12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Naibu Spika, baada ya kutoa maelezo hayo, natoa rai kwa wananchi wotepamoja na Waheshimiwa Wabunge, kutoa taarifa za ukiukwaji wa sheria kwenye Ofisi ya TFDAMakao Makuu, Ofisi za Kanda na Ofisi za Afya za Mkoa na Halmashauri, wanapogundua ukiukwajiwa sheria ili kuwezesha mamlaka ya kuchukua hatua zinazostahili na kulinda afya za wananchi.Aidha, nawashukuru wote ambao wamekuwa wakitoa taarifa kwani kwa kufanya hivyo, wanatoamchango chanya katika shughuli za udhibiti na usalama wa vyakula.MHE. LUCY F. OWENYA: Mheshimiwa Naibu Spika, nashukuru kwa kunipatia nafasi yakuuliza swali la nyongeza. Sina uhakika kama TFDA huwa inawaangalia mama nitilie, mama nitiliehuwa wanapika vyakula kwenye mazingira ya hali ngumu sana na sehemu nyingine huwahawana hata maji ya kusafishia vyombo vile, hali ambayo inapelekea saa nyingine kupatamagonjwa ya mlipuko, sijui Serikali inawasaidiaje ili kuhakikisha kwamba wanatengeneza vyakulavile kwenye mazingira ya hali ya usafi ili kupunguza magonjwa ya mlipuko? (Makofi)Pili, ningependa kupata jibu kutoka kwa Mheshimiwa Naibu Waziri, ni kwa jinsi gani vyakulahivi vinachangia magonjwa sugu kama vile kisukari, blood pressure ya juu, saratani pamoja nahayo magonjwa ya mlipuko?NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII: Mheshimiwa Naibu Spika, ni kwamba, hawaakinamama nitilie wanapika kwenye maeneo ya Halmashauri ama Serikali za Mitaa, majukumuhaya tumeyakasimu kwa bwana afya wa Halmashauri ndiye anayetakiwa kuwa anawazungukiana kuwapa elimu. Pale ambapo anaona kwamba mazingira ni machafu kabisa basi watafutemaeneo mbadala ili wale akinamama waweze kujikimu kiuchumi siyo kuwafungia, ila nasemakwamba wapate elimu na wahamishiwe sehemu ambazo ni salama. Jukumu hili limekasimiwaHalmashauri.Swali la pili, ni kwa kiasi gani vyakula hivi ambavyo vinapikwa, nafikiri siyo mama nitilie tu,hebu tuulize kwamba ni vyakula gani ambavyo au ni kwa namna gani vyakula vinawezavikachangia maradhi ya kisukari, vikachangia saratani na maradhi mengine sugu.Mheshimiwa Naibu Spika, kila kitu ambacho binadamu anakula hakina usalama ndani yamwili wake kama hatakula kwa kiasi, ila naomba kusema kwamba kuna aina nyingine za mafutaambayo tunafuatilia sasa hivi ambayo najua kwamba, kama tukifuatilia vizuri tutaona kwambakuna mchango gani katika kuchangia sukari, kuchangia hypertension pamoja na maradhimengine ambayo ni sugu.Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kusema kwamba, sisi kama Watanzania tuangalie ninamna gani tunarudi kula vyakula walivyokuwa wanakula wazazi wetu wa zamani vyakuchemsha, tusipende sana kukaanga ila napenda kutoa tahadhari kwamba hizi biashara zaChips Mayai zinazokaangwa barabarani, naomba kusema kwamba havina usalama sana ilajuhudi tutakayofanya kama Wizara ya Afya ni kuwaelimisha waweze kupika chakula ambacho nisalama.NAIBU SPIKA: Tuitendee haki Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, swali la mwishoasubuhi ya leo na linaulizwa na Mheshimiwa Abdul Jabir Marombwa.MHE. ABDUL J. MAROMBWA aliuliza:-Na. 405Walimu wa Ufundi KutoajiriwaWalimu wote wanaomaliza mafunzo ya ualimu wa ufundi hukosa ajira Serikalini ingawaSerikali ina upungufu mkubwa wa walimu wa ufundi.Je, ni sababu zipi zinaifanya Serikali isiajiri walimu hao, mfano walimu waliomaliza VETAMorogoro mwaka 2010?12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!