12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

siku 2300; malaika Gabrieli, ingawa aliagizwa kwa kufahamisha Danieli njozi, akamupa tu

sehemu ya maelezo. Kwa sababu mateso ya kutisha ilifaa kuanguka juu ya kanisa ilikuwa

haikufunuliwa kwa njozi ya nabii, hakuweza kuvumilia tena. Danieli “akazimia, na kugonjwa

siku chache.” “Nikashangaa kwa maono,” akasema, “lakini hakuna aliyeyafahamu.” Danieli

8:27.

Lakini Mungu akaagiza mjumbe wake, “Fahamisha mtu huyu maono.” Kwa kutii, malaika

akarudi kwa Danieli, kusema: “Nimekuja sasa ili nikupe akili upate kufahamu ... kwa sababu

hii elewa maneno haya na kufahamu maono.” Jambo moja la maana katika sura ya 8 liliachwa

bila kufasiriwa, yaani, siku 2300; kwa hiyo malaika, kwa kuendelea na maelezo yake,

akaeleza sana juu ya wakati:

“Mda wa majuma makumi saba umeamriwa juu ya watu wako na juu ya mji wako

mtakatifu... Ujue basi na kufahamu ya kuwa tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kujenga

Yerusalema hata mupakaliwa, masiya mkubwa, yatakuwa majuma saba na majuma makumi

sita na mawili; njia kuu itajengwa tena, na ukuta, hata katika nyakati za taabu. Na nyuma ya

majuma makumi sita na majuma mawili massiah atakataliwa mbali, lakini ni kwake

mwenyewe: ... Naye atafanya agano la nguvu pamoja na wengi kwa juma moja: na kwa nusu

ya juma atakomesha kafara na toleo.” Danieli 8:16; 9:22,23, 24-27.

Malaika alitumwa kwa Danieli kwa kueleza jambo aliloshindwa kufahamu “Hata

mangaribi na asubui ya siku elfu mbili mia tatu; ndipo Pahali patakatifu patasafishwa.”

Maneno ya kwanza ya malaika ni haya, “Mda wa majuma makumi saba umeamriwa juu ya

watu wako na juu ya mji wako.” Neno umeamriwa kwa halisi maana yake “atakatiliwa

mbali.” Majuma makumi saba, miaka 490, ilipaswa kukatiliwa mbali kuwekwa kando kwa

ajili ya Wayahudi.

Mda wa Nyakati Mbili Zilianza Pamoja

Lakini kukatiliwa mbali kwa nini? Hivi siku 2300 zilikuwa ni mda tu wa wakati uliotajwa

katika sura 8, majuma makumi saba yanapaswa basi kuwa sehemu ya siku 2300. Nyakati

mbili hizo zinapaswa kuanza pamoja, majuma makumi saba tangu “kuwekwa amri” ya

kutengeneza na kujenga Yerusalema. Kama tarehe ya amri hii ingeweza kupatikana, ndiyo

ingekuwa mwanzo wa uhakika wa siku 2300.

Katika sura ya saba ya Ezra amri inapatikana, ilitolewa na Artasasta, mfalme wa Persia,

katika mwaka 457 B.C. Wafalme watatu katika kuanzisha na kutimiza amri, wakaifanya kwa

utimilivu uliotakiwa na unabii kwa kutia alama ya mwanzo wa mwaka 2300. Kukamata miaka

457 B.C., wakati amri ilipotimia, kama tarehe ya “amri”, kila hatuwa ya majuma makumi

saba ikaonekana katika kutimilika. (Tazama Nyongezo.)

Kwa kuendelea kwa kutengeneza na kujenga Yerusalema hata Masiya Mfalme itakuwa

majuma saba, na majuma makumi sita na mawili”majuma makumi sita na kenda, ao miaka

483. Amri ya Artasasta ikatendeka katika wakati wa masika wa mwaka 457 B.C. Kutoka

132

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!