12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

· Serikali itenge fedha za mafunzo kwa wataalamu wa Wizara kwani Sheria zaMichezo zinabadilika mara kwa mara;· Wataalamu wanaoagizwa kutoka nje kuja kufundisha michezo mbalimbali nchiniwapewe nafasi ya kutoa mafunzo kwa wataalamu wetu wa ndani ili baada yamikataba yao kuisha, Taifa libaki na wataalam wa ndani na hivyo kuepukagharama za kukodisha wataalam wengine kutoka nje;· Baraza la Michezo lihakikishe linaondoa ama kupunguza uwingi wa Vyama vyaMichezo nchini jambo ambalo limekuwa likisababisha vurugu na misuguano isiyona manufaa kwa maendeleo ya michezo nchini;· Pamoja na Serikali kuhakikisha kuwa kuna Afisa Maendeleo ya Michezo katika kilaMkoa bado Afisa huyu hajatengewa fungu la maendeleo ya michezo hivyohutegemea hisani ya Mkuu wa Mkoa ama Katibu Tawala Mkoa (RAS), jamboambalo linamuwia vigumu kutekeleza kazi zake. Vilevile, Halmashauri nyingi zaWilaya nchini hazitengi fedha kwa ajili ya maendeleo ya michezo na hivyokumfanya Afisa huyu kushindwa kufanya kazi zake ipasavyo; na· Serikali ianze kutenga bajeti kwa timu zinazowakilisha nchi katika mashindano yakimataifa kuliko kila mara kutegemea ufadhili. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, tano, sekta ya Maendeleo ya Vijana. Takribani nusu yaWatanzania ni vijana na watoto lakini asilimia 60 mpaka 70 ya Watanzania wako katika maeneoya vijijini ambapo ajira kubwa ni kilimo. Hata hivyo, lipo tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchiniingawa Serikali imejitahidi kusomesha vijana katika sekta mbalimbali. Kamati inaishauri kwa kuwamaendeleo ya vijana yanasimamiwa na Wizara hii, ni wakati muafaka sasa Serikali kuboreshasekta ya maendeleo ya vijana ili kukidhi mahitaji yao na hasa katika ajira.Mheshimiwa Naibu Spika, pamoja na kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya kuwaendelezavijana katika vituo vyake vya Ilonga, Sasanda na Marangu, Kamati inashauri yafuatayo yafanyikeili kuboresha mafunzo katika vyuo hivi:-· Vituo hivi visajiliwe katika National Council for Technical Education (NACTE) iliviweze kutoa mafunzo yenye hadhi ya Cheti, Stashahada na hata Shahada kwawahitimu;· Serikali iongeze Wakufunzi katika Fani ya Maendeleo ya Vijana katika Kilimo,Maarifa ya Nyumbani na Ufundi;· Serikali itenge bajeti kwa ajili ya vituo hivyo badala ya utaratibu wa sasa wakuendendesha mafunzo kwa mtindo wa zima moto;· Serikali kuendelea kutoa elimu kwa vijana kuhusu kujikinga na maambukizi yaVirusi Vya Ukimwi (VVU) na athari za mimba za utotoni hasa katika Mikoa ambayoinaongoza kwa matatizo hayo;· Wizara kuandaa programu ya kuwaelimisha vijana namna ambayo watewezakujiajiri wenyewe na kuachana na makundi yasiofaa pamoja na kushinda vijiweni;na· Awamu ya pili ya ujenzi wa uwanja wa Taifa ianze mapema kwani ule uliojengwautachakaa kabla ya awamu ya pili kujengwa. Hii pia itasaidia katika kuongezapato la TaifaMheshimiwa Naibu Spika, maoni ya jumla. Pamoja na maoni yote, Kamati inatoa ushauriwa jumla wa kisekta kama ifuatavyo:-39

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!