKITI: Ahsante kwa hotuba yako nzuri. Waheshimiwa Wabunge sasa tunaingiakatika majadiliano, naomba niwataje watakaoanza asubuhi hii, tutaanza na Mheshimiwa EstherBulaya, Mheshimiwa Abdallah Ameir, Mheshimiwa Mohamed Seif Khatib ajiandaye.MHE. ESTER A. BULAYA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru kwa kunipa nafasi hii naminiweze kuchangia ikizingatiwa mimi ni mdau muhimu, by Profession ni Mwandishi wa Habari lakinipia ni Mbunge wa Vijana, kwa hiyo Wizara hii inanihusu vilivyo.Mheshimiwa Mwenyekiti, nachukua fursa hii kuwapongeza Waandishi wenzangu Tanzanianzima kwa kufanya kazi katika mazingira magumu, lakini bado wameweza kutoa mchango wakutoa elimu kwa wananchi wa Tanzania. Pia napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza vijanawote Tanzania kwa kuendelea kujitutumua kupigana na kukabiliana na ukata wa maishaunaowakabili kutokana na tatizo kubwa la ajira inayowakabili vijana wetu ambao ni asilimia sitini.Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wajumbe wenzanguwa Kamati ya Utekelezaji wa Umoja wa Vijana Taifa kwa kuumiza kichwa na kufikiria ni kitu ganiambacho wanaweza kukianzisha kuleta suluhu ya matatizo yanayowakabili vijana wenzetu nakuamua kuanzisha Benki ya Vijana ambayo wenzetu wa Kambi ya Upinzani walikuwa wanaomba52

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!