12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Mwenyekiti, tumeshuhudia hivi majuzi, tumekuwa tukilumbana humu ndanikatika masuala ya mafuta. Lakini tulipolipeleka kwa Waziri Mkuu, amechukua hatua za makusudina hivi leo watu wanaanza kupata huduma. Lakini siyo hilo tu, tunatarajia hoja ya Waziri wa Nishatina Madini, kwa kuwa tuliirejesha, natumaini Mheshimiwa Waziri Mkuu atakuja na majibu mazuriitakapofikia siku ya siku. Kwa hiyo, ninamwomba Waziri Mkuu, tumhakikishie kwamba, sisi Wabungetuko nyuma yake, tutaendelea kumshauri na tunaomba aendelee kutusikiliza. Akaze buti, asihofujambo lolote ili kuifikisha nchi yetu mahali panapokusudiwa.Mheshimiwa Mwenyekiti, shukrani zangu za tatu, naomba niwapongeze wasichanawangu kutoka kwenye Jimbo langu la Masasi, wasichana kutoka Kijiji cha Ndanda, pale Njenga,ambao walishiriki ligi ya Netball ngazi ya Mkoa na kushika nafasi ya pili kwa kujitegemea waowenyewe bila msaada wowote. Nawapongeza sana. Nasema nipo nyuma yao na hayo ndiyomatunda niliyokuwa ninawahamasisha wakati napita kushukuru. Nawashukuru sana kwakunisikiliza.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nianze kuchangia kuhusu uhuru wa vyombo vya habari.Vyombo vya habari ni vyombo ambavyo vinatusaidia sana katika kutoa elimu na wananchiwanaelimika kupitia vyombo vya habari na wananchi wamekuwa wadau wakubwa katikavyombo hivi vya habari. Lakini niseme kwa masikitiko makubwa kwamba wapo wadau mbalimbaliwanashindwa kuvitumia vyombo vyetu hivi vya habari kwa kutoa taarifa ambazo zinawezazikasaidia katika nchi yetu na kupeleka taarifa kwenye vyombo vya habari zinazopotosha ummazisizokuwa na maslahi, zisizofundisha wananchi wetu.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nitoe mfano. Kuna matangazo mbalimbali ambayotumekuwa tukishuhudia katika television, masuala kwa mfano ya Haki Elimu, tumekuwa tukiangaliajinsi wanavyoonyesha shule zetu zilivyo mbovu huko vijijini. Tumekuwa tukishuhudia matangazombalimbali yanayotangaza jinsi akina mama tunavyolundikana kwenye kitanda kimoja penginewatu sita na wakati wa kujifungua kupata matatizo.Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa mimi ninaomba niwe tofauti na matangazo haya. Niwetofauti na wadau wanaopeleka matangazo haya kwa sababu, kwa fikira zangu mara nyinginimekuwa nikifikiria kwamba, mwananchi au mwanadamu anaweza akajifunza jambo zuri kwayale mazuri ambayo yanatendwa na mtu mwingine. Nilichokuwa ninakitarajia, kama kuna hawawadau wanapeleka haya matangazo, wanatumia pesa nyingi sana katika kufanya utafiti hukokwenye vijiji vyetu, kwa sababu, matangazo haya ninaamini yanalipiwa. Wanatumia pesa nyingisana!Mheshimiwa Mwenyekiti, ninafikiri hawa wadau kama wangekuwa wanaona kwambaWatanzania walio wengi hawana shule bora, tunapata shida ya maji, badala ya kutumia pesanyingi kwa utafiti huu, fedha hizo zote wanazozitumia wangekuwa wanapeleka pale mahaliambapo pana tatizo.Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nitoe mfano. Sisi Waheshimiwa Wabunge, tutakuwamashahidi, yupo ndugu yetu mmoja anaitwa Mustapha Sabodo. Yule baba ana huruma sana naana uzalendo wa nchi yetu. Ametambua matatizo mengi yaliyopo katika nchi yetu, ameona jinsiwatu wanavyopata shida ya maji, ameona jinsi madarasa yetu huko vijijini yalivyo mabovu, lakiniyeye badala ya kutumia pesa zake kupeleka matangazo kwenye vyombo vya habari na kutoamatangazo haya, amekuwa akitumia pesa zake kwa ajili ya kusaidia kuondoa kero mbalimbalizilizopo katika nchi yetu. Nampongeza sana mdau huyu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, na ninawaomba sasa wale wadau wengine ambao wanatumiamuda mwingi na pesa nyingi kupeleka mambo mabaya katika vyombo vya habari, waige mfanowa Mustapha Sabodo. Hizo pesa kama wanazo, basi wanisaidie hata mimi Mama Kasembekupeleka kwenye Jimbo langu ziende zikajenge shule, niende nikachimbiwe visima, kwa sababuyale matangazo wasije wakafikiria kwamba, wananchi yanawafurahisha na hayaleti tija yoyotewala hayaleti manufaa yoyote. Naomba vyombo vya habari mnaonisikiliza, leo hii naomba mtoekwamba, Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Masasi, anawaomba wadau wote ambao wanaleta62

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!