12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011, Wizarailipanga kukusanya Mapato ya jumla ya shilingi 697,601,000 kutoka vyanzo mbalimbali. Hadi kufikiamwishoni mwa mwezi Juni, 2011 jumla ya sh. 442,899,176/= zilikuwa zimekusanywa ambazo ni sawana asilimia 63 ya lengo la makusanyo ya mwaka. Mchanganuo wa makusanyo hayo upo kwenyeKiambatisho Na I. Kadhalika Wizara ilitengewa jumla ya sh. 18,786,123,491/= kwa ajili ya Matumiziya Kawaida, fedha hizo zilijumuisha mishahara ya Wizara sh. 2,204,370,168/= na ya Taasisi sh.5,322,056,000/=. Matumizi Mengineyo (OC) ya Wizara sh. 7,017,626,323/= na ya Taasisi sh.4,242,071,000/=. Hadi kufikia mwezi Juni, 2011, jumla ya sh. 17,993,171,000/= zilikuwa zimetolewa nakutumika. Mchanganuo wa matumizi kwa kila Idara upo katika Kiambatisho Na. II.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011 Wizarailitengewa jumla ya shilingi 7,982,562,000 fedha za ndani kwa ajili ya kutekeleza Miradi kumi namoja ya Maendeleo. Hadi kufikia mwezi Juni 2011, shilingi 5,600,000,000 zilikuwa zimetolewa nakutumika. Mchanganuo wa matumizi kwa kila Mradi upo katika Kiambatisho Na III.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2010/2011, Wizarailitengewa jumla ya sh. 7,982,562,000/= fedha za ndani kwa ajili ya kutekeleza Miradi kumi na mojaya Maendeleo. Hadi kufikia mwezi Juni, 2011, Sh. 5,600,000,000/= zilikuwa zimetolewa nakutumika. Mchanganuo wa matumizi kwa kila Mradi upo katika Kiambatisho Na. III.Mheshimiwa Naibu Spika, kuhusu sekta ya habari. Katika mwaka wa fedha 2010/2011,Wizara ilitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari wapatao 150 kutoka katika Vitengovya Habari vya Wizara mbalimbali, Idara, Wakala, Taasisi za Umma, Mashirika ya Umma, Mikoa,Majiji, Miji na Halmashauri za Wilaya. Hivi sasa, Wizara inaendelea na mchakato wa kukamilishaSera mpya ya Habari na ukamilishaji wa rasimu ya mapendekezo ya kutunga Sheria ya KusimamiaVyombo vya Habari.Mheshimiwa Naibu Spika, Wizara kupitia Idara ya Habari imefanikiwa kukusanya taarifambalimbali za Serikali, kuandika habari na kuzitoa katika vyombo vya habari, kupiga picha zamatukio mbalimbali ya Kitaifa, kuzitoa katika magazeti na kuzihifadhi katika maktaba yakumbukumbu ya picha kwa njia ya elektroniki. Aidha, Wizara imeboresha uchapishaji wa jarida laNchi Yetu na kuhakikisha linachapishwa kwa wakati uliopangwa. Matoleo mawili yenye nakala8,000 za jarida hili yamechapishwa na kusambazwa. Kadhalika Wizara imechapisha bango laBaraza la Mawaziri linalowatambulisha kwa wananchi Mawaziri na Naibu Mawaziri na Wizarawanazoziongoza.Mheshimiwa Naibu Spika, Tovuti ya wananchi imeanzishwa na Serikali ili kuhakikisha kuwawananchi wanapata haki yao ya kikatiba ya kutoa maoni kwa uhuru katika masualayanayowahusu. Tovuti imewawezesha wananchi kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja naSerikali. Changamoto iliyopo kwa sasa ni kuhakikisha kwamba hoja za wananchi zinajibiwa kwawakati na kwa ufasaha ili kutatua matatizo yanayowakabili. Wizara inaendelea kuzihamasishaWizara nyingine, Idara zinazojitegemea, Taasisi na wadau wengine ili kujibu hoja zote zinazotolewana wananchi kwa muda muafaka. Kwa kipindi cha mwaka ulioanza mwezi Julai, 2010 hadi Juni,2011 jumla ya hoja 11,934 zimepokelewa kupitia Tovuti ya wananchi na kujibiwa.Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuhakikisha kuna uelewa mzuri wa matumizi ya Tovuti yaWananchi, Wizara imetoa mafunzo juu ya tovuti hiyo kwa watendaji waandamizi wa Wizarambalimbali, Idara na Wakala. Aidha, ili kuhakikisha kuwa kumbukumbu za matukio mbalimbali yaKitaifa zilizohifadhiwa tangu mwaka 1948 katika mfumo wa picha na negatives hazipotei, Wizarailianzisha mradi wa maktaba ya picha ili kuhifadhi picha zote kwa njia ya digitali. Jumla ya picha2,500,000 zilizokuwepo zimehifadhiwa kwa teknolojia hiyo. Hivi sasa picha zote zinazopigwa kwakutumia kamera za kisasa za digitali zinaendelea kuingizwa katika maktaba hiyo.Aidha, Wizara imeanza mchakato wa kuanzisha mtandao wa kulinda na kuuza pichapopote duniani kupitia internet, e–commerce project. Utaratibu huu utahakikisha kuwa picha zakumbukumbu za Kitaifa na Kimataifa zinapatikana kwa urahisi mahali popote duniani lakinihazichukuliwi kwa njia ya mtandao bila idhini ya Serikali.20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!