12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, napenda kumshukuru Katibu wa Bunge Dkt. ThomasKashillilah akisaidiwa na Makatibu wa Kamati Ndugu Hosiana John na Ndugu Grace Bidya kwakuratibu shughuli za Kamati hadi Taarifa hii kutoka.Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kuwasilisha na naunga mkono hoja. (Makofi)NAIBU SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Juma Nkamia kwa hotuba hiyo kwa niaba yaMwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, ukiwa kama Makamu wa Mwenyekiti wa Kamatihiyo. Tunakushukuru sana kwa mara nyingine kwa usomaji wako ambao umetufundisha namna yakuweka mambo sawasawa hapa, maana wewe una uzoefu wa kutumia Mic hizi kwa miaka mingi.Waheshimiwa Wabunge, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wanafanyamaonyesho ya shughuli za Wizara hiyo katika eneo letu la maonyesho na kuuza picha za viongoziwa Kitaifa.Pia kampuni ya Freedom Electronic inafanya maonyesho ya vifaa vya umeme vya ainaya SAMSUNG. Wanatoa bei nafuu kwa ajili ya Wabunge wanaokwenda kununua vifaa hivyo nawananchi wengine walio katika maeneo haya.Waheshimiwa Wabunge, lingine ni kwamba mtaona maoni ya leo ya Kamati pamojaKambi ya Upinzani hayakuchapwa katika vijitabu vyetu vile vya kawaida ambavyo tumevizoeabadala yake yako katika katarasi za A4, ni kwa sababu ile mashine yetu ya kudurusu ina matatizokidogo, tunaomba tuvumiliane.Nimepata vikaratasi vingi vikinukuu ile Kanuni ya “Mheshimiwa Mbunge kutotumia lughaya kuudhi” kutoka kwa Wabunge kadhaa wakisema kwamba Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, alipotangaza kwamba Yanga wamekuwa Mabingwa peke yao bilakuwapongeza sana Simba, kidogo imewakwaza baadhi yao. Naomba niseme Mheshimiwa Wazirihakuwa na nia mbaya. (Kicheko)Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita Msemaji wa Kambi ya Upinzani, nitoe Mwongozowa Spika kuhusu suala liliombewa Mwongozo humu Bungeni na Mheshimiwa Faida MohamedBakar jana kama ifuatavyo kwa mujibu wa Kanuni ile ya 68(1) na (7) ya Kanuni za Kudumu zaBunge, Toleo la 2007.Waheshimiwa Wabunge, jana wakati wa kipindi cha asubuhi mara baada ya kipindi chamaswali, nilipokea maombi ya Mwongozo wa Spika kutoka kwa Mheshimiwa Faida MohamedBakar, Mwenyekiti alikuwa Mheshimiwa George Simbachawene. Akasema na nanukuu:-“Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba Mwongozo wako, kwa kuwa katika kipindi chamaswali na majibu, Mheshimiwa Esther Matiko alisema Wanajeshi wanapochanganyika nawananchi wanabaka watoto wa shule na Mheshimiwa Waziri hakusita, akamsifia, ahsante sana naakasema kweli. Alivyomjibu kuwa ni kweli na amempongeza muuliza swali, naomba Mwongozowako, Bunge hili linapenda kujua kama hii ndiyo kauli ya Serikali hapa Bungeni kuwa Wanajeshiwanabaka watoto wa shule?” Mwisho wa kunukuu kwa aliyoyasema Mheshimiwa Faida Bakar.Waheshimiwa Wabunge, Mwongozo wangu. Nimepitia Taarifa Rasmi za Majadiliano yaBunge ili kupata mtiririko wa swali la Mheshimiwa Esther Matiko ambalo aliuliza na mimi nanukuu:-“Kwa kuwa uwepo wa Wanajeshi wamechanganyika na wananchi kumepelekeamatendo mengine maovu kutendeka kama ubakaji wa wanafunzi wa shule za msingi, je, Serikalihaioni hiki kitu ni kibaya sana na kinahitaji uharaka wa aina yake kuwahamisha wananchi haoharaka sana iwezekanavyo?” Mwisho wa kunukuu swali la Mheshimiwa Matiko.Waheshimiwa Wabunge, jibu la Mheshimiwa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazililikuwa na mimi nanukuu alivyosema:-41

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!