12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wycliffe alipoitwa kwa kutetea haki za ufalme wa Uingereza juu ya kujiingiza kwa Roma,

alitajwa kuwa balozi wa kifalme katika inchi ya Hollandi. Hapo ilimfanya rahisi kupelekeana

habari na mapadri kutoka Ufaransa, Italia, na Ispania, na alikuwa na bahati ya kutazama

nyuma matukio yaliyofichwa kwake huko Uingereza. Katika wajumbe hawa kutoka kwa

baraza ya hukumu ya Papa akasoma tabia ya kweli ya serekali ya kanisa. Akarudi Uingereza

kukariri mafundisho yake ya kwanza na juhudi kubwa, kutangaza kuwa kiburi na udanganyifu

vilikuwa miungu ya Roma.

Baada ya kurudi Uingereza, Wycliffe akapokea kutoka kwa mfalme kutajwa kuwa kasisi

ya Lutterworth. Jambo hili lilikuwa uhakikisho kwamba mfalme alikuwa bado hajachukiwa

na kusema kwake kwa wazi. Muvuto wa Wycliffe ukaonekana katika muundo wa imani ya

taifa. Radi za Papa zikatupwa upesi juu yake. Matangazo matatu ya Papa yakatumwa kuamuru

mipango ya gafula ya kunyamazisha mwalimu wa “upinzani wa mafundisho ya dini”

Kufika kwa matangazo ya Papa kukawekwa agizo katika Uingereza pote kufungwa kwa

mpinga wa dini. (Tazama Nyongezo). Ilionekana kweli kwamba Wycliffe alipashwa

kuanguka upesi kwa kisasi cha Roma. Lakini yeye aliyetangaza kwa mmojawapo wa zamani,

“usiogope ...: mimi ni ngabo yako” (Mwanzo 15:1), akanyosha mkono wake kulinda

mtumishi wake. Kifo kikaja, si kwa Mtengenezaji, lakini kwa askofu aliyeamuru uharibifu

wake.

Kifo cha Gregoire XI kulifuatwa na uchaguzi wa mapapa wawili wapinzani. (Tazama

Nyongezo). Kila mmoja akaita waaminifu wake kufanya vita kwa mwengine, kukaza maagizo

yake ya hofu kuu juu ya wapinzani wake na ahadi za zawadi mbinguni kwa wafuasi wake.

Makundi ya wapinzani yalifanya yote yaliweza kufanya mashambuliano mmoja kwa

mwengine, na Wycliffe kwa wakati ule alikuwaakipumzika.

Mutengano pamoja na bishano yote na uchafu ambayo vilitayarisha njia kwa Mategenezo

kwa kuwezesha watu kuona hakika hali ya kanisa la Roma. Wycliffe akaita watu kuzania

kama mapapa hawa wawili hawakuwa wakisemea ukweli katika kuhukumiana mmoja kwa

mwengine kama mpinga Kristo.

Akakusudia kwamba nuru inapaswa kuenezwa kila pahali katika Uingereza, Wycliffe

akatengeneza kundi la wahubiri, kujishusha, watu waliojitoa waliopenda ukweli na kuamania

kuipanua. Watu hawa walikuwa wakifundisha katika barabara za miji mikubwa,na katika njia

inchini, wakitafuta wazee, wagonjwa, na maskini, na wakawafungulia habari za furaha za

neema ya Mungu.

Kule Oxford, Wycliffe akahubiri Neno la Mungu ndani ya vyumba vikubwa vya chuo

kikuu. Akapata cheo cha Daktari (Docteur) wa injili. Lakini kazi kubwa mno ya maisha yake

ilikuwa kutafsiri kwa Maandiko katika lugha ya Kiingereza, ili kila mtu katika Uingereza

aweze kusoma kazi za ajabu za Mungu.

Anashambuliwa na Ugonjwa wa Hatari

31

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!