· Kuhamasisha mamlaka mbalimbali kujenga viwanja vya michezo kama vitega uchumivya mamlaka hizo na kuboresha viwanja vilivyopo.· Kuendelea kusajili Vyama na Vilabu vya Michezo.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, Baraza la Michezo laTaifa (BMT) litatekeleza kazi zifuatazo :-· Kushirikiana na Halmashauri za Manispaa, Miji na Wilaya kuhamasisha na kuendeshamatamasha ya michezo kwa jamii.· Kuanzisha na kuendesha mafunzo ya ufundishaji michezo kwa viongozi vijana kwaushirikiano na vyama vya Michezo vya Taifa na UK-Sport International.· Kuendesha mafunzo ya muda mfupi ya ufundishaji kwa Walimu wa Michezo wapatao 500katika Wilaya 10 za Tanzania Bara.· Kuandaa, Kusimamia na kuendesha mafunzo ya Uongozi kwa Vijana kupitia michezo kwawashiriki wapatao 1,200 na pia kuwashirikisha katika mabonanza wanafunzi wapatao2,000 wa shule za Msingi na Sekondari.· Kuanzisha mpango maalum wa mafunzo ya Uongozi wa Michezo kwa Wanawake.· Kuendesha mafunzo ya Utawala Bora, kwa Viongozi wa vyama vya Michezo vya Taifakwa lengo la kuongeza ufanisi na kuongeza tija katika Sekta ya Michezo.· Kujenga uwezo wa Wafanyakazi wa Baraza la Michezo la Taifa na vyama vya Michezovya Taifa kwa kuwaandalia mafunzo ya kulingana na mahitaji yaliyopo.· Kukamilisha marekebisho ya Sheria Na.12 ya Baraza ya mwaka 1967 na marekebisho yakeNa.6 ya mwaka 1971.Mheshimiwa Naibu Spika, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Katika kipindi cha mwaka 2011/2012, Wizaraimekusudia kutekeleza yafuatayo:-· Kufanya mapitio ya mahitaji ya mafunzo kwa watumishi (Training Needs Assessment).· Kuandaa na kutekeleza mpango wa mafunzo utakaojumuisha mafunzo ya muda mfupi na mrefu ndanina nje ya nchi kwa watumishi wa Wizara.· Kupandisha vyeo watumishi wa Wizara walio na sifa kwa mujibu wa Nyaraka za Maendeleo ya Utumishiwa Umma.· Kuelimisha Watumishi kuhusu rushwa na maadili sehemu za kazi na kutoa mafunzo kwa wajumbe waKamati ya Maadili ya Wizara.· Kufanya mafunzo ya mpango wa maendeleo ya rasilimali watu na maandalizi ya mfumo wa taarifa zakiutumishi na mshahara (Human Capital Management Information system – HCMIS).· Kuendesha kampeni ya ushauri nasaha na kupima Virus vya UKIMWI kwa hiari na kutoa huduma ya lishena madawa kwa watumishi walioathirika.Mheshimiwa Naibu Spika, Idara ya Sera na Mipango. Katika kipindi cha mwaka wa fedha2011/2012 Wizara itatekeleza yafuatayo:-· Kuratibu na kukamilisha mapitio ya Sera ya Maendeleo ya Michezo ya mwaka 1995pamoja na Sheria za BAKITA, BASATA, Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Jukwaani naBaraza la Michezo la Taifa.32
· Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwaWizarani, na kusimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitatu (2010/2011 –2012/2013).· Kuratibu masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayohusu sekta za Wizara, pamoja nakubaini fursa za ushirikiano wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.Mheshimiwa Naibu Spika, hitimisho, Serikali itaendeleza mafanikio yaliyopatikana katika Sektazinazosimamiwa na Wizara ili ziweze kuchangia zaidi katika maendeleo ya nchi yetu. Matarajio yaSerikali ni kuona kuwa Sekta za Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo zina nafasi muhimu katikakuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi yetu. Uchangiaji ambao ni pamoja na kuongeza ajira,kipato, kulinda mazingira, kuleta amani na furaha katika jamii. Katika kutumia fursa hizo bado kunachangamoto ambazo zinahitaji zipatiwe ufumbuzi ili kuzitumia ipasavyo katika kuleta maendeleoya nchi. Matarajio yangu ni kwamba changamoto zilizopo zitaendelea kupatiwa ufumbuzi hatuakwa hatua hasa kwa kushirikiana na sekta binafsi kupitia mfumo wa “Public-Private-Partnership”(PPP) na wadau wengine