12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, hapo hapo tunahimiza kwamba, vijana wetu mashuleni washirikimashindano ya aina mbalimbali. Bila kuwa na viwanja, hili suala halitafanikiwa. Lakinitunapozungumzia michezo, tusizungumzie suala la netball pamoja na mpira wa miguu tu. Ikomichezo mingi, zamani nilikuwa naona, kwa mfano, masuala ya riadha, kupokezana vijiti, watuwalikuwa wanakimbia kwa magunia. Ile pia ilikuwa inaleta changamoto kwa sababu, ipo michezoambayo mnaweza mkashiriki watu wa rika zote.Mheshimiwa Mwenyekiti, hivi kwa mfano tukikazania mashindano, kwa mfano, yale yakukimbiza mbuzi, atakayempata wa kwake, unawasaidia hata wazee wetu na wao washirikikatika suala la michezo. Kuna mchangiaji mmoja hapa amesema michezo ni afya. Unapofanyamichezo na wewe unapunguza gharama za kwenda hospitali kupata matibabu.Mheshimiwa Mwenyekiti, mwisho, naomba nitoe hamasa kwa Waheshimiwa Wabungekwamba na sisi tusiwe wasemaji tu, tushiriki katika michezo, tunapokuwa hapa Bungeni natunaporudi majumbani kwetu. Kwa sababu, sisi tukishiriki suala la michezo, nafikiri hata jamiiinayotuzunguka na wao wataiga mfano wetu, tutajikuta jamii yote inashiriki katika michezo.Mheshimiwa Waziri, Mheshimiwa Naibu Waziri, hapa Bungeni tuna timu zetu, tuna klabu yetu…(Hapa kengele iligonga kuashiria muda wamzungumzaji kwisha)MWENYEKITI: Nakushukuru, Mheshimiwa.MHE. MARIAM R. KASEMBE: Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja. Ahsante.MWENYEKITI: Ahsante sana Mheshimiwa, nakushukuru. Sasa badala ya Mheshimiwa MozaAbeid Said, namwita Mheshimiwa Kombo Hamisi Kombo.MHE. KOMBO HAMISI KOMBO: Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote, nachukua nafasi hiikukushukuru kwa kunipa nafsi hii ya kuchangia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.Nianze na Sekta ya Habari.Mheshimiwa Mwenyekiti, Sekta ya Habari ni chombo muhimu katika jamii yoyote na katikanchi yoyote. Sekta ya Habari ni sekta ambayo inaweza ikaliletea Taifa maendeleo. Lakini sekta hiiya habari ina uwezo mkubwa wa kuweza kuliletea janga Taifa lolote. Hali iendako, vyombo vyahabari vitatumiwa vibaya.Mheshimiwa Mwenyekiti, niseme kwamba, kweli Tanzania tunao utaalam wa vyombo vyahabari, lakini wengi wao wanavitumia vyombo vya habari kinyume na maadili ya vyombo vyahabari vinavyotakiwa vitumike. Tuangalie miaka ya nyuma wenzetu wa Burundi kulikuwa na rediomoja iliyokuwa ikiitwa Redio Intarahamwe.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa kuwa redio hii ilitumika vibaya katika nchi ya Burundi, iliwezakuwaletea Warundi maafa makubwa mno, sasa na Tanzania upeo wetu wa kutumia vyombo vyahabari tunautumia vibaya. Inawezekana kwamba baadhi ya waandishi wa habari wanachukuahongo kutoka kwa watu fulani, ili waweze kuandika habari zao vile ambavyo wanataka wao. Sasahaya, siyo maadili mema ya uandishi wa habari. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, habari ni elimu, na endapo itatumiwa vizuri kama inavyotakiwa,basi wananchi wetu wataweza kuzifuatilia habari zetu. Lakini nataka nikuhakikishie kwamba, kunabaadhi ya magazeti hivi sasa, baadhi ya wananchi wengi hawayatumii kwa sababu manenoyaliyomo mle, hayaleti changamoto yoyote ya maendeleo isipokuwa ni kupigana vijembe,kulumbana baina ya viongozi na kiongozi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda niseme kwamba waandishi wetu tusiwatumie vibaya.Kama tuna chochote cha kuwasaidia waandishi, kama alivyosema Mheshimiwa Bulaya, basituwasaidie waandishi, lakini isiwe ni kichocheo cha rushwa cha kutaka tuandikiwe habari zetu viletunavyotaka sisi. (Makofi)64

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!