12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

zao kwa kufanya mapenzi yake. Hawatalegeza wala kuchafua sadaka wanayotoa kwa Baba

wao wa mbinguni kwa anasa ya tamaa wala ulafi.

Furaha yote ya zambi inaelekea kuzoofisha na kuua fahamu za akili na za kiroho; Neno

wala Roho ya Mungu inaweza kufanya mguso mdogo kwa moyo. “Tujisafishe wenyewe kwa

uchafu wote wa mwili na wa roho, tukitimiza utakatifu katika woga wa Mungu.” 2 Wakorinto

7:1.

Ni wangapi wanaojitangaza kuwa Wakristo wanaoharibu sura yao ya kimungu kwa ulafi,

kwa kunywa mvinyo, kwa anasa zilizokatazwa. Na kanisa vivyo hivyo hushawishi uovu, kwa

kujaza tena mali yake ambayo mapendo kwa Kristo ni zaifu sana kutoa. Kama Kristo

angeingia kwa makanisa ya leo na kutazama karamu iliyofanywa pale kwa jina la dini, je,

hangalifukuza wale wakufuru, kama alivyofukuzia mbali wabadili feza kwa hekalu?

“Hamujui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, muliyepewa

na Mungu? Na ninyi si mali yenu wenyewe; kwa sababu mulinunuliwa kwa bei; basi tukuzeni

Mungu katika mwili wenu na katika roho yenu, maana ni ya Mungu.” 1 Wakorinto 6:19,20.

Yeye ambaye mwili wake ni hekalu la Roho Mtakatifu hatafanywa mtumwa wa desturi

mbaya. Nguvu zake ni za Kristo. Mali yake ni ya Bwana. Namna gani angetapanya hazina

uliyo gabiziwa?

Wanaojitangaza kuwa Wakristo kila mwaka wanatumia feza nyingi kwa anasa mbaya.

Mungu wanamuiba kwa zaka na sadaka, wanapoteketeza kwa mazabahu ya tamaa mbaya ya

kuharibu zaidi kuliko wanavyotoa kwa kusaidia maskini ao kusaidia maendeleo ya habari

njema. Kama wote wanaoshuhudia Kristo wangetakaswa kwa kweli, mali yao, badala ya

kuitumia kwa anasa za bure na zenye hasara, yangerudishwa katika hazina ya Bwana.

Wakristo wangetoa mufano wa kiasi na kujitoa kafara. Ndipo wangekuwa nuru ya

ulimwengu.

“Tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha maisha” (1 Yoane 2:16) zinatawala

wingi wa watu. Lakini wafuasi wa Kristo wanakuwa na mwito takatifu. “Tokeni katikati yao,

mukatengwa nao, Bwana anasema, wala musiguse kitu kisicho safi.” Kwa wale wanaokubali

pamoja na mapatano, ahadi za Mungu ni “Nitakuwa baba kwenu, nanyi mutakuwa kwangu

wana na binti, Bwana Mwenyezi anasema.” 2 Wakorinto 6:17,18.

Kila hatua ya imani na utii inaleta nafsi kwa uhusiano wa karibu sana na Nuru ya

Ulimwengu. Mwangaza safi wa Jua la Haki unaangazia juu ya watumishi wa Mungu, na

wanapaswa kurudisha mishale ya nuru yake. Nyota zinatwambia kwamba hapo kuna nuru

katika mbingu na kwa utukufu wake zinangaa; kwa hivi Wakristo wanaonyesha kwamba hapo

kuna Mungu kwa kiti cha enzi ambaye tabia yake ni bora ya sifa na ya kuiga. Utakatifu wa

tabia yake utaonyeshwa katika ushuhuda wake.

Katika sifa njema za Kristo tunakuwa na ruhusa ya kukaribia kwa kiti cha Mwenye uwezo

usio na mwisho (Mungu). “Yeye asiyeachilia Mwana wake, lakini alimutoa kwa ajili yetu

194

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!