12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

maduka ya vifaa vya michezo katika kila Wilaya kwa ajili ya kupata vifaa vya michezo vya mpirawa miguu na kadhalika.Mheshimiwa Mwenyekiti, jambo la tatu ambalo nataka kulichangia katika kuendelezampira wetu wa miguu Tanzania, mashuleni ndio chimbuko letu la michezo. Kama ni chimbuko letuna tunaamini kwamba mashuleni tunatoa vipaji vizuri vya wanamichezo basi kuanzishwe somomaalum la michezo katika shule na wapatikane Walimu ambao wanaweza kufundisha masomoya michezo katika shule zetu ili kuweza kuibua vipaji ambavyo vitaweza kusaidia kukuza mchezowetu wa mpira wa miguu.Mheshimiwa Mwenyekiti, niondoke hapo niende kwenye TFF, Chama chetu cha MpiraTanzania kifanye haya yafuatayo. Moja, kuanzisha academy na academy hizi ziwe zinasimamiwana Chama chenyewe cha michezo siyo zianzishwe academy halafu baadaye ziachiwe huru.Ndani ya academy basi kuwe na Sheria ndogondogo ambazo zitaweza kuwabana wale ambaowanawatamani wachezaji wadogo wawe na utaratibu maalum wa kuweza kuwachukua nakuweza kuwatumia ili faida ziweze kupatikana katika sehemu zote.Mheshimiwa Mwenyekiti, la pili ambalo naliomba kwa TFF, makocha kama walivyosemaKambi ya Upinzani, tuna makocha wazuri wa Tanzania ambao wanaweza kufundisha.Mheshimiwa Mwenyekiti, tunatumia hela nyingi zaidi kuwachukua makocha wa njeambao wazalendo wako hapa ambao wanaweza kutumia hela ndogo tu na wakaweza kufanyakazi vizuri kama alivyotoa ndugu yangu hapa, akina Julio ni kocha mzuri na amefanya kazi nzurisana ya kuweza kuitangaza Tanzania katika mashindano mbalimbali. Kwa hiyo, hawa ni makochaambao tunawahitaji tuwaenzi, tuwaenzi kabisa waweze kuendeleza vipaji vya watoto wetu.(Makofi)Kama walivyosema wenzangu kwamba ni lazima makocha watakaokuja kutoka nje, basini vizuri zaidi wale tukawatumia kuwafundisha makocha wetu wa Tanzania. Halafu baadayewatakapoondoka, basi wanaacha hazina siyo wanaondoka na utamu wao, hapana.Wanaondoka, lakini wanatuachia hekima ambayo tunaweza tukaitumia siku hadi siku.Mheshimiwa Mwenyekiti, niondoke hapo, niende katika TFF na ZFA. Kwa kweli nashukurusana uhusiano uliokuwepo kati ya TFF na ZFA Zanzibar katika muda mrefu na ushirikiano ambaoumetoka katika kuhakikisha kwamba Zanzibar nayo inakuwa mwanachama wa FIFA. Lakini bila yaZanzibar, hakuna Tanzania. Zanzibar ndiyo inayofanya kuwe na Tanzania. Lakini muda woteambao nilikuwa nimeweza kufanya kazi ndani ya ZFA Zanzibar, sijaona ruzuku hata moja ambayoimetokea TFF kwenda ZFA katika kuisaidia. Ile ruzuku inayotoka FIFA ni ruzuku ya Tanzania na kamani ruzuku ya Tanzania na Zanzibar nayo wanayo haki waweze kuipata. (Makofi)Kwa hiyo, naomba Mheshimiwa Waziri atakapokuja, atuelezee: Je, anaelewa nini? TFFinapata ruzuku gani kutoka FIFA? Je, ZFA inakuwa inagawiwa katika mfumo gani kama ipo haki yakuweza kugawiwa? Kwa hiyo, naomba sana Mheshimiwa Waziri atakapokuja, hili naombaatuelezee ili tuweze kufahamu: Je, ZFA inakuwa ina haki ya kuweza kupata fungu kutoka FIFAambayo imepitia TFF au fungu lolote liko ndani ya TFF peke yake?Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema hayo, napenda sana kuwapongeza sanawananchi wangu wa Dimani kwa kunichagua mimi kuwa Mbunge na ninawaahidi kwambasitawaangusha katika kipindi cha miaka mitano. Baada ya kusema hayo, naunga mkono hoja.Asante sana. (Makofi)MWENYEKITI: Nakushukuru sana Mheshimiwa Abdallah Sharia. Naomba kumwita sasaMheshimiwa Muhammed Seif Khatib, Mheshimiwa Alhaj Mohamed Missanga ajiandae naMheshimiwa Mariam Kasembe atafuatia. Mheshimiwa Mohammed.MHE. MUHAMMED SEIF KHATIB: Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru kwa kunipa heshima hiina mimi kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kusimama tangu uchaguzi mkuu kumalizika,ningeomba nichukue nafasi hii kuwashukuru wapiga kura wangu wa Jimbo la Uzini Zanzibar kwa56

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!