12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizara yote ime-balance gender. Kwa hiyo, naomba sana muisaidieTimu ya Taifa ya Wanawake.Mheshimiwa Mwenyekiti, issue ya wasanii imezungumzwa sana na hawa ni vijana wenzetuna nashukuru Kambi ya Upinzani kwa wazo lake la shughuli ya kusimamia kazi za wasanii zihamieWizara ya Habari na mimi hilo naliafiki kabisa. Wasanii wetu wamechoka, wanatumia mudamwingi kutunga nyimbo lakini hawathaminiwi. Fedha wanazozipata haziendani kabisa na kazi zao.(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja lakini niliyosema naomba yazingatiwe.(Makofi)MWENYEKITI: Kabla sijamwita msemaji anayefuata, naomba Idara ya Hansard, Hotuba yaMsemaji wa Kambi ya Upinzani muichukue kama ilivyokuwa kwa sababu hakuweza kuimaliza.(Makofi)MHE. ABDALLAH SHARIA AMEIR: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante kwa kuniona na kunipanafasi kuzungumza katika Bunge hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanzakabisa.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijalia mimi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Jimbo la Dimani kwatiketi ya Chama cha Mapinduzi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi nitaongelea zaidi katika suala zima la mchezo wa mpira wamiguu kwa sababu kama mnavyofahamu mimi ni mdau mkubwa wa mchezo wa mpira wamiguu. Kule Zanzibar nilikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu kwa miaka 12 na zaidi.Kwa maana hiyo, napenda kumpongeza Mheshimiwa Waziri kwa kutoa hotuba yake nzuriambayo inaweza kutekelezeka ndani ya miaka mitano. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira ni fedha na bila ya fedha huwezi kuwa na mpira.Tukiangalia juzi hapa tulikuwa tuna Mashindano ya Kagame, kwa kweli tukiangalia kwa undanifedha zilitumika zaidi hasa kwa timu zote za Tanzania ambazo ziliweza kuingia katika hatua yafainali na hatimaye timu yetu ya Yanga ya Dar es Salaam kuwa Mabingwa wa Kombe la Kageralakini nasema fedha zilitumika, Yanga imesajili wachezaji wengi hasa Asamoo kutoka Ghana. Kwahiyo, nachotaka kusema, Serikali naiomba sana ipange bajeti madhubuti kabisa ambayoitasimamia mpira huu wa miguu wa Tanzania ili tuweze kuondokana na aibu ambayo tuliipata juzi,timu yetu ya Taifa imeshindwa kwenda Sudan na yote hii inatokana na ukosefu wa fedha. Sasanadhani Serikali itakapokuwa ina bajeti nzuri, ina uhusiano na mambo ya michezo basi tutawezakufanya vizuri.Mheshimiwa Mwenyekiti, naiomba Serikali ifanye mambo haya yafuatayo ili kuwezakuinua mpira wetu wa miguu Tanzania. Kwanza, Wizara ya Michezo ishirikiane na Wizara ambayoinahusika na mambo ya viwanja tuhakikishe kwamba kila sehemu ambayo inatolewa viwanja kwaajili ya makazi ya wanadamu basi kuwe na viwanja vya michezo. Viwanja hivi vya michezo sikwamba viwepo tu na Serikali iweze kuvisimamia ipasavyo. Kwa sababu kama vitakuwavimetengenezwa viwanja lakini havikusimamiwa vizuri na Serikali watatokea wajanja wachachekuweza kuvitumia na kufanya mambo yao ambayo wanayahitaji. Mfano mzuri ni Uwanja waJangwani, kuna eneo ambalo limezingirwa sasa hivi watu wanataka kulitumia kwa manufaa yaoambalo ni eneo kwa ajili ya michezo lakini kwa makusudi watu kwa ubinafsi wao wanatakakulitumia kwa manufaa yao. Kwa hiyo, naomba Serikali ianzishe viwanja vya michezo kila sehemuzilizopimwa na isimamie.Mheshimiwa Mwenyekiti, jambo la pili, kipindi cha nyuma Zanzibar kulikuwa kuna madukaya michezo ambayo yanahudumiwa na Serikali yenyewe. Sasa naiomba sana Wizara wetuianzishe Mfuko Maalum wa kuanzisha maduka ya michezo na yasambazwe katika kila Wilaya ilikuhakikisha kuwe na unafuu wa vifaa vya michezo na upatikanaji wake uwe katika kila Wilaya nawaweze kuvimudu kwa bei rahisi zaidi. Kwa hiyo, naiomba Serikali kupitia Wizara yetu basi ianzishe55

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!