12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wasije kupoteza matumizi kabisa na Serikali yao kwamba haiwajali. Wamekosa fursa katika sektaya ya madini, wapate fursa katika sekta ya kilimo, waweze kujiajiri wenyewe ili waweze kuondoaumaskini unaowakabili. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa nizungumzie profession yangu ya habari. Tumekuwatukiwategemea sana Waandishi wa Habari katika mambo yetu mbalimbali. Nashukuru hapa leonasema wazi hizi pande mbili zote zinamiliki media. Upande wa Opposition na Serikali lakini badowanashindwa kuboresha maslahi ya Waandishi wa Habari. Inasikitisha na inatia aibu humu ndanitunakuwa tunajidai kupigania haki za watu lakini watu tunaowaajiri, Waandishi wa Habaritunawanyonya kwa sababu wao wenyewe hawawezi kujitetea. Si vizuri tukawa tunajinafikishahumu ndani wakati Waandishi kwenye vyombo vyetu hatuwalipi vizuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, inasikitisha eti Mwandishi analipwa shilingi 1000 kwa story. Asilimia80 ya Waandishi waliokuwepo kwenye vyombo vya habari ni corresponded, wanalipwa kutokanahabari. Labda kwa wiki akijitahidi ataandika habari 100 lakini zitatoka mbili, kwa hiyo, kwa wiki anashilingi 2000 tunakwenda wapi, halafu baadaye tunasema wawe wazalendo wawe wazalendohata maslahi yao hatuwaboreshei? Naomba Mheshimiwa Waziri alichukue hilo na sisi tuliomohumu ndani tunaomiliki vyombo vya habari tuache unafiki, tuwalipe vizuri Waandishi wa Habari.Tuache kuwatumia kwa maslahi yetu binafsi, tuwalipe vizuri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kuwaomba Waandishi wa Habari wenzangu, tupokwenye Mfumo wa Vyama Vingi na tunajua kila mtu ana mapenzi ya Chama chake lakini tutendefair. Tutumie ethics zetu zinavyosema, tuandike habari zilizo sahihi bila kujali itikadi zetu nazitakazotoa elimu kwa umma hata kama wewe haikufurahishi, lakini tulitendee haki Taifa hili tuwewazalendo, tutende haki. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, pia napenda kuzungumzia Timu ya Taifa ya Wanawake,imesahaulika. Hapa sasa ndipo tunapoona unyanyasaji wa kijinsia, Timu ya Twiga Stars. Hii timuhaipewi hadhi kama Timu ya Taifa, haipewi hadhi kama jinsi inavyopewa hadhi Timu ya Mpira waMiguu (Taifa Stars). Timu ya Taifa Stars imekuwa ikelelewa kama yai, Twiga Stars inalelewa kamajiwe, siyo haki. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Timu ya Twiga Stars mbali na matatizo yote waliyokuwa nayo,wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye mazingira magumu sometimes wanakosa hata majimazoezi eti timu ya Taifa ya Wanawake na wanajitahidi. Tumeona mwaka jana wameshirikiMichuano ya Mpira wa Miguu ya Wanawake Afrika lakini mwaka huu wameshiriki COSAFA na piawalishika nafasi ya tatu na wamepata fursa kushiriki Michuano ya All African Game ambayoitarajia kuanzia mwezi Septemba lakini maandalizi duni, timu hii inafanya mazoezi katika mazingiramagumu. Hapa hata tukiuliza maandalizi yake yakoje hatujui lakini watoto wa watu wana-strugglekwa ajili ya Taifa hili. Wanafanya mazoezi katika mazingira magumu mpaka kuna Mmarekanimmoja ameandaa DVD, anaitwa Nishal Legal ameelezea the way Twiga Stars inavyofanyamazoezi katika mazingira magumu mbali ya kuipa heshima Taifa letu. Namwomba sanaMheshimiwa Waziri, atupie macho Timu hii ya Taifa ya Wanawake hata kama TFFwanamuongopea, namshauri afanye research, naamini ana uwezo huo wa kupata taarifa sahihiili tuisaidie timu hii tusi-base kwa Taifa Stars ambayo sometimes inaboronga, tuisaidie Timu ya TwigaStars. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, pia napenda kujua wana mikakati gani ya kuibua soko lawanawake. Tunaona tu Kopa Cocacola lakini je, kwa upande wa timu ya wanawake kuibuawachezaji wa mpira wa miguu wa kike ukoje? Kule kwetu Tarime kuna timu nzuri tu ya wanawakelakini sijasikia mikakati yoyote ya Serikali ya kuendeleza soko la wanawake Tanzania. NamwombaMheshimiwa Waziri waache kuwanyanyapaa wanawake na unyanyapaa huu umeanza kwenyeTimu ya Twiga Stars.Mheshimiwa Mwenyekiti, nimeangalia kwenye Hotuba, mbele yake kuna Timu ya Taifa yaTaifa Stars, nilitegemea hata huku upande wa nyuma ingekuwepo Timu ya Twiga Stars.Mheshimiwa Waziri Waziri nakuomba, dada yangu Mheshimiwa Naibu Waziri timu hii ya Twiga54

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!