12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mioto ya ukweli wa Mungu, ambayo ilikuwa karibu kuzimika juu ya mazabahu ya dini ya

Kiprotestanti, ilipashwa kuwashwa kutoka kwa mwenge wa zamani uliotolewa na Wakristo

wa Bohemia. Wengine miongoni mwao, wakapata kimbilio katika Saxe (Saxony), wakalinda

imani ya zamani. Kutoka kwa Wakristo hawa nuru ikaja kwa Wesley.

Yohana na Charles wakatumwa kwa ujumbe kuenda Amerika. Katika meli kulikuwa na

kundi la waMoravians. Wakakutana na zoruba kali sana, na Yohana, akawa uso kwa uso na

kifo, akajisikia kwamba hakuwa na hakikisho la amani na Mungu. Lakini Wajeremani

wakaonyesha utulivu na kutumaini kwamba alikuwa mgeni. “Tangu zamani,” akasema,

“nilichunguza umuhimu mkuu wa mwenendo (tabia) wao. ... Wakawa sasa na bahati ya

kujaribu kwamba walikuwa huru bila mafikara ya woga pia na ile ya kutokuwa na kiburi,

hasira na kulipisha kisasi. Katikati ya zaburi kwa kazi yao ilianza, bahari ikapasuka, na

kupasua tanga kubwa kwa vipande vipande, ikafunika merikebu, na kumwanga kati kati ya

sakafu kana kwamba kilindi kikuu kimekwisha kutumeza. Kilio cha nguvu kikaanza

miongoni mwa Waingereza. Wajeremani kwa utulivu wakaendelea kuimba. Nikauliza

mmojawapo wao baadaye,`Hamkuwa na hofu? ‘ Akajibu Namshukuru Mungu, hapana.’

Nikauliza, `Lakini wake wenu na watoto hawakuwa na hofu?’ Akajibu kwa upole, `Sivyo;

wake wetu na watoto hawaogopi kufa.’”

Moyo wa Wesley “Kwa Jinsi Isiyo ya Kawaida Watiwa Joto”

Kwa kurudi kwake Uingereza, Wesley akafikia kwa kufahamu wazi wazi imani ya Biblia

chini ya mafundisho ya mtu wa Moravia. Kwa mkutano wa chama cha Wamoravian katika

Londoni maneno yakasomwa kutoka kwa Luther. Namna Wesley alipokuwa akisikiliza,

imani ikawashwa ndani ya roho yake. “Nilisikia moyo wangu kutiwa joto ngeni,” akasema.

“Nilisikia kwamba nilimtumaini Kristo, Kristo pekee, kwa ajili ya wokovu: na tumaini

likatolewa kwangu, kwamba aliondoa mbali zambi zangu, hata zangu, na aliniokoa kutoka

kwa sheria ya zambi na mauti.’‘

Sasa aliona kwamba neema aliyojitahidi kupata kwa njia ya maombi na kufunga na

kujinyima ilikuwa zawadi, “bila mali na bila bei.” Roho yake yote ikawaka na mapenzi ya

kutangaza po pote injili utukufu ya neema huru ya Mungu. “Nikatazama juu ya ulimwengu

wote kama mtaa wangu,” akasema; “po pote ninapokuwa, ninazania kwamba, nina haki, na

wajibu wangu wa lazima, kutangaza kwa wote wale wanaotamani kusikia, habari za furaha

za wokovu.”

Akaendelea na maisha yake halisi na ya kujinyima, si sasa kama msingi, bali matokeo ya

imani; si shina, bali tunda la utakatifu. Neema ya Mungu katika Kristo itaonekana katika utii.

Maisha ya Wesley ilitolewa kuwa wakfu kwa kuhubiri kweli kubwa aliyoyakubali--

kuhesabiwa haki kwa njia ya imani katika damu ya kafara ya Kristo, na uwezo mpya wa Roho

Mtakatifu kwa moyo, kuendelea kuleta matunda katika maisha yanayofanana kwa mfano wa

Kristo.

101

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!