12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

na Mfuko wa Vyombo vya Habari na Baraza la Habari Tanzania (MCT) ili kuwawezesha Waandishiwa Habari, wamiliki wa vyombo vya habari na vyombo vya habari vyenyewe kufanya kazi zaokwa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari makini zenye tija kwa Taifa.Mheshimiwa Naibu Spika, pili, Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA). Ni dhahiri kuwa lughaya Kiswahili imezidi kukua na kusambaa duniani ikiwa sasa ni Lugha ya Kimataifa inayotumiwamathalani kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika. Kutokana na umuhimu waKiswahili Katika Taifa letu na kutokana na ukweli kuwa lugha hii ndio kiunganishi kikuu chamawasiliano kwa Watanzania, Kamati inatoa ushauri ufuatao:-· Serikali kuwa makini katika kauli zake kuhusu matumizi ya lugha ya Kiswahili katikashughuli rasmi za Serikali na kusisitiza matumizi ya Kiswahili katika semina, warsha,mabango ya matangazo barabarani, maelekezo ya bidhaa zinazotengenezwanchini na matangazo ya biashara; na· Serikali kuona umuhimu wa kulishirikisha Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA)katika kuandaa vitabu vya Bajeti za Serikali kwa miaka ijayo kwa Lugha yaKiswahili ili kuwawezesha wananchi kuelewa muelekeo wa hali ya Uchumi naMapato ya Serikali pamoja na maeneo yaliyopewa kipaumbele.Mheshimiwa Naibu Spika, tatu, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Kutokana na Upungufukatika Sheria ya Haki Miliki ya Mwaka 1999 na pia kutokuwepo utekelezaji wa Sheria hii kikamilifu,bado unyonyaji wa wasanii unafanywa na mawakala, wadhamini, wazalishaji na wasambazaji wakazi za wasanii. Kamati inaona kuna umuhimu mkubwa wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamadunina Michezo na Wizara ya Viwanda na Biashara ziharakishe kuleta Muswada wa Marekebisho yaSheria ya Haki Miliki na Haki Shiriki Na. 7 ya Mwaka 1999 kwani upatikanaji wa Sheria hii utasaidiaukuaji wa pato la wasanii na hata Serikali kwa ujumla.Mheshimiwa Naibu Spika, uchambuzi wa Kiuchumi wa Sekta ya Muziki uliofanywa na Idaraya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuwasilishwa mbele ya Kamati tarehe 19 Juni2011, umebaini kuwa mara baada ya marekebisho ya Sheria hii na utekelezaji wake utakapoanza,Taifa litapata chanzo kipya cha mapato ya Serikali kwani utafiti unaonyesha kuwa:-· Pato la Taifa linalotokana na Sanaa ya Muziki hapa nchini linakadiriwa kuwashilingi bilioni 71, ikiwa ni karibia asilimia 0.5 ya jumla ya pato lote la Taifa (GDP);· Mapato yanayopatikana kwenye Sekta ya Muziki, yanatoka katika asilimia 12 tuya kiwango kilichotakiwa kulipiwa kodi ya mapato kwenye sekta hiyo; na· Hasara inayotokana na ulipaji mdogo wa kodi kwa Taifa (kwenye sekta ya muziki)inakadiriwa kuwa asilimia 0.1 ya GDP ilitegemewa kuongezeka kwa kiasi chaasilimia 11 katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2007.Mheshimiwa Naibu Spika, kama Sheria ya Haki Miliki na Haki Shiriki ya Mwaka 1999,ikifanyiwa marekebisho na kutekelezwa, faida kwa Wadau wa Sekta ya Sanaa itakuwa kamaifuatavyo:-· Kipato cha wadau wote wa sekta hii ikiwemo Serikali kitaongezeka;· Kutakuwa na ongezeko la kipato kwa walioajiriwa katika sanaa ya muziki nafilamu na kwa hali hii itavutia ajira mpya katika sanaa hizi; na· Makadirio ya walioajiriwa (kudumu) katika sekta ya muziki ni asilimia 48 ya walewote wanaojishughulisha na muziki, asilimia 52 hufanya muziki kama kazi ya ziadahivyo baada ya kufanyia marekebisho Sheria hii, kipato kitakuwa zaidi nakitafanya wengi kwenye sekta hii kuithamini kazi ya sanaa na kuifanya yakudumu kwani itakuwa inawalipa vizuri.37

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!