12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi ya uhai na nguvu mpaka nimesimamakuchangia hoja hii.Mheshimiwa Mwenyekiti, hoja ya Mheshimiwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Vijana ninzuri sana, lakini nitaanza kuongelea vijana. Vijana ni Taifa la leo, vijana ni Taifa la kesho na vijanani Taifa la kesho kutwa. Taifa la Tanzania linaitwa Kisiwa cha Upendo, Uvumilifu, Umoja naMshikamano kwa sababu sisi vijana wa zamani tulifundwa na kulelewa na waasisi wetu na wazaziwetu. Pia tulifundwa na kuwekwa unyago tukawa na moyo wa upendo, wa kushirikiana nakuheshimu watu dunia nzima. Ndiyo maana nchi yetu inaheshimika duniani kote. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini vijana wetu sasa hivi kuna hatari ya kumomonyoka kwaupendo na uvumilivu na uchapa kazi, inabidi vijana hawa tuwapeleke jandoni, inabidi tuwafunde.Mheshimiwa Mwenyekiti, kuna jando ya aina mbili. Jando ya mila ambayo unawekwakambini, unafunzwa mambo ya maisha, unafunzwa kuheshimu na kuwatii wakubwa, kupendakazi, ndoa na kila kitu. Lakini lipo jando la pili ambalo ni la hospitali. Hilo wanashughulika tu hukohospitali, basi. Sasa ukimwona kijana leo anamwambia mtu mzima ambaye umri wake nisawasawa na baba yake kwamba wewe muongo, ujue hii ni matokeo ya jando la hospitali.Mjomba wangu ananiona pale anacheka. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba Wizara ifanye ubia na Wizara ya Ulinzi na Jeshi laKujenga, Jeshi la JKT kwa vijana, lirudi na usimamie wewe. Mimi nimekwenda JKT, ukifika JKT kitucha kwanza unapewa kitanda, godoro, mess tin, nguo zote unabeba kichwani. Kitanda unabebakichwani ndiyo unakwenda kutafutiwa chumba. Utakaa huko miezi sita au mwaka, utadhaniunapata mateso sana ya kufanya kazi na kupiga kwata lakini mwisho wa siku ukitoka JKTutakuwa na moyo wa uzalendo, upendo, uvumilivu, kupenda kazi na utaifa, unakuwa umevipatakutoka JKT. Jambo la muhimu sana ni utaifa na kupenda kazi na kutokupenda dezo unafundishwaJKT.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa hiyo, naomba sana Wizara hii ifanye ubia na Wizara ya Jeshila Kujenga kusimamia vijana, waanze mara moja kupelekwa jandoni JKT ili tuwe na Watanzaniawazuri wa kesho kutwa.Mheshimiwa Mwenyekiti, miaka ya 1960 na 1970 ukichukua mchezo wa mpira wa miguutu, Tanzania ilikuwa katika Afrika Mashariki na Kati kila anayekuja hapa anachukua mbao. AjeZambia anachukua mbao, akija Malawi mnamhesabia mbao, Kenya, Ethiopia, Rwanda naBurundi ndiyo usiseme, lakini sasa kila tukienda huko tunachukua mbao sisi, yaani Tanzaniainachukua mbao. Nadhani kuna kitu kimepotea hapo katikati.Mheshimiwa Mwenyekiti, nakuomba sana, Wizara hii ianze kusimamia michezo yotekuanzia kwenye shule za msingi. Kwenye shule za msingi kuwe na viwanja vya kutosha, vifaa vyamichezo vya kutosha, yaani Halmashauri itoe, kuwe na Walimu wa michezo wa kutosha. Shule zaSekondari kuwe na viwanja vya kutosha. Sasa hivi kuna watu wengi wanajenga Shule za Sekondaribinafsi, wanajenga majengo tu na maghorofa, lakini hawaweki viwanja vya michezo, kwa hiyo,watoto wanakwenda kusoma tu na kwenda mjini. Viwanja vya michezo viwepo na Wizara yakoishirikiane na Wizara ya Elimu, kila panapojengwa Shule, Wizara ihakikishe kwamba pale panaviwanja vya michezo, vifaa vya michezo na pana walimu wa michezo.Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi nimekwenda kwenye Chuo Kikuu ambacho Serikali yetu yaawamu ya nne imefanya jambo kubwa na zuri sana. Ni Chuo Kikuu cha Dodoma, yaani UDOM.Ndiyo! Pana viwanja viwili au vitatu vya michezo. Wanafunzi 20,000, viwanja viwili havitoshi, ndiyomaana vijana wetu wa sasa hivi spear time yao ni tofauti na sisi. Sisi zamani ilikuwa spear timewakati tunasoma unaitumia kwa michezo au kujisomea. Lakini wao sasa hivi spear time yaowanaitumia kwenda kuzurura mjini. Nakuomba sana Wizara yako ishirikiane na Wizara ya Elimu yaJuu ili kuhakikisha Vyuo Vikuu vyetu vyote vina viwanja vya michezo, vina Walimu wa michezokama Mwalimu Zambia wa zamani, wa kutosha ili Taifa letu liache kuwa kichwa chamwendawazimu.69

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!