12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru, muda wangu mfupi. (Makofi)MHE. FAIDA MOHAMMED BAKAR: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante sana kwa kunipatianafasi na mimi niweze kuongelea hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.Naunga mkono hoja kabla sijaanza kuongea. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha hapa leotukiwa katika hali ya amani na usalama. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kuchukua fursa hii adhimu kumshukuru MheshimiwaWaziri wa Wizara hii kwa kazi kubwa anayoifanya kila siku katika kuliendeleza Taifa hili nakuidumisha Wizara hii. Mheshimiwa Waziri, Dkt. Emmanuel Nchimbi namwelewa sana kwa sababualikuwa Mwenyekiti wangu wa Vijana Taifa, Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi. Natunamwelewa kwa kazi yake kubwa ambayo alikuwa anaifanya katika kipindi chote. Kwa hiyo,namuamini na anaweza kufanya kazi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda pia kumpongeza Mheshimiwa Naibu Waziri, rafikiyangu Dkt. Fenella Mukangara, anacheka cheka pale, anajua, kwa kazi kubwa ya ushirikiano naMheshimiwa Dkt. Nchimbi kwa kuiongoza Wizara hii. (Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kuchangia yafuatayo, kwanza kabla sijaingia hapa,niombe Wizara hii ikisaidiana na Bunge iweze kutuletea wale wanaotafsiri lugha kwa walio naulemavu wanaotuangalia kule kwa sababu Bunge linatoka live. Wale ambao wanakuwahawasikii, hawawezi kujua sisi tunaongea nini, hawawezi kujua Wabunge wao wanaongea nini.Nawahurumia sana, naomba sana iweze kutekelezwa hiyo kwa heshima na taadhima na vilevilekatika vyombo vya habari vyote, wawemo wale wanaotafsiri lugha zile kwa hao walemavu, nawao wanataka kujua maendeleo ya nchi yao, lakini hawawezi kusikia. Naomba sana hilolitekelezwe. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba kuchangia kuhusu waandishi wa habari. Nawapongezasana waandishi wa habari wa nchi yetu ya Tanzania kwa kazi kubwa, nzuri na ngumuwanayoifanya usiku na mchana katika kutuhabarisha sisi wananchi. Kazi ya habari ni ngumu sana,mimi nilijaribu kuisomea kidogo hii habari, lakini nikaiona ni ngumu sana na ndiyo maanasikumalizia kwa sababu niliiona ni ngumu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo hii kazi ni ngumu sana. Hawa waandishi wa habariinapaswa Serikali iwaangalie. Iwaangalie kwa sababu bila ya waandishi wa habari nchi yetuhaiwezi kwenda mbele kwa sababu hatuwezi kupata taarifa. Bila taarifa hatuwezi kujua ninikinafanyika katika nchi hii. Lakini waandishi wa habari leo, hawa waandishi wa habariwananyimwa haki zao mbalimbali ingawa Serikali inajitahidi kuwasaidia kwa kila hali.Mheshimiwa Mwenyekiti, ona, mfano kama kwenye maandamano pengine ya kisiasa jinsiambavyo waandishi wa habari wanavyokuwa mstari wa mbele kutuhabarisha na mambombalimbali. Lakini pale huwa wanapata athari nyingi sana na mimi siku moja nilisema hapaBungeni, kuna mwandishi mmoja wa habari alipigwa na ile camera yake ikapasuliwa na sijui kesiile ilifikia hatua gani mpaka leo sijui inaendeleaje.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kweli namuomba sana Mheshimiwa Waziri alione hilo, wawena vitendea kazi kwani hawa ni vibaya kuwa na magari? Unajua, kama wakienda kutafuta habari,waandishi wa habari wanaenda kwa miguu. Wakopeshwe magari ili waweze kuzifuatilia habarikwa uharaka. Hata kama hawana magari, basi hata Vespa waweze kukopeshwa katika Wizarahii, Serikali iwakopeshe, mwenzangu ananiambia hata Bajaj, lakini Bajaj hazifai. Wapatiwe usafiri iliwaweze kutekeleza kazi zao kwa haraka kwa sababu ni watu muhimu sana. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, hata hapa Bungeni, hawa waandishi wa habari wa hapaBungeni, kuna sehemu yao kule wametengewa. Tulisema hapa, mimi mwenyewe niliongea hapakwamba angalau wapatiwe computer mbalimbali ziwasaidie. Lakini ukienda kule hamna,wanatumia tu laptop zao na vilevile kulikuwa na TV, haipo. Sasa mfano kama mwandishi hayupo84

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!