12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

matangazo ya kudhalilisha nchi yetu, pesa hizo watupelekee Majimboni. Wabunge tuna matatizomakubwa Majimboni kwetu. Hongera sana ndugu yangu Mustapha Sabodo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, niendelee kuzungumzia suala la michezo. Suala la michezo, miminafikiri katika nchi yetu bado hatujatilia mkazo. Lakini vile vile suala la michezo ukiangalia kwaundani, kwa sehemu kubwa tumekuwa tukiachiwa wanasiasa. Sisi Wabunge, Madiwani, kwenyemaeneo yetu kama hatuhamasishi michezo, basi ujue huko Mikoani michezo imekwisha.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nichukue nafasi hii nimkumbushe Mheshimiwa Waziri,tulipoanza Bunge hili, nilifanya makusudi mazima ya kumpatia mpango uliopo kwenye Jimbolangu la Masasi kwa ajili ya kuwasaidia vijana ambao wao wenyewe wameamua kuondokana nakukaa katika vijiwe na kuunda vikundi vya kiuchumi, lakini jioni wanashiriki michezo. Nilikuletea naninafikiri umeisoma, umeipitia, sidhani kama kuna Mbunge amefanya hivyo. NinachokitarajiaMheshimiwa Waziri, hawa vijana walikuwa wanakaa vijiweni, wao wenyewe ndio wameamuakusajili vilabu ambavyo ndani yake kuna vikundi vya kiuchumi.Mheshimiwa Mwenyekiti, hivi sasa ninavyozungumza, Jimbo la Masasi, kuna vikundivilivyosajiliwa 85, vikundi vya utamaduni vinne vimesajiliwa, lakini hawa wote ndani ya klabu zaowameanzisha vikundi vya kiuchumi. Asubuhi wanafanya kazi za kiuchumi kuzalisha mali, jioniwanakwenda kushiriki michezo. Naomba Mheshimiwa Waziri, atakapokuwa anafanyamajumuisho, anipe jibu la lile ombi langu. Naomba nisaidiwe, tusiwavunje moyo hawa vijanaambao kwa kweli sasa hivi wameamua kuachana na mambo yote waliyokuwa wanayafanyamaovu na kurudi katika mstari kama Serikali inavyoshauri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini la mwisho, naomba nichukue nafasi hii kuzungumzia sualala utamaduni. Suala la utamaduni katika nchi yetu tumekuwa na tofauti makabila kwa makabila.Kila kabila lina utamaduni wake, lakini hivi sasa utamaduni mkubwa uliopo ndani ya makabila yetuumekuwa ukipotea. Naomba nichukue nafasi hii kupongeza kabila moja bila hiyana ya ainayoyote, naomba niwapongeze wamasai.Mheshimiwa Mwenyekiti, wenzetu Wamasai ukiangalia katika nchi yetu ndiyo badowanaendeleza tamaduni zao. Lakini pamoja na kuwapongeza na wao naomba niwaambie, kwasababu, ninavyoona, hata wao utamaduni wao utapotea kwa sababu, sasa hivi wameenea nchinzima, wamekuwa wamachinga wa kuuza dawa. Sasa nina wasiwasi, wale Wwamasai wanguwaliopo Mtwara, kama bado wanaendeleza mila na utamaduni waliokuwa wanauendelezawalipokuwa huko Arusha, nawapongeza sana. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, huu ni mfano wa kuigwa na ninasema sisi wengine tuliobakiatuangalie mila tulizonazo katika makabila yetu. Zile mila na desturi ambazo kwa kweli zinawezazikatujengea heshima katika nchi yetu, hebu tuziangalie tuzirejeshe tena kwa manufaa ya kizazikijacho. Iko hatari kabisa, kizazi kijacho hakitajua utamaduni wetu ulikuwa ni upi? Kwa sababu sasahivi watoto wetu wamekuwa wakiangalia luninga. Kwa hiyo, watoto wanafikiria kwamba,tamaduni ni yale mambo wanayoyaona katika TV zetu. Kwa hiyo, ninaomba sana tushirikiane,Serikali pamoja na sisi viongozi na wazee kule vijijini wanaonisikiliza, kurudisha heshima ya nchi yetuhii kupitia suala la utamaduni wetu.Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kwenye suala hilo hilo la michezo, mwaka huu hatukufanyavizuri katika kuwandaa vijana wetu wa Shule za Msingi pamoja na Sekondari. Kazi ilikuwa kama niya Zimamoto. Dakika za mwisho, Serikali ndiyo inaagiza kwenye Halmashauri zetu kwamba,Halmashauri zisaidie Shule za Msingi katika kuendesha haya mashindano. Kama tutakuwatunakwenda kwa utaratibu huu, hatutapata vijana ambao wana vipaji na huko vijijini wamejaavijana ambao wana vipaji vya aina mbalimbali. Kama tukiwasaidia, ninaamini kabisa tutakuwa navijana wa fani mbalimbali wa michezo ya aina mbalimbali kwenye Taifa letu hili.Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini vile vile tuangalie suala la viwanja. Hata tukiangaliakwenye sekondari zetu za Kata tunazojenga, viwanja tunavyovikuta, sana sana ni viwanja vyampira wa miguu. Sekondari chache utakazozikuta ambazo zina viwanja vya mpira wa miguu,netball, labda basket ball, hakuna.63

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!