12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, pia naomba Wizara ishirikiane na Wizara ya Ardhi. Nchi nyingiukiona kwenye miji wanaweka open spaces, siyo za kupumzikia tu, bali hata michezo, vijanawanacheza michezo pale. Sasa Dar es Salaam imevamiwa, nashukuru Wizara ya Ardhi imeanzakulishughulikia suala hili na hata Dodoma imeanza kuvamiwa sasa hivi. Open spaces zotewanajenga watu. Kwa hiyo, vijana wetu wanakuwa hawana pa kucheza, ndiyo maana muda waspare wanakwenda kuzurura mjini.Mheshimiwa Mwenyekiti, namwomba Mheshimiwa Waziri, Wizara yake ishirikiane naWizara ya Ardhi ili kuhakikisha kwamba open spaces zinatumiwa kwa mambo ya kupumzika na piavijana kucheza michezo mbalimbali.Mheshimiwa Mwenyekiti, haya yanayofuata natataka ufafanuzi na maelezo kidogo kwaMheshimiwa Waziri. Jambo la kwanza niongelee uwanja wa Taifa wa Mpira. Serikali ya Awamu yaTatu imefanya jambo zuri sana, tumejengewa uwanja wa michezo mkubwa sana na wa kisasa nauwanja huo ni mzuri sana katika Afrika mashariki, kwani unachukua watu wengi. Nia ya Serikali nikuinua viwango vya michezo vya vijana wetu.Sasa uwanja wa Taifa, viti vyote vilivyopo kule ndani vimewekewa namba. Maana yanamba zile ni kwamba, utakapokuwa unanunua tiketi, namba ya kiti chako inakuwa kwenye tiketi.Ili nunue tiketi ambayo ina namba yako, zipo mashine ambazo zinatumika kuingiza watu kwenyeviwanja vya michezo, cinema halls, kwenye stations za treni ambayo inakuwa na namba yako.Hiyo inasaidia kuhesabu watu na kuhesabu kiasi cha fedha. Hizi mashine zinaitwa turnstilemachines. Zipo za electronic na zipo nyingine ambazo ni manual ambazo zinafanya kazi hatakama umeme umezimika.Mheshimiwa Mwenyekiti, nataka maelezo ya Mheshimiwa Waziri, kwanini wanaohusikahawaweki mashine hizi Uwanja wa Taifa? Wanataka tuwaelewe vipi? Serikali kwa nia nzuri inatakakuinua michezo na ndiyo maana Mheshimiwa Rais ameamua kumlipa mshahara kocha wa timuya Taifa ya mpira wa Miguu. Sasa badala ya kufanya juhudi mpate mapato ya kutosha uwanjanipale, mumlipe wenyewe huyo kocha. Mmeufanya kuwa ni mradi wenu wa kutunisha matumboyenu. Nataka maelezo kwa kina ni kwanini hawaweki mashine hizo pale uwanjani? Hilo la kwanza!(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, la pili, nitataka maelezo. Shirila letu la Utangazaji, TBC miaka yakaribuni hapa waliingia ubia na Serikali ya Japani, wakapewa fedha nyingi, wakajengewamtambo wa kisasa wa masafa mafupi kule Mabibo ili waweze kurusha vipindi vya shule kwa Shuleza Msingi ili kuweza kuziba pengo lililopo la walimu ili wanafunzi wanaingia darasani, wanaikutaredio iko pale, wanamsikiliza mtu ambaye yuko studio Dar es Salaam, anawafundisha. Lakini chaajabu ni kwamba TBC mradi huo wameuzima, wanachangamkia mambo mengine. Huu mradiuko wapi?Mheshimiwa Mwenyekiti, nataka maelezo kutoka kwa Mheshimiwa Waziri. Kila wakatitunapiga kelele kwamba, walimu hawatoshi katika Shule za Msingi. Serikali ya Japani imetusaidiatuwafundishe watoto wetu kwa kutumia vipindi vya redio, TBC wamepeleka wapi mradi huo?Nitataka maelezo ya kutosha kutoka kwa Mheshimiwa Waziri. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, pia kumezuka mtindo sasa hivi wa vituo vya television cables vyaMikoani, huko Dodoma, Iringa, Mwanza, wanarusha matangazo ya TV wao wenyewe bila yakupitisha kwa authority, bila kupitisha kwa Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA).Ipo imezuka sana, hiyo ya cable TVs. Nataka maelezo ni kwanini Wizara imeacha hizi televisioncables zinarusha matangazo kienyeji huko Mikoani? Hao ndiyo wanaopotosha hata maadili,wanarusha vipindi vingine vya ajabu ajabu hata vya ngono. Wizara inachukua hatua gani kuwezakushughulikia suala hili? Nitataka maelezo ya kutosha kutoka kwa Mheshimiwa Waziri.Mheshimiwa Mwenyekiti, vilevile nataka nizungumze juu ya mengine ambayo ni mazurizaidi kwa TBC. TBC wanaporusha matangazo yetu haya kama ninavyoongea sasa hivi inabidiwalipwe na Bunge, hivi ninavyoongea, wanalipwa na Bunge. Mwaka jana TBC wamedai fedhazao muda mrefu sana, mpaka Mheshimiwa Waziri Mkuu alipoingilia kati ndipo wakalipwa na70

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!