12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

pombe tu, wanaishia kunywa pombe, basi. Lakini wacheza ngoma za asili ni muhimu sana katikaTaifa letu.Naomba Serikali ingewakumbuka sana kwa sababu hawa ndio watarudisha utamaduniwa nchi yetu kupitia vizazi vinavyokuja. Hiyo ni kumbukumbu tosha. Lakini hata Mawaziriwanapotembelea labda mashule, ni aibu sana wanaimbiwa nyimbo za Bongo Fleva nawanafunzi; wapi na wapi jamani! Ngoma za asili ndiyo utambulisho wa nchi yetu na makabilayetu. Naomba Serikali iliangalie hilo. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali ingefanya michezo ni lazima, siyo hiyari. Michezoirudishwe mashuleni tena kuanzia Shule ya Msingi ikiwezekana ianzie katika Shule za Chekecheakabisa. Pia kuwe na ushindani, hata katika baadhi ya sikukuu za kitaifa, tuwe tunashuhudia mechiya Shule za Chekechea. Miaka 12 wanaanza na wenyewe kuandaliwa mashindano na hapondiyo tunatafuta watoto wabunifu na wachezaji wazuri wa baadaye badala ya kusubiri mpakawamemaliza Darasa la Saba ndipo tuanze kutafuta watoto wa kucheza mpira.Mheshimiwa Mwenyekiti, hatuwezi kupata wachezaji wazuri kama tutaanza kuwatafutawatoto wa kucheza mpira wakiwa labda na miaka 20, hatuwezi kumpata mchezaji mzuri.Mchezaji mzuri ni kuanzia utotoni. Tunaomba Serikali irudishe michezo kuanzia Shule za Msingi auChekechea kabisa. Kipaji cha mtoto tunaanza kukiona akiwa mdogo. Kwa hiyo, michezoirudishwe, iwe ni lazima na siyo hiari. (Makofi)Mheshimiwa Mwenyekiti, zamani kulikuwa na michezo sana. Katika masomo kulikuwa nakipindi kimetengwa kwa ajili ya michezo. Naomba sasa hivi vipindi vya michezo virudishwemashuleni. Kuwe na kipindi kabisa cha michezo, baada ya masomo mengine inafuata michezo.Kama ilivyokuwa enzi zetu, kulikuwa na michezo mingi. Riadha, netball, football, high jump, longjump, michezo kama kukimbia kwenye magunia, eeh! Ni afya tosha kwa vijana wetu kwa sababumichezo ni afya, ni ajira na ni burudani. Leo katika vizazi vyetu hivi ukimwona kijana wa sasa nikama bamia. Jamani! Eeh, kwa sababu hawana kabisa nafasi ya kushiriki katika michezo.Hawapati michezo shuleni, wanaipata kwa muda kama pale tunapoandaa mashindano yaUMITASHUMTA au UMISETA. Hapo ndiyo mazoezi yanaanza. Wapi na wapi! (Makofi)(Hapa kengele ya pili iligonga kuashiria muda wa mzungumzaji kwisha)MWENYEKITI: Ahsante Mheshimiwa.MHE. ANNAMARRYSTELLA J. MALLAC: Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante sana. (Makofi)MWENYEKITI: Nakushukuru sana.MHE. MARGARETH A. MKANGA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru kwa kunipa wasaa ilinami niweze kuchangia hoja iliyoko mbele yetu. Kwanza, niwapongeze Waziri, Naibu Waziri nawote kabisa waliohusika katika kuandaa bajeti au hotuba hii. Hotuba imeeleweka vizuri tu sana,inatia matumaini, lakini kuwa na hotuba ya matumaini ni kitu kingine na kuweza kuitekeleza nisuala lingine. Tunawaomba tu kwamba pamoja na pesa ndogo waliyoipata, basi ndani yampangilio waendelee kupangilia kipaumbele zaidi cha haya yaliyomo, vinginevyo, yoteyanaweza yakashindikana.Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi naanza kwanza kujikita kwenye masuala ya michezo.Nilivyo sio mchezaji, najua tu karata, lakini nadhani nawajibika kwa vile mengine nayafahamu,hivyo nizungumzie mawili, matatu.Mheshimiwa Mwenyekiti, nimeisoma hii hotuba kwa makini kidogo, lakini imenipa majonziya kutosha tu, kwa sababu sikuona kinachonifurahisha kuhusu michezo ya watu wenye ulemavu.Kumekuwepo na kutokuwezesha kikamilifu sehemu hii ya michezo ya jamii hii.Mheshimiwa Mwenyekiti, ninavyofahamu mimi, watoto wenye ulemavu, wakubwa zao,mababu zao wanashiriki kwenye michezo inayoweza kuchezwa na wao. Kwa mfano, ile michezo73

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!