12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofisi yake, atamwona vipi Faida akiongea hapa Bungeni?Atachukuaje habari? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, naomba sana waandishi wa habari waangaliwe navilevile waandishi wa habari hasa wa vyombo binafsi wawekewe bima. Kazi hii ni ngumu sana,kuna mambo makubwa yanayowapata waandishi wa habari. Kila siku tunalisema jambo hili, lakinimpaka leo halijatekelezwa. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naunganisha hapo hapo, hivi waandishi wa habari wa Zanzibarwako wapi hapa Bungeni? Hili ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, naiomba Serikali nawao waandishi wa habari wa Zanzibar wawe wanakuja katika vipindi vya Bunge hapa ili na waowaweze kuwahabarisha wananchi kule Zanzibar na vilevile waweze kuona jinsi gani Bungelinaendeshwa na wao waweze kufanya, kuandika habari za Bunge lao kwa sababu hili ni Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iwaandae waandishiwake wa habari wawe wanakuja wakati wa Bunge hapa ili na wao kule Zanzibar wawezekuelimika. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, vilevile naomba kuchangia kuhusu vijana na mikopo. Vijana niasilimia kubwa katika nchi yetu, hakuna asiyejua na vijana ndiyo wapiga kura wakubwawakiwemo akina baba na akina mama. Vijana kwa kweli wametengewa mfuko wao huu, lakinikuna mfuko mkubwa huu wa JK, lakini huoni vijana wengi ambao wanapata mikopo hii. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana vijana wapatiwe mikopo kwa sababu vijana niTaifa la leo. Wasipokuwa na kazi hawa vijana watakuwa wanazurura zurura, mwisho watavutabangi na unga. Itakuwa kazi bure sisi hapa nchini kwetu, itakuwa hapana salama. Naomba sanavijana waangaliwe katika mikopo mbalimbali ili kuweza kuendeshea miradi yao mbalimbali nakujitafutia maisha. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, vijana na ajira. Hata kama vijana wako wengi sana, lakini huonikwamba vijana ni wengi sana ambao wanafanya kazi katika sekta mbalimbali katika Serikali.Naomba sana vijana wawe wanaajiriwa. Hii Wizara iwe na database, ijue hasa vijana wake niwangapi katika nchi yetu ya Tanzania na wapi hawajaajiriwa. Vijana wengi ni wasomi, lakinihawana ajira. Naomba sana vijana waweze kuajiriwa ili wasije wakapotoka. Vijana wasipokuwana ajira inakuwa ni tatizo, sisi ndiyo wazazi, tunajua. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, wizi wa kazi za sanaa. Jamani, wasanii ni watu muhimu sana.Msanii ni kioo cha jamii. Tunawahitaji sana wasanii kwa sababu ya kuendeleza mila na desturi zetukatika nchi yetu ya Tanzania. Kuna wasanii mbalimbali, wenyewe wanasema wale wasanii wazamani wanaoimba taarabu za kizamani, wanaoimba muziki wa kizamani, akina King Kiki. Lakiniwapo pia wa Bongo Fleva, tunawapenda na wanatoa elimu kubwa sana. Wasanii wa BongoFleva wanatoa fundisho kubwa sana kwa jamii. (Makofi)Lakini wakifanya kazi zao hazionekani, mapato hayaonekani, wanaiba watu wanapelekanje, wanapeleka sehemu mbalimbali. Sasa hivi kuna ufuatiliaji, lakini sijui, napenda tu kusema sijuikama utafanikiwa! Lakini Mwenyezi Mungu aujalie. (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, wasanii akina Ferouz, Chege, Tundaman, Madee, Diamond,Lady Jay Dee, TID, wote ni wasanii wazuri sana na wengine tunawapenda na nyimbo zao wakatiwa kupumzika unafurahi na una elimika. (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, tuwapendelee sana wasanii, tuwatunze wasanii, tuwawekeefungu lake na wao wasanii katika Bajeti zetu ili nchi yetu na wasanii wetu hawa wawezekuendelea mbele.Mheshimiwa Mwenyekiti, mashindano ya Big Brother Africa, hapa sasa ndiyo kwenyemaneno. Kuna vijana wetu wanashirikishwa kwenye Big Brother. Hivi, mimi namuuliza MheshimiwaWaziri, ukija ujibu, hii Big Brother Africa maana yake nini? Yafundisha nini? (Makofi)85

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!