12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa wakati moja jamaa lote lilipelekwa mbele ya watu wa hekimu (Inquisiteurs), juu ya

kutokwenda kwa misa na kuabudu nyumbani. Kijana wa mwisho katika jamaa akajibu

“Tunapiga magoti yetu, na kuomba kwamba Mungu apate kuangaza akili zetu na kusamehe

zambi zetu; tunaombea utawala wa mfalme wetu, ili ufalme wake upate kusitawi na maisha

yake yawe ya furaha; tunawaombea waamzi wetu, ili Mungu apate kuwalinda.” ‘’Baba na

mmojawapo wa watoto wake wakahukumiwa kifo cha (kigingi) mti wa kuchoma upinzani wa

ibada ya dini.”

Si wanaume tu lakini wanawake na vijana wanawake wakatumia ujasiri imara. “Bibi

waliweza kusimama kwa vigingi vya waume wao, na wakati walipokuwa wakivumilia

mchomo wa moto wangenongoneza maneno ya faraja ao kuimba zaburi kuwatia moyo.”

“Wasichana wakalazwa ndani ya kaburi zao kana kwamba walikuwa wakiingia katika

chumba chao kulala usiku; ao kwenda kwa jukwaa na moto, wakijivika kwa mapambo yao

mazuri sana, kana kwamba walikuwa wakienda kwa ndoa yao.”

Mateso yakazidisha hesabu ya washuhuda kwa ajili ya ukweli. Mwaka kwa mwaka

mfalme akashurutisha kazi yakeya ukatili, lakini hakufaulu. William wa Orange mwishowe

akaleta uhuru wa kuabudu Mungu katika Holandi.

Matengenezo Katika Danemark

Katika inchi za kaskazini injili ilipata mwingilio wa amani. Wanafunzi huko Wittenberg

waliporudi nyumbani walikuwa wakichukua imani ya matengenezo huko Scandinavia.

Maandiko ya Luther pia yakatawanya nuru. Watu hodari wa upande wa kaskazini, wakageuka

kutoka maovu na ibada ya sanamu ya Roma na kupokea kwa furaha kweli ya maisha bora ya

Biblia.

Tausen, “Mtengenezaji wa Danemark,” kama mtoto mwanzoni, akaonyesha akili ya

nguvu na akaingia kwa nyumba ya watawa. Mtihani ulimtambulisha kuwa na talanta

iliyoahidi kufanya kazi nzuri kanisani. Mwanafunzi kijana akaruhusiwa kujichagulia

mwenyewe chuo kikubwa cha Ujeremani ama cha Uholandi, ila kwa sharti moja tu:

hakupashwa kwenda Wittenberg kuhatarishwa na uzushi. Watawa wakasema hivyo.

Tausen akaenda Cologne, mojawapo ya ngome ya Kiroma. Hapo hakukawia kuchukizwa.

Ni wakati ule ule aliposoma maandiko ya Luther kwa furaha na akatamani sana kujifunza

mafundisho ya kipekee ya Mtengenezaji. Lakini kwa kufanya vile alipashwa kujihatarisha

kupoteza usaada wa wakuu wake. Kwa upesi kusudi lake likafanyika na mara akawa

mwanafunzi huko Wittenberg.

Kwa kurudi Danemark, hakuonyesha siri yake, lakini akajitahidi kuongoza wenzake kwa

imani safi. Akafungua Biblia na akahubiri Kristo kwao kama tumaini pekee la mwenye zambi

la wokovu. Hasira ya mkuu wa nyumba ya watawa ilikuwa kubwa sana, walioweka

matumaini ya juu juu kwake kuwa mtetezi wa Roma. Akahamishwa mara moja kutoka kwa

nyumba yake mwenyewe ya watawa kwenda kwa ingine na kufungiwa kwa chumba chake

94

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!