12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 39. Wakati wa Taabu

“Kwa wakati ule Mikaeli atasimama, Mfalme Mkubwa anayesimama kwa ajili ya wana

wa watu wako; na kutakuwa wakati wa taabu, kama usivyokuwa mbele tangu wakati taifa

lilipokuwa hata wakati ule: na kwa wakati ule watu wako wataponyeshwa, kila mtu

atakayeonekana ameandikwa katika kitabu.” Danieli 12:1.

Wakati ujumbe wa malaika wa tatu unamalizika, watu wa Mungu watakuwa wametimiza

kazi yao. Wamepokea, “mvua ya mwisho” na wanajitayarisha kwa saa ya kujaribiwa

inayokuwa mbele yao. Jaribu la mwisho limekwisha kuletwa duniani, na wote

waliohakikishwa kuwa watiifu (waaminifu) kwa amri za Mungu wamepokea “muhuri wa

Mungu aliye hai.” Ndipo Yesu anapomaliza uombezi wake katika Pahali patakatifu kule juu

na kusema kwa sauti kuu, “Imefanyika”.

“Yeye aliye muzalimu azidi kuwa muzalimu; na mwenye uchafu azidi kuwa mchafu; na

mwenye haki azidi kufanya haki; na mtakaifu azidi kutakaswa”: Ufunuo 22:11. Kristo

amefanya upatanisho kwa ajili ya watu wake na amefutia mbali zambi zao. “Na ufalme na

mamlaka, na ukubwa wa falme chini ya mbingu” (Danieli 7:27) ni karibu kutolewa kwa wariti

wa wokovu, na Yesu kutawala kama Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.

Wakati anapoacha Pahali patakatifu, giza inafunika wakaaji wa dunia. Wenye haki

wanapaswa kuishi machoni pa Mungu Mtakatifu pasipo mwombezi. Kizuio juu ya waovu

kimeondolewa, na Shetani anakuwa na mamlaka kamili juu ya wasiotubu. Kwa mwisho Roho

ya Mungu imeondolewa. Ndipo Shetani anatumbukiza wakaaji wa dunia katika taabu kubwa

ya mwisho. Malaika wa Mungu wanaacha kushika kwa kuzuia pepo kali ya tamaa ya

wanadamu. Ulimwengu wote utahusika katika maangamizo ya kuogopesha zaidi kuliko yale

ambayo yalifika juu ya Yerusalema ya zamani. Hapo kunakuwa majeshi sasa tayari, zinangoja

tu ruhusa ya Mungu, kueneza ukiwa po pote.

Wale wanaoheshimu sheria ya Mungu watazaniwa kuwa sababu ya mateso ya kuogopesha

na umwangaji wa damu ambavyo vinajaza dunia kwa taabu. Uwezo uliofatana na onyo la

mwisho umekasirisha waovu, na Shetani atachochea roho ya uchuki na mateso juu ya wote

waliopokea ujumbe.

Wakati kuwako kwa Mungu kuliondolewa kutoka kwa taifa la Wayuda, wakuhani na watu

waliendeleya kujizania wenyewe kuwa wateule wa Mungu. Utumishi katika hekalu ilikuwa

ikiendelea; siku kwa siku baraka ya Mungu ilikuwa ikitakiwa juu ya watu wenye kosa ya

damu ya Mwana wa Mungu. Vivyo hivyo wakati hukumu isiyobadilika ya Pahali patakatifu

inapokwisha kutangazwa na mwisho wa ulimwengu ulikuwa wenye kuwekwa milele, wakaaji

wa dunia hawataitambua. Kawaida za dini zitakuwa zikiendeleshwa na watu wale ambao

Roho ya Mungu imeondolewa; juhudi ya shetani kwa kutimiza nia zake mbaya atachukua

mfano wa juhudi ya Mungu

251

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!