12.07.2015 Views

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini na Nne - Tarehe 11 A

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

(a) Mheshimiwa Naibu Spika, Halmashauri zilizobainika zaidi kuwa na matumizi yafedha yasiyoridhisha ni pamoja na Halmashauri za Wilaya za Kishapu, Kilosa, Bagamoyo,Mkuranga, Ileje, Geita, Rombo, Tarime, Bunda na Rorya.(b) Mheshimiwa Naibu Spika, hatua zinazochukuliwa kwa watumishi wotewanaosababisha matumizi mabaya ya fedha za umma katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nipamoja na kufanyiwa uchunguzi na vyombo vya kisheria kama TAKUKURU, kupewa onyo kali,kushushwa ngazi za mishahara, kuvuliwa madaraka na kufikishwa Mahakamani.Aidha, Kamati ya kudumu ya Bunge, ya Hesabu za Serikali za Mitaa, hupendekeza kwaWaziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa kwa watumishi wote waliosababisha ubadhirifu,kukatwa asilimia fulani ya mshahara wa mtumishi ili kufidia upotevu huo.(c) Mheshimiwa Naibu Spika, kuhusu kuwepo kwa miradi hewa, Halmashauri yaManispaa ya Ilala, wakati wa maandalizi ya taarifa ya mafanikio ya Serikali katika mwaka 2005ilifanya kosa la kiuandishi kwa kuhusisha Mtaa wa Mogo katika Kata ya Kipawa kuwa na Zahanati.Ukweli ni kwamba, Halmashauri hii imetekeleza miradi saba ya ujenzi wa zahanati katika kipindihicho. Hivyo, nathibitisha kuwa zahanati ya Mogo haipo na hakuna mipango ya hivi karibuni yakujenga zahanati katika Mtaa huu kwa mujibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Manispaa ya Ilala.MHE. RACHEL M. ROBERT: Mheshimiwa Naibu Spika, ahsante. Nashukuru MheshimiwaWaziri, ameitaja Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kuwa ni kinara wa ubadhirifu wa fedha naMkaguzi wa Hesabu za Serikali mwaka 2009/2010, ameendelea kuitaja Halmashauri hii ya Kishapuna Mkuu wa Mkoa, Mheshimiwa Balele, alipigia kelele sana hili jambo na baada ya kulipigiakelele, baadhi ya watumishi walihamishwa. Sasa nataka kuiuliza Serikali, kwa nini imekuwa na huuutaratibu wa kuwahamisha watumishi wa Halmashauri, hasa wanaoonekana wamefanyaubadhirifu kwenye Halmashauri?Mheshimiwa Naibu Spika, swali la pili, katika majibu yake ya msingi, Mheshimiwa Waziri,amekubaliana na mimi kwamba, zahanati ya Mogo katika manispaa ya Ilala iliyoko katika Jimbola Segerea, haipo. Lakini Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya TAMISEMI na ninalo gazeti hapa laJanuari, alikubali kwamba, hizi pesa ziliidhinishwa na zikatumika. Sasa nataka kujua ni akina naniwalizitumia na zilitumika kwa ajili ya nini?NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - ELIMU):Mheshimiwa Naibu Spika, ubadhirifu wa fedha za Halmashauri ya Kishapu ambao piaulishafanyiwa ukaguzi, lakini pia Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa alishalitoa kauli nataka nikujulishe tuMheshimiwa Mbunge kwamba hatua dhidi ya wale wote ambao wanabainika kufanya ubadhirifuwa fedha zinaendelea kuchukuliwa, wala si tu kwa kuwahamisha watendaji lakini pia kwa kufanyauchukuzi na pindi inapobainika hayo huwa hatua zinachukuliwa. Kwa mfano, katika kipindi chamwaka 2006 mpaka 2010 tuna jumla ya Halmashauri 30 ambazo hatua mbalimbali za kinidhamuzilichukuliwa kwa Wakurugenzi wao. Wengine wameshavuliwa madaraka lakini wengine kesi zaozinaendelea Mahakamani na michakato ya kinidhamu inaendelea na wale walioshinda kesilabda wale ndiyo ambao wanaweza kuhamishwa kupelekwa mahali pengine. Lakini kama kunatuhuma yoyote ile adhabu kali inachukuliwa. Lakini pia kwa watumishi wa kawaida ambao piawanaingia kwenye ubadhirifu wa mali lakini pia na kutokuwa na nidhamu mahali pa kazi nao piahatua mbalimbali zinachukuliwa.Mheshimiwa Naibu Spika, swali la pili, yanayozungumzia fedha za Halmashauri yaManispaa, ni kweli kwamba Naibu Katibu Mkuu aliwahi kutoa taarifa, sasa nataka nikupe taarifakwamba katika kipindi kile kulikuwa na fedha jumla ya bilioni 1,206,000,338 ambazo zilikuwazimetengwa kuendesha miradi mbalimbali kwenye eneo lile. Nilipozungumza kwamba kuna tatizola maandishi ambalo lilijitokeza na kwamba hakuna zahanati kwenye Mtaa wa Mogo, ni kwambaHalmashauri ilitumia zile fedha zote zilizokuwa zimetengwa kupitia Baraza la Madiwani na fedhazote zilitumika katika Kata ya Ukonga, Kata ya Segerea, Kinyerezi, Kivule na Chanika na miradiyote imebainishwa na jumla ya fedha imekwenda na ile ambayo iliridhiwa. Kwa hiyo, kuingia kwazahanati ya Mogo ilikuwa ni kwa makosa kama ambavyo nimeeleza. Ahsante.8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!