Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana Maofisa Utamaduni wapewe nyenzo kwa ajili yamambo ya michezo. Kama kweli tunaitaka Tanzania iendelee katika michezo basi ianzie kuleWilayani na Maafisa Utamaduni wapewe uwezo wa kufanya kazi zao. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, kuhusu suala la viwanja vya michezo, nimeona tuvinashughulikiwa viwanja vya Dar es Salaam, kwani huko mikoani hakuna viwanja? Hata kama niviwanja vya Chama cha Mapinduzi kwani wanaofanya michezo hawaji kufanyia michezo kwenyeviwanja hivyo, viwanja vya Watanzania, kama ni viwanja vya Tanzania kwa nini vinatengenezwatu viwanja vya Dar es Salaam kiwanja cha Kirumba hakitengenezwi, kiwanja cha Arushahakitengenezwi, kiwanja cha Maji Maji hakitengenezwi, kiwanja cha Hassan Mwinyihakitengenezwi, kiwanja cha Kigoma sasa hivi kimekuwa gofu hakitengenezwi, uwanja waMkwakwani hautengenezwi. Leo hii tunataka maendeleo ya michezo ni maendeleo gani kamatusipotengeneza viwanja, watu wataenda kucheza wapi mpira wakacheze kwenye mizimu?(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba sana mambo ya michezo yaangaliwe ili watuwaendelee kupenda michezo hasa kwa kutengenezewa viwanja, kisiangaliwe kwamba kiwanjahiki ni cha Chama gani, tunachotaka ni michezo ndani ya Tanzania. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa nakuja kwenye fani yangu…MBUNGE FULANI: Hapo sasa!MHE. STEPHEN H. NGONYANI: Mheshimiwa Mwenyekiti, inasikitisha sana kuona kitendo chawaganga wa tiba asilia wanavyodhalilishwa. Waganga wa tiba asilia sasa hivi wanaitika sehemumbili, wanaitika Wizara ya Afya na wanaitika Wizara ya Habari. Wakiwa Mjini wanaambiwawaende wakachukue vibali Wizara ya Afya, wakiwa vijijini wanaenda kwa Afisa Utamaduniwakachukue vibali. Sasa hawa watu kwa nini wanayumbishwa? (Makofi)Mhehsimiwa Mwenyekiti, hakuna hapa ndani mtu ambaye hamjui mganga wa tiba zaasili. Kama siyo kumjua kwa jina basi ni kumjua kwa maandishi, sina maana kwamba watu wotemliopo ndani mnaenda kwa waganga, hapana, la hasha! Lakini wote mnajua kwamba wagangawanafanya kazi gani. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, siku za nyuma hapa hakukuwa na hospitali, ninyi wote mlikuwamnatumia tu. Wakati hospitali hazijajengwa watu walikuwa wanatumia majani, wanachemshamajani wanakunywa mtu anapona malaria. Lakini ikifika wakati wa uchaguzi wanakimbiliwawaganga, wakishapita wanawafananisha waganga ni watu matapeli na ni watu wasiokuwa nauwezo, sasa utapeli wa mganga ni nini, wakati wewe mwenyewe una shida zako umeenda kwamganga amekutengenezea umeshinda, umekuja umepata hiyo nafasi uliyoitaka, akianza kutajwamganga kila kibaya wanafafanisha na waganga wa tiba asilia. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, tabia hii tafadhali naomba waangalie waganga wa tiba asiliasiyo watu lelemama kama wanavyofikiria. Hospitali watu wamefanyiwa operesheni mkasiukabakia tumboni hawakusemwa, mtu amekwenda kufanyiwa operesheni ya mguu badala yakeamefanyiwa operesheni ya kichwa hawakusemwa, lakini mganga wa kienyeji akimpa mtu dawabahati mbaya ameharibikiwa imekuwa ndiyo wimbo, sasa wapi na wapi? