12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wengi hawajawa makini sana katika masuala mazima ya computer na internet, kwa hiyo, sidhanikama hoja nyingi zinazohusu maslahi ya Taifa zinatumwa kwa ufasaha ama kwa uhakika nakupatiwa majibu. Kwa hiyo, nafikiri hizi njia nyinginezo za barua ama za kuonana ana kwa ana nawenzetu Maafisa Habari, zingeweza kutumika zaidi na nafikiri zinaweza zikasaidia kusogeza mbeleTaifa letu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Wanahabari,wamekuwa ni chachu ya maendeleo. Lakini kwa kiasi kidogo wamekuwa na wenyewe nichangamoto katika maendeleo yetu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kwa namna ya kipekee kabisa kumpongezaMwandishi wa Gazeti la Mwanahalisi, Ndugu Saed Kubenea kwa kazi nzuri ambayo ameifanyakatika Taifa letu. Licha ya vitisho, kumwagiwa tindikali, kutaka kugongwa na gari, lakiniamesimama imara na kutetea fani yake. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sasa nigusie suala zima la utamaduni. Utamaduni katikanchi yetu kwa namna moja ama nyingine unaporomoka. Pamoja na kuvisifia vyombo vya habari,lakini na vyenyewe kwa wakati mwingine vimekuwa vinachangia katika uporomokaji wa maadilihaya. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba moja kwa moja sasa nigusie sekta nyeti, sekta ya vijana.Kama tunavyojua, asilimia zaidi ya 60 katika nchi hii ni vijana na ndiyo nguvukazi ya Taifa. Kulikuwakuna msemo kwamba vijana ni Taifa la kesho, lakini hapana, vijana ni Taifa la leo, lazimawawezeshwe leo hii ili waweze kujenga nchi yao wakati bado wana nguvu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, katika Halmashauri zetu imekuwa inatengwa takribani asilimiatano ya mapato ili vijana waweze kusaidiwa na kukopeshwa. Lakini ninakotoka mimi Manispaa yaKigoma Ujiji, hali hii sijaikuta na nilipomuuliza Mkurugenzi, akasema kwamba katika usimamiaji wakurudisha fedha hizi kumekuwa na utata na usumbufu ndiyo maana tunashindwa kutoa kiwangohiki. Lakini mimi naona ni kuwanyima haki zao za msingi wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kuhusu ajira kwa vijana, Mkoa wa Kigoma umetengewa takribanihekta 3,000 kwa ajili ya Special Economic Zone. Eneo hili linahitaji wawekezaji waende wakajengeviwanda, lakini tuna changamoto kubwa, tunatumia umeme wa jenereta. Hivi ni nani ataendakuwekeza viwanda katika umeme huo? Kwa hiyo, hii ni changamoto, lakini kama tungepataviwanda vya kutosha, vijana wetu wangepata ajira. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kule mjini tunalima, mjini tuna zao la mawese, wenzetu wa Kasuluwana zao la mhogo, Kibondo wana asali na nta, Kigoma Vijijini wana mawese. Vitu hivi vingewezakusaidia vijana wetu kupata ajira za kutosha na kuchangia uchumi wa Mkoa na Taifa kwa ujumla.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini pia, suala la elimu Kanda ya Magharibi, napenda kusikitikapamoja na Tanzania sasa hivi Vyuo Vikuu vinaota kama uyoga, lakini Kanda ya Magharibi hatunaChuo Kikuu hata kimoja. Kwa hiyo, ningeomba Serikali iweze kutuangalia watu wa Kanda yaMagharibi tuweze kupata chuo ili vijana wetu waweze kusoma na kupata ajira mbalimbali.Ningependekeza kama suala hili litafanyiwa kazi, basi chuo hicho kiwekwe Mkoa wa Kigoma iliwenzetu wa Tabora waje wasome, wenzetu wa Rukwa waje, wenzetu wa Kagera, Burundi, Kongona Rwanda kwa sababu ni maeneo ya karibu. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tumekuwa na tatizo la Maafisa Vijana katika Halmashauri zetu.Kwanza, mimi binafsi sijamuona. Nimeenda kwenye vikao vya RCC, nimeenda kwenye vikao vyaFull Council, kwa kweli sijawahi kutambulishwa kwamba huyu ni Afisa Maendeleo ya Vijana. Hii nichangamoto kubwa kwa Serikali. Jamani Serikali mna mipango mizuri, mnaweka sera nzuri, kwanini hamfuatilii utekelezaji wake? Kwa nini hamhakikishi kwamba huu uteule mnaoutoa, mnaendakuangalia huko?82

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!