12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 17. Ahadi za Kurudi kwa Kristo

Ahadi ya kuja kwa Kristo mara ya pili ili kutimiza kazi kubwa ya ukombozi ni msingi wa

Maandiko matakatifu. Tangu Edeni, watoto wa imani wamengojea kuja kwa Yule

Aliyeahidiwa kwa kuwaleta tena kwa Paradiso iliyopotea.

Enoki, mtu wa saba katika uzao kutoka kwa wale ambao waliokaa katika Edeni, ambaye

kwa karne tatu alitembea pamoja na Mungu, akatangaza, “Angalia, Bwana anakuja na

watakatifu wake, elfu kumi, ill afanye hukumu juu ya watu wote,” Yuda 14,15. Yobu katika

usiku wa taabu akapaaza sauti, “Lakini ninajua ya kuwa Mkombozi wangu ni hai, Na ya kuwa

katika siku za mwisho atasimama juu ya inchi:... pasipo mwili wangu nitamuona Mungu: Na

mimi mwenyewe nitamuona. Na macho yangu yatamutazama, wala si mwingine.” Yoba

19:25-27. Washairi (poets) na manabii wa Biblia walieleza sana juu ya kuja kwa Kristo katika

maneno yenye mwangaza wa moto. “Mbingu zifurahi, na inchi ishangilie, ... Mbele ya Bwana,

kwa maana anakuja; Kwa maana anakuja kuhukumu inchi. Atahukumu ulimwengu kwa haki,

na mataifa kwa kweli yake.” Zaburi 96:11-13.

Akasema Isaya: “Katika siku ile itasemwa, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu,

Tumemungoja, ... Tutashangilia na tutafurahi katika wokovu wake.” Isaya 25:9. Mwokozi

akafariji wanafunzi wake na tumaini ya kuwa atakuja tena: “Katika nyumba ya Baba yangu

ni makao mengi ... ninakwenda, kuwatengenezea ninyi makao. Na kama ninakwenda, ...

nitakuja tena, na nitawakaribisha ninyi kwangu.” “Mwana wa watu atakapokuja katika

utukufu wake, na malaika wote pamoja naye, halafu ataketi juu ya kiti cha utukufu wake; na

mbele yake mataifa yote watakusanyika.” Yoane 14:2,3; Matayo 25:31,32.

Malaika walikariri kwa wanafunzi ahadi ya kurudi kwake; “Huyu Yesu aliyechukuliwa

toka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja namna hii sawasawa mulivyomwona akikwenda

zake mbinguni.” Matendo 1:11. Na Paulo akashuhudia: “Kwa sababu Bwana mwenyewe

atashuka toka mbinguni, na sauti kubwa, na sauti ya malaika mkubwa, pamoja na baragumu

ya Mungu.” 1 Watesalonika 4:16. Akasema nabii wa Patemo: “Tazama, anakuja na mawingu;

na kila jicho litamwona.” Ufunuo 1:7.

Halafu desturi ndefu iliyoendelea ya uovu itavunjika: “Ufalme wa dunia umekwisha kuwa

ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, naye atatawala hata milele na milele.” Ufunuo

11:15. “Na kama shamba linalochipuza vitu vilivyopandwa ndani yake: ndivyo Bwana

Mungu ataotesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.” Isaya 61:11.

Halafu ufalme wa amani wa Masiya utaimarishwa “Maana Bwana atafariji Sayuni;

atafariji pahali pake pote pa pori; atafanya jangwa lake kuwa kama Edeni, na jangwa lake

kama shamba la Bwana.” Isaya 51:3.

Kuja kwa Bwana kumekuwa katika vizazi vyote tumaini la wafuasi wake wa kweli. Kati

ya taabu na mateso, “na kuonekana kwa utukufu wa Mungu mkubwa, Mwokozi wetu Yesu

119

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!