12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wenzetu kule Marekani ambao wanalegeza surualiwalikuwa wafungwa ambao walikuwa wanakosa mikanda ya kufungia suruali, ni kwa nini mlegezesuruali halafu mkiangalia na nguo zenu za ndani ni chafu. Kwa nini msikae katika maadili yaKitanzania na ukakaa kama mtoto wa Kitanzania? Wewe unataka ukae kama mfungwa waMarekani aliyekosa mkanda wa kufungia suruali? Hili mimi nalikemea kwa nguvu zote. Kaeni katikamaadili ya Kitanzania. (Makofi/Kicheko)Ninaomba dada zangu, watoto wangu na wadogo zangu ambao mna-act filamumbalimbali muache kutembea uchi ndio maana siku hizi wanawake wamekuwa wengi nahawapati wachumba na hawaolewi, kisa kila kitu mwanaume anakiona ndani ya TV. Wakatimwingine umekuwa unatazama TV uko na watu wa heshima upo na baba yako, upo na watotowakati mwingine unabadilisha hata matangazo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kuhusu matangazo, mtu akitaka biashara yake itoke anatafutamwanamke mzuri anamdhalilisha kwenye TV. Kwa nini mwanaume naye asiwekwe pale kwenyeTV akadhalilishwa? Kila tangazo anawekwa mwanamke, ni kwa nini, naomba hii sheria jamanituige maadili ya Kitanzania tusiige maadili ya kutoka nje. (Makofi/Kicheko)Naomba kuchangia kuhusu Big Brother, nimemuona ndugu yangu pale Faida Bakarkasema lakini kaogopa kusema. Big Brother ina maana gani? Kweli Big brother unakuaunakwenda kushiriki mashindano yale yanakudhalilisha, nyie wenyewe ni wafuatiliaji wa vyombovya habari na mengi pia mmeyaona yaliyotokea kwenye Big Brother naomba kabisa kwendakudhalilishwa Watanzania huko anadhalilishwa Mtanzania alivyokuwa mweusi. Sijui mimi nasemawazungu wanapenda ngozi yetu, kama wanapenda hii ngozi basi watuoe, kwa sababu hapanajua kuna mabinti wengi sana wa Kiswahili waolewe na hao wazungu mkaone ngozi yaKitanzania lakini msidhalilishe kwa kupitia hii Big Brother. (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba Big Brother ipigwe marufuku na Waziri utakapokujakutoa majumuisho yako uniambie hii Big Brother imeingizia Pato gani la Taifa? Kuna pato ganitunalopata kwenye Big Brother hii. Nataka uje uniambie kama kuna pato tunalopata kwenye BigBrother? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwenye haya mambo ya Miss Tanzania, haya mambo ya Missyaleta UKIMWI na UKIMWI hauwezi kuisha kwa sababu watoto wetu wanadhalilishwa sana jamani.Kama ninyi ni wazazi roho lazima zitawauma. Hebu nendeni huko kwenye mahoteli makubwawatoto wanakokwenda kuweka makambi ya u-miss kama wewe una tumbo la uchungu la uzaziunaweza kuzaa bila siku zako. Naomba haya masuala yakomeshwe. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lingine naomba kuchangia kuhusu waandishi wa habari.Waandishi wetu wa habari mimi nawapongeza sana. Lakini waandishi wa habari mna matatizo,humo ndani katika Bunge hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna wanawake wajasiriwanaongea sana na wana hoja nzito sana na waibua hoja nzito sana. Lakini waandishi wa habarimmekuwa mkipiga picha zote ni wanaume, wengine wamesinzia, wengine yaani sijui.(Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa nini picha zile za kusinzia au picha nyingine zile za ajabu zakuonyesha tu akina baba tu, kwa nini msiweke hawa wanawake ambao wanaibua hoja nzito? Aummetuona sisi wanawake ni mabubu humu ndani hatuwezi kuongea? Lakini najua tunawezakuongea. Hata kama habari zetu tukiongea basi utakuta habari nzuri inauzwa kwa mtu mwingine.Naomba waandishi wa habari muwe waadilifu katika kazi hii. Najua wanawake wengi hapa niwasemaji. Sitaki muweke picha za ajabu ajabu kwenye magazeti za akina baba mara wenginewamelala, sitaki. Wekeni picha za akinamama ambao wanazungumza katika Bunge hili. Hiyonasema hiyo ni message send imekwenda hiyo. (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, lingine ni kuhusu mambo ya utamaduni, mambo ya uasiliakutangaza wewe ni Mtanzania. Hivi leo hii ukitazama jamani kwenye TV huwezi kumfananishaMmarekani na Mtanzania kwa sababu vijana wetu wanaiga mambo mbalimbali kutoka nchi zawenzetu. Kwa nini msiige mambo mazuri? Kuna mambo mazuri, kuna vitenge vizuri tu mkishona91

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!