12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

· Kutafuta na kuanzisha sehemu nyingine nje ya maktaba ya picha ya Dar es Salaam ambapo pichazilizohifadhiwa katika CD zitaweza kuhifadhiwa ili kuepuka uwezekano wa kupoteza kumbukumbu hizoendapo litatokea janga lolote kama moto katika maktaba ya picha.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)pamoja na shughuli zake za kawaida limejipanga kuweka mfumo bora zaidi wa kudhibiti matangazo na kununuajenereta la kituo cha Mbeya.Mheshimiwa Naibu Spika, malengo ya utekelezaji ya mwaka 2011/2012, kwa upande waKampuni ya Magazeti ya Serikali ni kuimarisha na kuongeza ubora wa magazeti na kupanuausambazaji Mikoani. Kadhalika, kuanzisha Gazeti la Kiswahili la Michezo na kutafuta fedha zaununuzi wa mashine za kuchapa vitabu, kalenda na vipeperushi.Mheshimiwa Naibu Spika, sekta ya maendeleo ya vijana. Katika mwaka wa fedha2011/2012, Wizara imepanga kutekeleza malengo yafuatayo:-· Kuratibu Mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana.· Kufuatilia marejesho ya fedha walizokopeshwa Vijana kupitia SACCOS na kuendeleakuwawezesha Vijana kiuchumi kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana chini ya utaratibuwa SACCOS za Vijana.· Kuchapisha na kusambaza mkakati wa ushiriki na ushirikishwaji wa Vijana katika shughuliza maendeleo ya kijamii.· Kuendeleza ushirikiano baina ya Wizara, Taasisi za Serikali na Jumuiya za Kikanda na zileza Kimataifa, pia kuwezesha vijana na watendaji wa masuala ya vijana kushiriki nakutekeleza mikakati ya Jumuiya za Kimataifa ya maendeleo ya vijana.· Kuendelea kuwahamasisha vijana kuunda vikundi vya pamoja vya kuzalisha mali,kuwashauri na kuwaelekeza jinsi ya kusajili taasisi na vikundi vyao na kuzishawishi taasisi zakifedha na mamlaka nyingine kutoa huduma rafiki kwa vijana zinazolenga ustawi wavijana kiuchumi.· Kuendelea kuwahimiza vijana na wananchi kwa ujumla kushiriki katika shughuli za kujitoleakatika maeneo yao.· Kuendelea na mpango wa kuwawezesha waelimishaji rika juu ya Mwongozo mpya waStadi za Maisha kwa Vijana kwa lengo la kufahamu matumizi yake na kisha kuutumiakatika shughuli zao za kila siku za utoaji wa elimu kwa vijana.· Kuendelea na kazi ya ukarabati wa Vituo vya Vijana vya Ilonga- Kilosa, Sasanda-Mbozi naMarangu- Moshi.Mheshimiwa Naibu Spika, sekta ya maendeleo ya utamaduni. Katika kipindi cha mwakawa fedha 2011/2012, Wizara itatekeleza yafuatayo:-· Kuhifadhi na kusambaza matokeo ya utafiti na kuchapisha vijarida vya mila na desturi.· Kuendesha utafiti wa mila na desturi katika jamii 20.· Kuandaa na kurusha vipindi 52 vya radio na runinga vya Maadili ya Mtanzania.· Kuratibu na kuendesha Mpango wa kuibua vipaji kwa watoto wa shule za msingi katikafani mbalimbali.· Kusimamia na kuratibu vikundi vya ngoma za asili vinavyoshiriki katika Maadhimisho yaSherehe za Kitaifa.28

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!