12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kuzingatia faida zilizo orodheshwa hapo juu, Kamati inatoamaoni yafuatayo:-· Baraza la Sanaa kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu Tanzania lihakikishe linadhibitifilamu zinazoiingizwa nchini kiholela na zinazokiuka mila na desturi za Kitanzaniaambazo hazina manufaa kwa Taifa letu;· Taasisi za Serikali, Polisi, Forodha na Mahakama washirikiane na Chama chaHakimiliki Tanzania (Copyright Society of Tanzania - COSOTA) kukomeshauharamia wa kazi za sanaa;· COSOTA imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Haki Miliki na Haki Shiriki Namba 7ya Mwaka 1999. Toka COSOTA ianzishwe bado kumekuwa na malalamiko yawasanii kuhusu haki zao na malipo katika kazi za kisanii. Kamati inashauri Serikalikupitia Wizara husika kufanya mapitio ya Sheria ya COSOTA ili kuzipa hadhi kazi zasanaa kwani nchi nyingi za jirani zimeweza kulinda kazi za sanaa za wasanii wakena kuzifanya kuwa ajira kwa kutumia vyombo vya kisheria vilivyomo katika nchizao mfano mzuri ni Malawi na Nigeria.· Kumekuwa na utekelezaji mdogo wa Sheria kwenye ulipaji wa mirabaha na kodikutoka kwenye sekta ya sanaa ikijumuisha muziki na filamu. Wazalishaji,wasambazaji na watumiaji wa kazi za sanaa hawalipi mirabaha kamainavyostahili kwa mujibu wa Sheria. Kamati inashauri Serikali kupitia Mamlaka yaMapato Tanzania (TRA) isimamie kuhakikisha mirabaha na kodi zinalipwa kwaniSerikali inapoteza mapato mengi ambayo yangesaidia katika kuinua uchumi wanchi;· Serikali iboreshe vyuo vilivyokuwepo kwa ajili ya Walimu wa kufundisha sanaa.Kwa mfano Chuo cha Butimba na vingine vilivyopo nchini ili kusaidia kukuza vipajivya sanaa na kutengeneza ajira kwa vijana na pia kukuza pato la Taifa; na· Serikali kuona haja ya Jumba la Sanaa Bagamoyo kuwa chini ya Wizara yaHabari, Vijana, Utamaduni na Michezo badala ya kuwa chini ya Wizara yaMaliasili na Utalii. Vilevile, COSOTA kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara nakuwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Hii itasaidia ufuatiliaji wakaribu na utekelezaji mzuri kwani Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezondio haswa Wizara husika kwa taasisi hizi.Mheshimiwa Naibu Spika, nne, Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Pamoja na ufinyu wabajeti bado Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limekuwa likitekeleza majukumu yake kwa mujibu washeria iliyoliunda ya mwaka 1967 ikiwa ni pamoja na kuvisimamia vyama 30 vya michezo nakuandaa mafunzo kwa viongozi mbalimbali wa michezo nchini.Mheshimiwa Naibu Spika, pamoja na kuwa Baraza linatekeleza majukumu yake, badokuna maeneo ambayo Kamati inaona juhudi zaidi zinahitajika na inatoa ushauri ufuatao:-· Upo umuhimu wa baraza hili kupewa ofisi katika Uwanja Mpya wa Taifa badalaya kuendelea kutumia majengo ambayo ni mabovu na yanayohatarishausalama na maisha ya wafanyakazi;· Wizara iangalie vizuri uwepo wa Baraza la michezo na wakati huo huo kuwa nakurugenzi ya michezo katika Wizara kwani inaonekana kusababisha mwingilianowa majukumu ya kazi;· Serikali iteuwe Baraza Jipya la Michezo kwani kwa mujibu wa Sheria, Baraza lililopolilishamaliza muda wake tangu mwaka 2009;38

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!