12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

kumpokea mjumbe wa mbinguni. Kwa gafula utukufu wa mbinguni ukajaa pote katika

uwanda, kundi lisilohesabika la wamalaika likafunuliwa; na kana kwamba furaha ilikuwa

kubwa kwa ajili ya mjumbe kutoka mbinguni, wingi wa masauti kuimba wimbo wa furaha

ambao mataifa yote ya waliookolewa wataimba siku moja: “Utukufu kwa Mungu aliye juu,

na salama duniani, katika watu wanaomupendeza.” Luka 2:14.

Fundisho la namna gani linakuwa kwa historia ya ajabu hii ya Betelehemu! Namna gani

inakemea kutokuamini kwetu, kiburi chetu na hali ya kuwaza tunatosheka nafsini. Namna

gani inatuonya kwa kujihazari, ili sisi vile vile tusishindwe kutambua ishara za nyakati na

kwa hiyo hatutajua siku ya kuzuriwa kwetu.

Si miongoni mwa wachungaji tu ambamo malaika walipata walinzi kwa ajili ya kuja kwa

Masiya. Katika inchi ya wapagani vile vile kulikuwa wale waliomtazamia--watajiri, watu bora

wenye akili— wenye elimu zote wa Mashariki. Kutoka kwa Maandiko ya Kiebrania walikuwa

wakijifunza habari ya nyota kutokea kwa Yakobo. Kwa mapenzi ya bidii walingojea kuja

kwake yeye aliyepashwa kuwa si “Faraja la Israeli” tu, bali “Nuru ya kuangazia Mataifa,” na

“kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.” Luka 2:25, 32; Matendo 13:47. Mbingu--ikatuma

nyota ikaongoza wageni wa mataifa kwa mahali pa kuzaliwa kwa Mfalme mpya aliyezaliwa.

Ni kwa “wale wanaomungojea” Kwamba Kristo “ataonekana mara ya pili, si tena kwa

zambi, lakini kuokoa wale wanaomungojea kwa wokovu.” Waebrania 9:28. Kama habari ya

kuzaliwa kwa Mwokozi, ujumbe wa kuja kwa mara ya pili haukutolewa kwa waongozi wa

dini ya watu. Walikataa nuru kutoka mbinguni; kwa hiyo hawakuwa katika hesabu ya wale

waliotajwa na mtume Paulo: “Lakini ninyi ndugu, si katika giza, hata siku ile iwapate ninyi

kama mwizi: sababu ninyi wote ni wana wa nuru, na wana wa mchana: sisi hatuko wana wa

usiku wala wa giza.” 1 Watesalonika 5:4, 5.

Walinzi juu ya kuta za Sayuni walipashwa kuwa wa kwanza kupata habari ya kuja kwa

Mwokozi, wa kwanza kutangaza ukaribu wa kuja kwake. Lakini walikuwa kwa raha, wakati

watu walikuwa katika usingizi wa zambi zao. Yesu aliona kanisa lake, kama mti wa mtini

usiozaa, umefunikwa na majani ya fahari, lakini pasipo kuwa na matunda ya damani. Roho

ya unyenyekevu wa kweli, uvumilivu, na imani ilikosekana. Hapo kulikuwa kiburi, unafiki,

uchoyo, ugandamizi. Kanisa laukufuru lilifunga macho yao kwa alama za nyakati. Wakatoka

kwa Mungu na wakajitenga wao wenyewe kwa upendo wake. Namna walivyokataa na

mapashwa yaliyowekwa, ahadi zake hazikutimizwa kwao.

Wengi waliojidai kuwa wafuasi wa Kristo wakakataa kupokea nuru kutoka mbinguni.

Kama Wayahudi wa zamani, hawakujua wakati wa kuzuriwa kwao. Bwana akapita pembeni

yao na akafunua ukweli wake kwa wale ambao, kama wachungaji wa Betelehemu na Waakili

wa Mashariki, walipewa usikizi kwa nuru yote walioyopokea.

125

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!