12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

· Kutoa taarifa katika magazeti kuhusu filamu zote zilizopitishwa, zilizokatazwa na madarajazilizopatiwa.· Kuimarisha Sekretarieti ya Bodi kwa kuongeza wataalamu na kutafuta fursa za masomo yamuda mrefu na mfupi.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, TaSUBa imepangakutekeleza kazi zifuatazo:-· Kuendesha mafunzo ya Stashahada kwa washiriki 120 na mafunzo ya muda mfupi kwawasanii 150 walio kazini.· Kukamilisha Mtaala wa shahada ya kwanza ya Sanaa za Maonyesho na Sanaa za Ufundi.· Kuendesha Tamasha la 30 la Bagamoyo la Sanaa na Utamaduni.· Kuimarisha mafunzo ya cheti katika fani ya uzalishaji na usanifu wa muziki kwa washiriki 30.· Kujenga jengo la utawala ikiwa ni sehemu ya mpango kabambe wa TaSUBa.Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha wa 2011/2012, Mfuko wa Utamaduniumepanga kutekeleza kazi zifuatazo:-· Kuendeleza tasnia ya utamaduni katika utaalamu asilia wa usukaji kwa akina mamawaishio vijijini katika Mikoa ya Tanga, Iringa na Dodoma.· Uendelezaji wa Vituo vya Utamaduni na Masoko katika Mikoa ya Dodoma na Morogoro.· Kuendeleza tasnia ya utamaduni katika utaalamu asilia wa nguo kwenye Mikoa yaSingida na Ruvuma pamoja na Visiwa vya Pemba.Mheshimiwa Naibu Spika, sekta ya maendeleo ya michezo. Katika kipindi cha mwaka wafedha 2011/2012, Wizara itatekeleza kazi zifuatazo:-· Kuendelea na jitihada za kutafuta fedha kwa ajili ya uendelezaji wa awamu ya pili yaUjenzi wa eneo Changamani la Michezo lililoko Jijini Dar es salaam.· Kuanzisha mfumo maalum wa Kitaifa wa kutathmini sifa na kutoa madaraja ya Walimuwa Michezo mbalimbali kwa ushirikiano na Vyama vya Michezo vya Kitaifa na UK-SportInternational.· Kuratibu maandalizi na kuwezesha timu za taifa kushiriki katika michezo ya nchi za Afrikaitakayofanyika nchini Msumbiji mwezi Septemba, 2011.· Kuendesha mafunzo ya Stashahada ya Elimu ya ufundishaji michezo, Stashahada yaUongozi na Utawala wa Michezo kwa wanachuo wa Chuo cha Maendeleo ya MichezoMalya.· Kutoa mafunzo ya muda mfupi ya fani mbalimbali za michezo kwa washiriki katika vituovya michezo Kanda ya Kaskazini (Arusha) na Kanda ya Kusini (Songea).· Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu miundombinu na vifaa bora vya michezo kwawamiliki, mameneja wa viwanja na wadau wengine.· Kuimarisha huduma za Kinga na Tiba kwa wanamichezo kwa kupima afya, kuendeshakliniki za wazi na kuendesha mafunzo ya Kimataifa jijini Dar es Salaam na Arusha.31

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!