12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana Maofisa Utamaduni wapewe nyenzo kwa ajili yamambo ya michezo. Kama kweli tunaitaka Tanzania iendelee katika michezo basi ianzie kuleWilayani na Maafisa Utamaduni wapewe uwezo wa kufanya kazi zao. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kuhusu suala la viwanja vya michezo, nimeona tuvinashughulikiwa viwanja vya Dar es Salaam, kwani huko mikoani hakuna viwanja? Hata kama niviwanja vya Chama cha Mapinduzi kwani wanaofanya michezo hawaji kufanyia michezo kwenyeviwanja hivyo, viwanja vya Watanzania, kama ni viwanja vya Tanzania kwa nini vinatengenezwatu viwanja vya Dar es Salaam kiwanja cha Kirumba hakitengenezwi, kiwanja cha Arushahakitengenezwi, kiwanja cha Maji Maji hakitengenezwi, kiwanja cha Hassan Mwinyihakitengenezwi, kiwanja cha Kigoma sasa hivi kimekuwa gofu hakitengenezwi, uwanja waMkwakwani hautengenezwi. Leo hii tunataka maendeleo ya michezo ni maendeleo gani kamatusipotengeneza viwanja, watu wataenda kucheza wapi mpira wakacheze kwenye mizimu?(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana mambo ya michezo yaangaliwe ili watuwaendelee kupenda michezo hasa kwa kutengenezewa viwanja, kisiangaliwe kwamba kiwanjahiki ni cha Chama gani, tunachotaka ni michezo ndani ya Tanzania. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa nakuja kwenye fani yangu…MBUNGE FULANI: Hapo sasa!MHE. STEPHEN H. NGONYANI: Mheshimiwa Mwenyekiti, inasikitisha sana kuona kitendo chawaganga wa tiba asilia wanavyodhalilishwa. Waganga wa tiba asilia sasa hivi wanaitika sehemumbili, wanaitika Wizara ya Afya na wanaitika Wizara ya Habari. Wakiwa Mjini wanaambiwawaende wakachukue vibali Wizara ya Afya, wakiwa vijijini wanaenda kwa Afisa Utamaduniwakachukue vibali. Sasa hawa watu kwa nini wanayumbishwa? (Makofi)Mhehsimiwa Mwenyekiti, hakuna hapa ndani mtu ambaye hamjui mganga wa tiba zaasili. Kama siyo kumjua kwa jina basi ni kumjua kwa maandishi, sina maana kwamba watu wotemliopo ndani mnaenda kwa waganga, hapana, la hasha! Lakini wote mnajua kwamba wagangawanafanya kazi gani. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, siku za nyuma hapa hakukuwa na hospitali, ninyi wote mlikuwamnatumia tu. Wakati hospitali hazijajengwa watu walikuwa wanatumia majani, wanachemshamajani wanakunywa mtu anapona malaria. Lakini ikifika wakati wa uchaguzi wanakimbiliwawaganga, wakishapita wanawafananisha waganga ni watu matapeli na ni watu wasiokuwa nauwezo, sasa utapeli wa mganga ni nini, wakati wewe mwenyewe una shida zako umeenda kwamganga amekutengenezea umeshinda, umekuja umepata hiyo nafasi uliyoitaka, akianza kutajwamganga kila kibaya wanafafanisha na waganga wa tiba asilia. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tabia hii tafadhali naomba waangalie waganga wa tiba asiliasiyo watu lelemama kama wanavyofikiria. Hospitali watu wamefanyiwa operesheni mkasiukabakia tumboni hawakusemwa, mtu amekwenda kufanyiwa operesheni ya mguu badala yakeamefanyiwa operesheni ya kichwa hawakusemwa, lakini mganga wa kienyeji akimpa mtu dawabahati mbaya ameharibikiwa imekuwa ndiyo wimbo, sasa wapi na wapi? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, leo hii si Shinyanga mtu akionekana tu tunaambiwa waganga,kuna uganga na uchawi, mganga siyo mchawi, msifananishe waganga kwamba ni wachawi, mtumkiona ana macho mekundu anaambiwa mchawi. Kuna watu wanakaa kwenye mazizi ambapomacho yanakuwa mekundu kwa ajili ya moshi, mtu akionekana mnasema akauwawe mchawijamani hebu wapeni heshima zao waganga. Huu utamaduni umeaniza kwa waganga. Zipo ainatatu za waganga kuna asilia, kuna elimu dunia, kuna mizimu ambayo watu wanaenda kuombewawanafanikiwa, sasa kila kitu kibaya kinafananishwa na mganga. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba Wizara hii iangalie vizuri kama ni waganga wanaendaWizara ya Afya tujue tunakwenda Wizara ya Afya, kama tunakwenda Wizara ya Utamaduni tujue88

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!