wa maendeleo. Tukidhamiria inawezekana.Mheshimiwa Naibu Spika, shukrani, kwa niaba ya Serikali na kwa niaba yangu, naombakuwashukuru kwa dhati wale wote walioshirikiana nasi katika kipindi cha mwaka wa fedha wa2010/2011, katika kutimiza malengo yetu. Mafanikio ya utekelezaji wa majukumu na malengo yaWizara umewezekana kutokana na ushirikiano uliopo miongoni mwa viongozi na wafanyakazi waWizara na wadau wengine walio nje ya Wizara. Shukrani zangu za pekee ziende kwa MheshimiwaDkt. Fenella E. Mukangara, (Mb), Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambayeamekuwa msaada mkubwa kwangu, Bwana Sethi Kamuhanda, Katibu Mkuu, Bibi Sihaba Nkinga,Naibu Katibu Mkuu, Wakurugenzi, Wataalamu na Watumishi wote wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo pamoja na Asasi zilizo chini ya Wizara kwa juhudi walizofanya kuhakikishakwamba wanatimiza ipasavyo majukumu tuliyokabidhiwa na Taifa.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda pia kuwashukuru wale wote walioshiriki katikakutekeleza majukumu ya Wizara. Aidha, nawashukuru wahisani wote ambao wametusaidia nanaamini kuwa wataendelea kutusaidia. Siyo rahisi kuwataja wote lakini nitaje wachache ambaowanaendelea kutusaidia wakiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, Finland, Uingereza,Denmark, Japan, Sweden, Norway na Ujerumani; Pia Mashirika ya kimataifa ya UNESCO naUNICEF. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kuvishukuru vyombo vyote vya habari nchini. Vyombo hivivimefanya kazi nzuri na fasaha ya kuitangaza nchi yetu. Naamini kuwa vyombo hivyo vitaendeleana kazi ya kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha kwa kuzingatia maadili. Aidha, namshukurusana Mpiga Chapa wa Serikali kwa kuchapisha hotuba hii kwa wakati, bila kuvisahau vituo vyaTelevisheni ambavyo kwa namna ya pekee vimerusha hotuba hii hewani.Mheshimiwa Naibu Spika, mapato, katika mwaka wa fedha 2011/2012, Wizara imepanga kukusanyajumla ya shilingi 670,009,000 kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2011/2012, Wizaraimetengewa bajeti ya shilingi 14,671,877,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida (MatumiziMengineyo na Mishahara), fedha hizo zinajumuisha:-· Mishahara ya Idara Shilingi 2,076,869,000.· Mishahara ya Asasi Shilingi 5,991,270,000.· Matumizi Mengineyo ya Idara Shilingi 3,806,163,200.· Matumizi Mengineyo ya Asasi Shilingi 2,797,574,800.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2011/2012, Wizaraimetengewa jumla ya shilingi 3,880,851,000 kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo. Kati yahizo, shilingi 770,611,000 ni fedha za kigeni na shilingi 3,110,240,000 ni fedha za ndani.33
- Page 7 and 8: Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16: Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18: MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20: inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22: Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24: Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26: katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28: wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30: · Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31: · Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 35 and 36: 2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84:
Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86:
hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87 and 88:
Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 89 and 90:
tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa
- Page 91 and 92:
MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94:
jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95:
na yakizungumza habari ya interest