12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Ni wajibu wa kwanza na ya juu sana kwa kila kiumbe chenye akili kujifunza kwa

Maandiko mambo inayokuwa ya kweli, ndipo kutembea katika nuru na kutia wengine moyo

kufuata mfano wake. Inatupasa kutengeneza nia zetu sisi wenyewe kwa namna tutakavyojibu

sisi wenyewe mbele ya Mungu.

Watu waliojifunza, kwa ujanja wa hekima kubwa, wanafundisha ya kama Maandiko

yanakuwa na siri, maana ya kiroho si ya kutambulikana katika lugha iliyotumiwa. Watu hawa

ni waalimu wa uwongo. Lugha ya Biblia inapashwa kuelezwa kufuata maana yake zahiri, ila

tu kama mfano ao picha inatumiwa. Kama watu wangekamata tu Biblia kama inavyosomwa,

kazi ingetimizwa ambayo ingeleta maelfu katika zizi la Kristo maelfu juu ya maelfu

wanaotangatanga katika makosa. Sehemu nyingi za Maandiko ambazo wenye hekima

wanazozania kutokuwa za maana zinajaa na faraja kwa yeye anayefundishwa katika shule la

Kristo. Ufahamu wa ukweli wa Biblia hauko zaidi kwa uwezo akili ilioletwa kwa uchunguzi

kama kwa umoja wa kusudi, tamaa ya juhudi baada ya haki.

Matokeo ya Zarau ya Maombi na Kujifunza Biblia

Biblia haipashwi kujifunzwa pasipo maombi. Roho Mtakatifu peke yake anayetuwezesha

kuona umuhimu wa vitu rahisi kufahamiwa, ao kutuzuia kupotoa mambo magumu ya kweli.

Malaika wa mbinguni wanatayarisha moyo kufahamu Neno la Mungu. Tutapendezwa kwa

uzuri wake, kugombezwa kwa maonyo yake na kutiwa nguvu na ahadi zake. Mara kwa mara

majaribu huonekana kuwa na nguvu nyingi sana kwa sababu yule aliyejaribiwa hawezi mara

hiyo kukumbuka ahadi za Mungu na kukutana na Shetani anayekuwa na silaha za Maandiko.

Lakini malaika wanazunguka wale wanaotaka kufundishwa, na wataleta kwa ukumbusho wao

ukweli unayohitajiwa.

“Yeye atawafundisha ninyi vitu vyote, na kuwakumbusha ninyi vitu vyote niliyowaambia

ninyi”. Yoane 14:26. Lakini mafundusho ya Kristo yanapashwa kwanza kuwekwa katika akili

ili Roho ya Mungu ayalete katika ukumbusho wetu katika wakati wa hatari.

Ajali ya makutano mengi sana inakuwa karibu kukusudiwa. Kila mshiriki wa Kristo

inampasa kudai kwa bidii: “Bwana unataka nifanye nini”? Matendo 9:6. Inatupasa sasa

kutafuta maarifa ya ndani na ya nguvu katika vitu vya Mungu. Hatuna na wakati kwa

kupoteza. Tunakuwa kwa udongo wa kupendeza wa Shetani. Zamu wa Mungu usilale!

Wengi hushangilia wao wenyewe kwa matendo mabaya ambayo wasiyoyafanya. Haitoshi

ya kama wao ni miti katika bustani ya Mungu. Inawapasa kuzaa matunda. Katika vitabu vya

mbinguni wanaandikwa kama walimaji wa udongo. Kwani kwa wale waliozarau rehema ya

Mungu na wakatumia vibaya neema yake, moyo na upendo wa uvumilivu ungali ukitetea.

Wakati wa mvua hakuna tofauti ya kuonekana kati ya miti na miti ingine; lakini wakati

wa kipwa na upepo na majira ya baridi inapofika, miti isiyokauka inadumu imara wakati miti

ingine inapo ponoa majani yao. Acha upinzani uamke, acha kutovumilia kutikisika tena, acha

mateso iwashwe, na mapenzi yasiyo na bidii na ya unafiki ikubali imani; lakini Mkristo wa

244

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!