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, leo hii si Shinyanga mtu akionekana tu tunaambiwa waganga,kuna uganga na uchawi, mganga siyo mchawi, msifananishe waganga kwamba ni wachawi, mtumkiona ana macho mekundu anaambiwa mchawi. Kuna watu wanakaa kwenye mazizi ambapomacho yanakuwa mekundu kwa ajili ya moshi, mtu akionekana mnasema akauwawe mchawijamani hebu wapeni heshima zao waganga. Huu utamaduni umeaniza kwa waganga. Zipo ainatatu za waganga kuna asilia, kuna elimu dunia, kuna mizimu ambayo watu wanaenda kuombewawanafanikiwa, sasa kila kitu kibaya kinafananishwa na mganga. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba Wizara hii iangalie vizuri kama ni waganga wanaendaWizara ya Afya tujue tunakwenda Wizara ya Afya, kama tunakwenda Wizara ya Utamaduni tujue88
tunakwenda Wizara ya Utamaduni kwa sababu kuna vitu vingi ambavyo wanafanyiwa wagangahalafu hawaonekani kama wanafanya na hawaonekani kama ni binadamu. Hakuna mgangatapeli. Mganga ni mganga unapomsaidia mtu una mawili, unamsaidia apate nafuu unamsaidiaapone au la hasha Mungu hakukubali imani ya mtu ndiyo inayomsaidia. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nimeshangaa sana hata hapa ndani mtu akichangia anasemawaganga, waganga isiwe sera ya hapa ndani wote tunafahamu mababu zetu walikuwawaganga, miti hii ndiyo inayosababisha watu mpaka leo wanakunywa dawa za hospitali zimetokakwenye miti. Babu zetu walikuwa wanakula matunda wanapona, walikuwa wanakula mitiwanapona, wanakula mizizi wanapona, ndiyo maana ya tiba asili. Lakini kila kibaya kinachotokeamtu anafananisha na uganga. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, nawaomba ndugu zangu mimi ni mganga asilia, nimefanya kazina waganga wenzangu hata hivi nawashukuru sana walinisaidia sana kwa hali na mali mpakanimefika hapa. (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, aah, ni lazima tuelezane ukweli kwani nini bwana! (Kicheko)MBUNGE FULANI: Hata na Mawaziri umewasaidia. (Kicheko)MHE. STEPHEN H. NGONYANI: Kuna watu wengi wanajua asili hiyo, hata Mwenyekitimwenzangu wa Kamati ya ufundi anajua yupo pale, sasa mkisema kwamba waganga, siyo vizurihivyo! (Kicheko)Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kusema hayo nilikuwa nataka tu kuliweka sawa sualala waganga wa tiba asili wachukuliwe kama madaktari wengine wa nchi nyingine au madaktariwengine mabingwa kama mabingwa wengine kwa sababu kuna sehemu tofauti kama yeyeamesomea hospitali na vitabu na sisi tumesomea miti tunaifahamu kama wewe unatakiwaukafanye operesheni sisi hatufanyi operesheni. Wasanii wapewe heshima zao, waandishi wahabari waache kunyanyaswa, kwa sababu mnapowanyanyasa waandishi wa habari ina maanamnataka ule ukweli wasiuseme, wasipousema ukweli watausemea wapi? (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi naungana kabisa na wenzangu walionitangulia kwasababu wameongea vitu vizuri na ninaomba sana niwaunge mkono wenzangu walichangiamengi sana. Ndugu yangu Nkamia ninakushukuru sana kwa hotuba uliyoitoa leo asubuhi, umetoahotuba nzuri sana ikizingatiwa kwamba wewe ni mwandishi wa habari lakini hukuyatetea yalemaslahi ya waandishi. Waambie wapandishe posho kama wanavyopewa wengine, kwa sababuwakipandishiwa posho hawatakuwa wanafanya kazi kwa kusema kwamba labda nikaombe kwamtu, na waandishi wa habari inakuwa ni maneno mnasema wanataka rushwa, sasa watafanyaje?(Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, mnawachukua watu mnaenda kuwalipa shilingi 5,000/=, shilingi5,000/= inamsaidia nini, mtu unamzungusha huko kwenye kampeni zako akirudi hata nyumbanikwake watu wanamkimbia halafu akipewa hela mnasema amepewa rushwa, acheni kuwafikiriamabaya. Waandishi wa habari fanyeni mambo yenu, mkifanya makosa wenzenu watajuatumewashika, fanyeni kazi. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja. (Makofi)MWENYEKITI: Nakushukuru sana, naomba kumwita sasa Mheshimiwa Maryam Msabaha naMheshimiwa Hamad Ali Hamad ajiandae. (Makofi)MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante kwa kunipa nafasi hii ilinipate kuchangia Wizara hii ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Kwanza kabisa namshukuruMwenyezi Mungu Subhana Wataallah na Ramadhani hii kunijalia leo nimesimama hapa naninawashukuru vijana wote wa Wilaya ya Mjini Magharibi kwa changamoto zao walizonipa wakatinilipokuwa nagombea. (Makofi)89
- Page 7 and 8:
Mheshimiwa Naibu Spika, lakini umeg
- Page 11 and 12:
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI: Mheshimiw
- Page 13 and 14:
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA
- Page 15 and 16:
Pili, Wakurugenzi na Wakurugenzi wa
- Page 17 and 18:
MHE. JOHN J. MNYIKA: Naomba unisiki
- Page 19 and 20:
inaongozwa na Mbunge wa Jimbo la Pe
- Page 21 and 22:
Mheshimiwa Naibu Spika, katika kuha
- Page 23 and 24:
Mheshimiwa Naibu Spika, Baraza la H
- Page 25 and 26:
katika kukuza na kuimarisha Demokra
- Page 27 and 28:
wakiwa ni Baraza Kuu la Michezo Bar
- Page 29 and 30:
· Kusimamia usambazaji wa machapis
- Page 31 and 32:
· Kutoa taarifa katika magazeti ku
- Page 33 and 34:
· Kufanya tathmini na ufuatiliaji
- Page 35 and 36:
2011 wakati wa vikao vya Kamati vil
- Page 37 and 38: na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Ba
- Page 39 and 40: · Serikali itenge fedha za mafunzo
- Page 41 and 42: Mheshimiwa Naibu Spika, aidha, nape
- Page 43 and 44: kuzifanya za kuielimisha jamii juu
- Page 45 and 46: Mheshimiwa Mwenyekiti, pamoja na um
- Page 47 and 48: wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UD
- Page 49 and 50: (iii)(iv)(v)(vi)(vii)Chuo Kikuu cha
- Page 51 and 52: kuendelea kufanya vibaya na kuambul
- Page 53 and 54: Serikali, sasa sisi tayari Umoja wa
- Page 55 and 56: iangaliwe. Tena nashukuru hii Wizar
- Page 57 and 58: kunichagua kuwa Mbunge wao kwa mara
- Page 59 and 60: Mheshimiwa Mwenyekiti, mpira wa mig
- Page 61 and 62: na Academy yake, huyu ndiye mtu wa
- Page 63 and 64: matangazo ya kudhalilisha nchi yetu
- Page 65 and 66: Mheshimiwa Mwenyekiti, suala lingin
- Page 67 and 68: Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa hivi ni
- Page 69 and 70: namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa
- Page 71 and 72: Bunge. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipo
- Page 73 and 74: pombe tu, wanaishia kunywa pombe, b
- Page 75 and 76: Nishukuru wafadhili na hasa TBC bas
- Page 77 and 78: ushuru kwenye vifaa vya michezo. Vi
- Page 79 and 80: Mheshimiwa Mwenyekiti, niende TBC,
- Page 81 and 82: Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini kuna
- Page 83 and 84: Je, hawa watu wapo na wanafanya kaz
- Page 85 and 86: hapa Bungeni, yupo kule kwenye ofis
- Page 87: Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza natak
- Page 91 and 92: MHE. MARYAM SALUM MSABAHA: Wale wen
- Page 93 and 94: jambo hili la kuhakikisha kwamba ku
- Page 95: na yakizungumza habari ya interest